Watafutwe na wasagajiHakuna aliye juu ya SHERIA lamda Kizimkazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watafutwe na wasagajiHakuna aliye juu ya SHERIA lamda Kizimkazi.
Ngoja tuone mwisho wake, japo binafsi hainiingii akilini otherwise kwakua sina taaluma ya sheria.Je, unajua sababu ya kufanya Upelelezi au Uchunguzi wa kijinai??
Nini hasa lengo la Kufanya Upelelezi??
Pembeni wapi?Ww hujui sheria kaa pembeni
Labda ana undugu na wakubwa zaidi!Mrakibu msaidizi wa polisi mbona cheo cha kawaida inakuwaje awe untouchable?
Mimi nimetabasamuHuyu wakili kanichekesha🤣
Si angetumia tafsida tu🤣🤣
Kwani we hujacheka..?
Aya bana..hujambo lakini..?Mimi nimetabasamu
Nitakupa namba yanguNaombeni namba ya simu ya mume wake nikamfariji.
Huenda ikawa hivyo ila sheria haiangalii status ya mtu hivyo waache kupindisha mambo.Labda ana undugu na wakubwa zaidi!
Hapana bana. Ya mume wa afande natakaNitakupa namba yangu
Ni kweli.Huenda ikawa hivyo ila sheria haiangalii status ya mtu hivyo waache kupindisha mambo.
Ila ana sura ya kipolisi. Kauzu face
FesibukuPembeni wapi?
Sijambo Shangazi vipi weweAya bana..hujambo lakini..?
Hakuna polisi amewahi kuwa smart hapa tanzania. Utkuwa smsrt unaposhughulika na la mwingine tu.Kwani hawa watu hawako smart kiasi cha kufanya mambo kizembe kizembe namna hii ilhali mara zote askari huwa wako smart zaidi kuliko raia?
Yaani sisi raia tunataka kujifanya ndiyo smart kuliko watu ambao ni professional?
Hili tukio limefanywa makusudi. Askari ni watu smart mno hawawezi kufanya kitu kizembe kizembe namna hii.
Mbali na hayo, kwa ujumla wao, fact ni kwamba askari huwa ni waadilifu kuliko raia
Alhamdulilah...no badSijambo Shangazi vipi wewe
No bad man au sioAlhamdulilah...no bad