Mrejesho baada ya kufika Dar usiku na kuomba mwenyeji anipokee kwa dharura

Hahhaa daah kuna siku utakuja kuliwa nyama peupe, unapata wapi ujasiri wa kupokelewa na stranger aisee, mimi hata lift ya stranger sipandi naogopaaa hata awe mwanamke mwenzangu

Sema hongera nyingi kwa Mr M, nae ana ujasiri wa kupindukia
 
Nimeamini sasa kumbe wanaume wema bado tupo eeeeh? Wananchi wenzangu wa mikoani tuache kuwadharau wanaume wa Dar kuna mambo mengine wanatuzidi kwa ustaarabu! Ingawa kasukuma kenzangu katasema Mr. M ana upungufu wa nguvu za kiume!
 
Si kweli,kwa ukarimu wake,ni mwanaume rijali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…