SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,020
- 1,057
Habari ndugu ZANGU...
Baada ya MKE kwenda kwa wazazi wangu na wake ,,,,
Mimi nilikuwa naendelea na uchunguzi wangu...,,Kuna taarifa niliipata wakati anaondoka Nyumbani kwangu kuna JAMAA ambaye anaishi NYUMBA ya Jirani,, aliyekuwa akimtongoza ,,, kwahiyo mwanamke alimtafuta JAMAA huyo akiomba amtafutie sehemu ya kulala,,,ili kesho yake aende kwa wazazi wake... kwahiyo JAMAA huyo alimtafutia Gesti......alikuwa amemlipia wiki nzima ili JAMAA aweze kula mzigo vizuri,,huyo mwanamke alikaa kwa siku 2,,,AKAAMUA kuondoka guest,,,kwa ajili kutafuta kazi aliyokuwa anaitafuta Tangu mwanzo,,baada ya kukaa mtaani bila kupata michongo ya kazi AKAAMUA kwenda NYUMBANI kwa wazazi wake
Baada ya mwanamke kurudi kwangu kutoka kwa wazazi wake,,,,
Nilipomuuliza kuhusu taarifa hizo...Alikili mwenyewe kwamba JAMAA kweli ndie aliyemlipia guest kwa ajili ya kukaa kwa Muda...na akaniambia ukweli ameshanichit kwa huyo JAMAA...mara mbili...,,, kwahiyo kilichokuwa kimemfanya aondoke kwangu kipindi kile Cha mgogoro alikuwa anajutia kwa aliyoyafanya,,, Alikuwa anajihisi mwenye hatia,,,, kwahiyo anasema ndo maana ameamua kusema ukweli ,,,ameona amenikosea pakubwa...anaomba nimsamehe hatorudia....
Na amesema kilichomfanya afanye vile kwanza ni makundi ya wanawake,,,pili nilikuwa simpi Muda ndo maana hayo yalitokea...
............................................
Sasa ndugu Naomba msaada wenu vipi nimsamehe kwasababu amesema ukweli wake....au niishi nae huku nikiwa natafuta mwanamke mwingine hapo baadae???