Daaaaaah mbona unamshabulia mwenzio bila sababu, Yeye katoa maoni maana anaonesha jinsi gani mradi uishe kwa Ufasaha na ufanisi.We una utaalamu kiasi gani au ndio utaalam kwenye mambo ya majungu na fitna za kiafrika?
Najua unatamani mradi ufeli ili upate cha kuongea, kwa uwezo wa Mungu mradi utaisha na nchi itanufaika sana
Ndugu miradi yoyote mikubwa ina Main contractor na su-contractors. Mutu muhimu ni msimamizi wa mradi aliyeajiliwa na serikali kusimamia ubora wa kazi unaendana na matakwa ya mkataba na ujenzi na kuishauri serikali. Lakini pia usitegemee mradi kama huo hakuna EAGLES wanaorandaranda.Naona wengi humu mnakuja na negativity kwa kutoa taarifa. Naishia hapo sina haja ya vijembe vya kijinga na ushabiki wa kipuuzi
Kwa msaada wa Jumuiya ya Kisoviet wakati huo. Engineers wa kiarabu walishiriki kwa kuwezeshwa na kuachiwa utaalamu. Design ilifanywa na kampuni ya kirusi.Lakin Arab contractors ya Misri ni kampuni kongwe iliojenga Aswan Dam miaka 1960 hadi 1970.
Unayumba wwWe una utaalamu kiasi gani au ndio utaalam kwenye mambo ya majungu na fitna za kiafrika?
Najua unatamani mradi ufeli ili upate cha kuongea, kwa uwezo wa Mungu mradi utaisha na nchi itanufaika sana
Maji hayadhibitiwi ila ukienda kujenga bondeni au kwenye hifadhi ya maji , wewe unakuwa ni fala kabisa.Tangia lini maji yakadhibitiwa?
Maji hayadhibitiwi ila ukienda kujenga bondeni au kwenye hifadhi ya maji , wewe unakuwa ni fala kabisa.
Kama ni majungu asingeshauri kazi apewe mchina. Unaujua umakini wa Mchina katika kazi !? Hata ndoo ya rangi iliyoisha baada ya kutumika huwezi tu kuichukua bila kibali. Wako makini mno na kazi.Sifa zetu kazini za awali, unafiki, uzandiki, uzabizabina, umbeya, kubwa lao FITINA NA MAJUNGU...
Mleta mada lengo mwarabu anyang'anywe kazi aliyogawana na mchina apewe nani??
Hapo watz tutakuwa tumebanwa uvivu wetu umedhibitiwa, kuingia na kutoka kiholela hakuna...rushwa haiwezekani!
Everyday is Saturday.......................... 😎
Waziri wa nishati alisema ametembelea huo mradi mara kumi na moja kama sikosei. Sasa lazima hapo kuna mtu ambaye hasemi ukweli, aliyeleta hii mada au Waziri anadanganywa. Je, mleta mada unaweza kuweka nyama kidogo kwenye uzi wako mfano pics kwenye huo mradi, wapi wanakosea/kuharibu. Kwenye programme of work hivi sasa ni kazi gani zinatakiwa kuwa zimeisha/kukamilika na zimefanyika kufuata BOQ na zimefanyika kwa ustadi au zimechelewa kiasi gani, nini mapungufu yake nk. Ili watu waingie kazini kutathimini hiso kasoro au ikiwezekana kujua nini kilicho ndani ya pazia.
Wajengee wapi wakati wameshajenga! Kwani wana plan ya kujenga upya?Kwa hiyo kwa utaalamu wako wewe usiye ,,fala'' ungependelea wajengee wapi?
Ni vyema ungewauliza UDaRT gharama wanazoingia na usumbufu wanaoupata kipindi hiko cha mafuriko. Otherwise sijui unachojaribu kutetea hapa ni kipi!? Au wewe ndio wale wenye private car mnaopitia Ally Hassan Mwinyi road kipindi hicho na kutuachia wengine msala wa kuvuka jangwani na boxer?Unajuaje kama Serikali ndivyo ilivyotaka pale patumike hivyo? Mjenzi anajenga kulingana na mlipaji anavyotaka, isitoshe ni mara ngapi kwa mwaka pale panafurika na kushindwa kutumika?
Kuandika tu yenyewe shida! Aisee!Kajenge wewe basi ambayo kufunga solar tu nyumban kwenu umeshindwa wazaz wako wa nahangaika na umesomea mutu ya ajabu sana wewe unakuja kucrash kitu ambacho huna ujuz nacho
Wajengee wapi wakati wameshajenga! Kwani wana plan ya kujenga upya?
Ni vyema ungewauliza UDaRT gharama wanazoingia na usumbufu wanaoupata kipindi hiko cha mafuriko. Otherwise sijui unachojaribu kutetea hapa ni kipi!? Au wewe ndio wale wenye private car mnaopitia Ally Hassan Mwinyi road kipindi hicho na kutuachia wengine msala wa kuvuka jangwani na boxer?
You sound like you are one of the Arab at the project.Sounds like u have a grudge on this project.
Hata wewe mwenyewe unaona aibu kusapoti ujenzi wa barabara ya msimu katikati ya jiji. Kwa hiyo mlipaji alitaka mwendokasi iwe ya msimu? Kukwepa gharama? Halafu unajenga pedastrian bridge Ubungo kwa bei sawa au kuzidi gharama za ujenzi wa daraja nzuri kuliko hilo ambalo level zake zinaflash na Msimbazi river banks?Unajuaje kama Serikali ndivyo ilivyotaka pale patumike hivyo? Mjenzi anajenga kulingana na mlipaji anavyotaka, isitoshe ni mara ngapi kwa mwaka pale panafurika na kushindwa kutumika?
Hata wewe mwenyewe unaona aibu kusapoti ujenzi wa barabara ya msimu katikati ya jiji. Kwa hiyo mlipaji alitaka mwendokasi iwe ya msimu? Kukwepa gharama? Halafu unajenga pedastrian bridge Ubungo kwa bei sawa au kuzidi gharama za ujenzi wa daraja nzuri kuliko hilo ambalo level zake zinaflash na Msimbazi river banks?Unajuaje kama Serikali ndivyo ilivyotaka pale patumike hivyo? Mjenzi anajenga kulingana na mlipaji anavyotaka, isitoshe ni mara ngapi kwa mwaka pale panafurika na kushindwa kutumika?
Hili haliitaji mjadara, wamisri hawana uwezo wa kujenga power plantS za megawatts 200, tutakuja laumiana mbele ya safari....
Wamisri hawana mito hata midogomidogo ya kujifunzia kujenga miradi midogomidogo wao mto Nile ndio pekee na lile Bwawa lao la Aswan, kubwa kuliko yote Afrika, halikujengwa na wao. Tanzania ingekuwa vigumu sana kupata mkandàrasi mwenye uzoefu kwa sababu nchini nyingi hazikutaka Bwawa hilo lijengwe mahali hapo kwa sababu zinazoeleweka kwa hiyo Misri ikatumia nafasi hiyo ili Tanzania iwe upande wao kwenye mazungumzo yoyote kuhusu matumizi ya maji ya mto Nile unaoanzia kwetu. Sasa hivi kuna mgogoro mkubwa kati Misri na Ethiopia inayojenga Bwawa la umeme kubwa kuliko yote Afrika katika tawi moja la mto Nile kwa hiyo Tanzania isingejenga hilo Bwawa hapo ingejenga Kagera chanzo Cha mto Nile.Hili haliitaji mjadara, wamisri hawana uwezo wa kujenga power plantS za megawatts 200, tutakuja laumiana mbele ya safari....