vijana hawana dogoMpaji Mungu tunakutafuta tangu jana kumbe uko busy na mapokezi🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Mligusanisha vikojoleo?Jana nilikuwa safarini kuja Dar na bahati mbaya mwenyeji wangu niliyekusudia kunipokea simu yake haikupatikana
Kwa kuwa mimi siyo mwenyeji saaana,kupitia hapa jf niliomba kupata msaada wa mtu kujitokeza anipokee maana ningefika usiku sana
Hata hivyo nashukuru sana kwa wenyeji kujitokeza kwenye pm yangu ili wanipokee,jumla ya watu 87 walijitokeza kunipokea bahati mbaya hakuna mwanamke aliyejitokeza kunipokea, nashukuru sana hao 87
Niliwapa watu 11 namba yangu ya simu,watu 7 walinipigia ila wanne walinitext
Nilipofika stendi watu watatu walihakikishia kuwa wapo stendi ya Magufuli ila wawili walikuwa na magari,mmoja yeye alikuwa kwa mguu akiniahidi kwenda kwa daladala Mbagala
Niliposhuka niliondoka na jamaa mmoja aliyejitambulisha Kama M sitamtaja majina yake kwa faragha
Kwenye gari yake walikuwa wanaume watano,mpaka nikaogopa ila wakanihakikishia kuna usalama,nikaingia kwenye gari
Nikakaa siti ya mbele na M tukaanza kuondoka,huku nilimuuliza M Kama hawa jamaa wengine ni member JF akasema hapana
Safari ikaenda Kama saa 3,tukaingia kwenye majengo fulani kwa bahati nikawa nimeona sehemu pameandika Nkuruma hosteli,nikamuuliza M mbona huku ni hosteli,akajibu nataka nishushe hawa wenzangu hapa tuendelee na safari...........
Itaendelea
Mshamba hachekwiMin-me
Mpaji MunguMshamba hachekwi
Mbwa dumeMpaji Mungu
Nyie wanne ndio mlikua active sana wakati mgeni anakuja.Mbwa dume
One,two!
kwann useme nyama ya mbuziBro si ushaitwa vingunguti yombo bar.....nenda kale nyama mbuzi hapo 😁
Vingunguti kuna soko la mbuzi, nyama kama zote.....kwann useme nyama ya mbuzi
Hivi ndiye yule aliyeleta kisa cha kupewa nauli ya 7800 ?Jana nilikuwa safarini kuja Dar na bahati mbaya mwenyeji wangu niliyekusudia kunipokea simu yake haikupatikana
Kwa kuwa mimi siyo mwenyeji saaana,kupitia hapa jf niliomba kupata msaada wa mtu kujitokeza anipokee maana ningefika usiku sana
Hata hivyo nashukuru sana kwa wenyeji kujitokeza kwenye pm yangu ili wanipokee,jumla ya watu 87 walijitokeza kunipokea bahati mbaya hakuna mwanamke aliyejitokeza kunipokea, nashukuru sana hao 87
Niliwapa watu 11 namba yangu ya simu,watu 7 walinipigia ila wanne walinitext
Nilipofika stendi watu watatu walihakikishia kuwa wapo stendi ya Magufuli ila wawili walikuwa na magari,mmoja yeye alikuwa kwa mguu akiniahidi kwenda kwa daladala Mbagala
Niliposhuka niliondoka na jamaa mmoja aliyejitambulisha Kama M sitamtaja majina yake kwa faragha
Kwenye gari yake walikuwa wanaume watano,mpaka nikaogopa ila wakanihakikishia kuna usalama,nikaingia kwenye gari
Nikakaa siti ya mbele na M tukaanza kuondoka,huku nilimuuliza M Kama hawa jamaa wengine ni member JF akasema hapana
Safari ikaenda Kama saa 3,tukaingia kwenye majengo fulani kwa bahati nikawa nimeona sehemu pameandika Nkuruma hosteli,nikamuuliza M mbona huku ni hosteli,akajibu nataka nishushe hawa wenzangu hapa tuendelee na safari...........
Itaendelea
Mm bado mtoto 😎Mbaga
Mad max
Wakauu hivi 3sm ya kuanzia mtu Tano mnaitaje?Jana nilikuwa safarini kuja Dar na bahati mbaya mwenyeji wangu niliyekusudia kunipokea simu yake haikupatikana
Kwa kuwa mimi siyo mwenyeji saaana,kupitia hapa jf niliomba kupata msaada wa mtu kujitokeza anipokee maana ningefika usiku sana
Hata hivyo nashukuru sana kwa wenyeji kujitokeza kwenye pm yangu ili wanipokee,jumla ya watu 87 walijitokeza kunipokea bahati mbaya hakuna mwanamke aliyejitokeza kunipokea, nashukuru sana hao 87
Niliwapa watu 11 namba yangu ya simu,watu 7 walinipigia ila wanne walinitext
Nilipofika stendi watu watatu walihakikishia kuwa wapo stendi ya Magufuli ila wawili walikuwa na magari,mmoja yeye alikuwa kwa mguu akiniahidi kwenda kwa daladala Mbagala
Niliposhuka niliondoka na jamaa mmoja aliyejitambulisha Kama M sitamtaja majina yake kwa faragha
Kwenye gari yake walikuwa wanaume watano,mpaka nikaogopa ila wakanihakikishia kuna usalama,nikaingia kwenye gari
Nikakaa siti ya mbele na M tukaanza kuondoka,huku nilimuuliza M Kama hawa jamaa wengine ni member JF akasema hapana
Safari ikaenda Kama saa 3,tukaingia kwenye majengo fulani kwa bahati nikawa nimeona sehemu pameandika Nkuruma hosteli,nikamuuliza M mbona huku ni hosteli,akajibu nataka nishushe hawa wenzangu hapa tuendelee na safari...........
Itaendelea
Ulijiamini sana kiasi naweza kusema wewe ni mwanaume na nusuKwenye gari yake walikuwa wanaume watano,mpaka nikaogopa ila wakanihakikishia kuna usalama,nikaingia kwenye gari