Daaaaaah mbona unamshabulia mwenzio bila sababu, Yeye katoa maoni maana anaonesha jinsi gani mradi uishe kwa Ufasaha na ufanisi.We una utaalamu kiasi gani au ndio utaalam kwenye mambo ya majungu na fitna za kiafrika?
Najua unatamani mradi ufeli ili upate cha kuongea, kwa uwezo wa Mungu mradi utaisha na nchi itanufaika sana
Au kama na wewe unaelewa chochote kuhusu hoja ya mwenzio tutoa tongotongo tusio elewa kitu