Mrakibu Msaidizi wa Polisi Fatuma Kigondo afunguliwa shtaka la kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti wa Yombo

Mrakibu Msaidizi wa Polisi Fatuma Kigondo afunguliwa shtaka la kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti wa Yombo

Je, unajua sababu ya kufanya Upelelezi au Uchunguzi wa kijinai??
Nini hasa lengo la Kufanya Upelelezi??
Ngoja tuone mwisho wake, japo binafsi hainiingii akilini otherwise kwakua sina taaluma ya sheria.

ILa tukifanya pupara tutapoteza as long swala lenyewe lina baraka na wamiliki wa dola lets see
 
Kwani hawa watu hawako smart kiasi cha kufanya mambo kizembe kizembe namna hii ilhali mara zote askari huwa wako smart zaidi kuliko raia?

Yaani sisi raia tunataka kujifanya ndiyo smart kuliko watu ambao ni professional?

Hili tukio limefanywa makusudi. Askari ni watu smart mno hawawezi kufanya kitu kizembe kizembe namna hii.

Mbali na hayo, kwa ujumla wao, fact ni kwamba askari huwa ni waadilifu kuliko raia
Hakuna polisi amewahi kuwa smart hapa tanzania. Utkuwa smsrt unaposhughulika na la mwingine tu.

Hawahawa polisi wanakamatishwa na raia kwa rushwa za buku 3?

Kama umesikia maelezo ya huyo boss wao RPC ambae ndio anadhaniwa kuwa smart kuliko polisi wote mkoni dodoma utakaa mdomo wazi.
Raia zaidi ya 68% ni smart kuliko polisi njaa ambao matumizi ya nguvu ni 90%, akili 10%
Polisi smart ni less than 30% walio baki ni Mungu tu anatulinda
 
Na huyo afande atakuwa na kadi ya CCM.
Maana matukio ya kuharibu na kujeruhi tupu za nyuma za watu yameshamiri sana kule kwa Gekul tulisikia kijana alivyoshindiliwa chupa kwenye tupu yake ya nyuma.
Tukemee hii tabia ya kuumiza tupu za watanzania.
 
hata kama huko mbeleni watafanya 'as usual' ili kumnasua afande lakini kwa kuanzia ni hatua nzuri, kongole kwa wakili msomi.
 
Back
Top Bottom