Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
Niliwaambia wanaume tafuteni hela si unaona aliyemchagua mwenye gari. Kataa ndoa kama bado unajitafuta utakuja kufa mapema mwanaume
M bwana kwa vituko, sasa hapa ndiyo alikuwa kishamaliza "No reform, no election" au ndiyo alikuwa anaenda kununua condom?
Mkeka wa MAMA
Tangazo hilooooo.Jana nilikuwa safarini kuja Dar na bahati mbaya mwenyeji wangu niliyekusudia kunipokea simu yake haikupatikana
Kwa kuwa mimi siyo mwenyeji saaana,kupitia hapa jf niliomba kupata msaada wa mtu kujitokeza anipokee maana ningefika usiku sana
Hata hivyo nashukuru sana kwa wenyeji kujitokeza kwenye pm yangu ili wanipokee,jumla ya watu 87 walijitokeza kunipokea bahati mbaya hakuna mwanamke aliyejitokeza kunipokea, nashukuru sana hao 87
Niliwapa watu 11 namba yangu ya simu,watu 7 walinipigia ila wanne walinitext
Nilipofika stendi watu watatu walihakikishia kuwa wapo stendi ya Magufuli ila wawili walikuwa na magari,mmoja yeye alikuwa kwa mguu akiniahidi kwenda kwa daladala Mbagala
Niliposhuka niliondoka na jamaa mmoja aliyejitambulisha Kama M sitamtaja majina yake kwa faragha
Kwenye gari yake walikuwa wanaume watano,mpaka nikaogopa ila wakanihakikishia kuna usalama,nikaingia kwenye gari
Nikakaa siti ya mbele na M tukaanza kuondoka,huku nilimuuliza M Kama hawa jamaa wengine ni member JF akasema hapana
Safari ikaenda Kama saa 3,tukaingia kwenye majengo fulani kwa bahati nikawa nimeona sehemu pameandika Nkuruma hosteli,nikamuuliza M mbona huku ni hosteli,akajibu nataka nishushe hawa wenzangu hapa tuendelee na safari...........
Itaendelea
Huwajui wana JF au kwa vile wewe sio mwanamke unadhani kwanini asilimia kubwa ya wanawake wamefunga PMs zao? Watu wana vurugu sio mchezoNimeishia hapo kwenye watu 87 wakashoboka kukupokea.
Unanyota ya jah
Hata kama ungekua ni wewe, uache kupigwa na AC ukaparamie daladala za Mbagala kweli!!!Ukaangukia kwa mwenye, kweli nimeamini gari na mbususu ni samaki na maji
Sure mkuuMental health is real.
Vitu vyako vya totozMh! mi sihusiki
Nimeokoka mi ni muumini wa mwamposa!..🤣Vitu vyako vya totoz
Nikajua mkuu papiro , ushapita nayo chiefMwanisingjzia nyie bwana
Amesema M, itakuwa ni Wewe!Niliwaambia wanaume tafuteni hela si unaona aliyemchagua mwenye gari. Kataa ndoa kama bado unajitafuta utakuja kufa mapema mwanaume