Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,473
- 3,542
Biashara tu ya mtandaoni hakuna mgeni hapo
Achana na story za jana sister wewe nikupokee wapi leo...
Alafu kweli sasa wanaosemaga wametandika kimasihara kina nani hao? Alafu daslama hakunaga uhaba wa wanawakeKama ni kweli basi VIjana wengi wa Kiume humu JF inaonekana wana uhaba wa wananawake.
Mi nipo zangu mitipwili sisafiri....Achana na story za jana sister wewe nikupokee wapi leo...
TULIA 😆Chai
Ahsante nitumie picha nijue nafata nini na uniweke kwenye mkeka wa 88...Njoo vingunguti ,Yombo Sam bar
Ndo maana ccm haipopolewiNimecheka sana hapo kwenye 87 na hapo kwenye members wa JF
Nacheka kama mazuri eti wa 88😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 ila JF ina vijana balehe wengiAhsante nitumie picha nijue nafata nini na uniweke kwenye mkeka wa 88...
Mitipwili karibu hapo nimetoka Bedford view hapo si nafika siku hiyo hiyo toa location vizuri na huwa sina kawaida ya kupotea..Mi nipo zangu mitipwili sisafiri....
Bro si ushaitwa vingunguti yombo bar.....nenda kale nyama mbuzi hapo 😁Mitipwili karibu hapo nimetoka Bedford view hapo si nafika siku hiyo hiyo toa location vizuri na huwa sina kawaida ya kupotea..
Mbaga au mzabzab , Mbaga ana gari?mzabzab yule anajitangaza ana miwaya hashindwagiM siyo @mbagga jr kweli
Nimekubali kweli hii ilikuwa biashara!! ila hongera kwa ubinifu!!Si kweli best