MREJESHO 2,, Mwanamke akimbia ndoa yake kisa kazi

MREJESHO 2,, Mwanamke akimbia ndoa yake kisa kazi

Yaani usifikirie tu kwamba jamaa kapewa kitumbua mara mbili, fikiria kwanza walipokuwa wakipeana hayo mautamu n.k mkeo alikuweka kundi gani?
Kiufupi alikuona wewe bwege tu, humfai kwa lolote na jamaa ndo kila kitu na akampa na kumkatikia tena, tena na tena.
Baada ya kuzagamua vya kutosha akaamua kumdump!

Siku zote wake za watu ndivyo wanavyo fanywa.

Ila wewe ndo source wa kila kitu.
Huyo mke sasa, hakufai tena.
Ukiendelea kuishi nae ni kujipa mateso.

Ila mpaka hapo, bila shaka unacho cha kujifunza.
Tambua maisha ya ndoa sio drama ni real life experience.
Suprise hufanyika wakati mkiwa wapenzi. Mambo yanayogusa mstakabari wa maisha ya mkeo, jitahidi uyatimize kwa muda na wakati. Palipo na mkwamo, usisite kumshirikisha.

Mkeo amekuwa victim wa maisha ya ndoa, kwa uzembe wako mwenyewe.

Ukimuacha, jipe muda wa kutosha ujitafakari upwa na kwa kina kabla hujafikia hatua ya kumtafuta mwenzi mwingine.
 
Mkuu mimi kila siku nakwambia hujafuzu kuingia kwenye taasisi ya ndoa.

Haiwezekani mwanaume aliyekomaa kifikra na kimtazamo akashindwa kuresolve mambo madogo na yanayoeleweka kama haya!

Huyo mwanamke kakufikisha ktk hatua hii kwa kujitakia mwenyewe.
Halafu unapokaa na mkeo usijigeuze kama mwalimu mkuu na kumuona yeye mwanafunzi wako.
Kwenye ndoa kuna mambo ya kusolve tit fo tat ili kujiepusha na madhara yatokanayo.
Pia kuna mambo ya kusolve taratibu huku ukimjenga mkeo.
Ukiishi na mke ni rahisi sana kumuelewa na kuendana naye ili kuepuka kupishana kusiko kuwa na ulazima.

Ulitakiwa upunguze umimi na u busy wa mambo yako.
Hakuna kitu anachofurahia mwanamke kama ushirikishwaji.
Ungepungukiwa na nini kama ungekuwa unampa taarifa ya kila hatua unayopitia ktk kufanikisha mambo mazuri uliyo muahidi?
Hujiulizi kwanini mkeo ilitokea akamuamini sana huyo jirani yako kuliko wewe? Coz jamaa alikuwa anamu update kila hatua na kumpa courage that's why akamuwin chap na mzigo akamega!
Kosa la mwanaume ni lipi?
 
Ukitaka kutapeliwa kinamna yoyote Ile
Uwe na hurama na tamaa.

Kaka nadhani hizo sifa mbili unazo,kama huna hizo sifa basi isingekuwa unatusumbua hapa na habari za huyo Malaya wako.
 
Hili jamaa toka muda tuliliambia limetombewa bishi kweli limekomaa na huyo mkewe..!!
Akawa anamtetea na vimaneno vyake vya kwenye khanga, nyoko nyoko nini hajanisaliti ana trauma..!! Aaliyyah unakumbuka?

Sasa hivi kajua km kipapa kilibonyezwa na wajuba anataka ushauri, hapo ukimshauri muache ataanza “Ooh!! Nilimkuta bikra na nimelipa mahari kubwa, hata hivyo kakiri kosa hawezi kurudia.”
Anauhakika Gani kama na nyuma hajabonyezwa??? Tena sasaivi wake za watu wanaongoza Kwa kuliwa viboga, amkague marinda kama yapo, ila asihangaike sana kama mpaka na gesti alikodiwa ili akaliwe basi na marinda washamla hapo Hana mke hapo kwishne hbr.
 
...

............................................
Sasa ndugu Naomba msaada wenu vipi nimsamehe kwasababu amesema ukweli wake....au niishi nae huku nikiwa natafuta mwanamke mwingine hapo baadae???
Mimi nikiwa km Mshauri Mkuu kwenye Baraza Kuu la Wanaume, nasema hivi Ishi nae na usitafute Mwanamke mwingine yaan fanya hivyo Mkuu wa Baraza nimekwambia hutojutia
 
Yaan kwamba wamemtoboa Jicho? Punguzeni nyinyi mkitoka nje hua mnatoaga na Jicho kirahisi hivyo? Yaan muhuni anatomba mnanogewa na kitombo mpaka mnamsusia na Jicho analitoboa pia kweli?
Huwezi amini nimeshaingiwa na ibirisi...japo Nipo nae kwasasa,,,ila nikifanya mapenzi nae... nataka nimtomb@ matundu yote,,,yaani kiufupi ni kama nimemsamehe,,,lakini nimeingiwa na ukatili ndani yake,,,,sasa hivi namfir@,,,namfanya Kwa lazima...

Mniombee,, sielewi Nini naFanya
 
Japo amekili kwangu,na kwa Wazazi alichofanya,,,nimemsamehe kwa kuwa mkweli,,ila Sina Imani nae tena,,,Niko nae kwasasa ila namchukulia kama kiburudisho Cha kukidhi haja ZANGU,,, ....huku nikiwa nafanya nae Mapenzi najikuta naingiwa na ROHO ya kumla TIGO,,,yaani ni kama nataka kumtumia kama Malaya na Sio MKE...

Ndugu nimemsamehe,,,ila naona naingiwa na ROHO ya kumfanyia ukatili wa Ngono...ndo nahisi nitapata NAFUU ya maumivu,,,

Maana naona hata nikawa kazini,,,atanichit tu maana atakuwa mwenyewe nyumbani,, ,, huyo jamaa anaishi Nyumba ya Jirani
 
"nilikucheat mara 2"
-Kauli hii tayari imeisha kuua mwanaume
-Kupitia kauli hii, hakuna tena ndoa hapo

1. Mrudie mkeo muishi lakini jiandae kisaikolojia

2. Fanya uchaguzi utakaokupa amani ya moyo.
 
Habari ndugu ZANGU...
Baada ya MKE kwenda kwa wazazi wangu na wake ,,,,

Mimi nilikuwa naendelea na uchunguzi wangu...,,Kuna taarifa niliipata wakati anaondoka Nyumbani kwangu kuna JAMAA ambaye anaishi NYUMBA ya Jirani,, aliyekuwa akimtongoza ,,, kwahiyo mwanamke alimtafuta JAMAA huyo akiomba amtafutie sehemu ya kulala,,,ili kesho yake aende kwa wazazi wake... kwahiyo JAMAA huyo alimtafutia Gesti......alikuwa amemlipia wiki nzima ili JAMAA aweze kula mzigo vizuri,,huyo mwanamke alikaa kwa siku 2,,,AKAAMUA kuondoka guest,,,kwa ajili kutafuta kazi aliyokuwa anaitafuta Tangu mwanzo,,baada ya kukaa mtaani bila kupata michongo ya kazi AKAAMUA kwenda NYUMBANI kwa wazazi wake

Baada ya mwanamke kurudi kwangu kutoka kwa wazazi wake,,,,

Nilipomuuliza kuhusu taarifa hizo...Alikili mwenyewe kwamba JAMAA kweli ndie aliyemlipia guest kwa ajili ya kukaa kwa Muda...na akaniambia ukweli ameshanichit kwa huyo JAMAA...mara mbili...,,, kwahiyo kilichokuwa kimemfanya aondoke kwangu kipindi kile Cha mgogoro alikuwa anajutia kwa aliyoyafanya,,, Alikuwa anajihisi mwenye hatia,,,, kwahiyo anasema ndo maana ameamua kusema ukweli ,,,ameona amenikosea pakubwa...anaomba nimsamehe hatorudia....

Na amesema kilichomfanya afanye vile kwanza ni makundi ya wanawake,,,pili nilikuwa simpi Muda ndo maana hayo yalitokea...

............................................
Sasa ndugu Naomba msaada wenu vipi nimsamehe kwasababu amesema ukweli wake....au niishi nae huku nikiwa natafuta mwanamke mwingine hapo baadae???

Pumbavu Kabisa wewe kutuomba ushauri kwa mambo wazi kama haya.

Kwa hiyo unaamini haya maneno ?

Alikuwa anajihisi mwenye hatia,,,,
 
"Hata tukikushauri utarudiana nae Tu"
Oya mnajua hili jamaa ni jinga halifai kuwa JF labda liende FB huko, shit
 
"nilikucheat mara 2"
-Kauli hii tayari imeisha kuua mwanaume
-Kupitia kauli hii, hakuna tena ndoa hapo

1. Mrudie mkeo muishi lakini jiandae kisaikolojia

2. Fanya uchaguzi utakaokupa amani ya moyo.
Unasema naweza kuishi nae... lakini nijiandae Kisaiklojia...

Unamaanisha nini?
 
Huyo si wako mkuu tafuta mwingine,kosa kubwa unalokwenda kulifanya ni kukaa na mwanamke ambaye unafahamu fika ni malaya na aliyekula mke wako unamfahamu! Njoo pm tuyajenge.
 
Back
Top Bottom