Mrejesho: Biashara ya madini aina ya dhahabu

Mm ninavyo fikiri hiyo ya million 25 ni ya migodi mikubwa ambayo inatuma usumaku mbali na uso wa dunia lakini Kama ni jirani tu hiyo ya laki tatu inafaa
Mtaibiwa mchana kweupe!
Fanyeni utafiti nje ya box.

Tafuta tu hata shuhuda huru (sio zilizopostiwa na kampuni inayouza hizo detector) tafuta mdhibiti ubora (kama vile tbs kilipo kiwanda) aliyeidhinisha kifaa husika.

Mtaibiwa na wahuni wa dubai.
 
Ahsante mkuu ila ukweli mimi nimeshaujuwa uko wapi so cha msingi wacha nitie nia one day yes coz nimeona kwa macho yangu na kujifunza kwa mda mrefu sana katika hili
 
Mtaibiwa mchana kweupe!
Fanyeni utafiti nje ya box.

Tafuta tu hata shuhuda huru (sio zilizopostiwa na kampuni inayouza hizo detector) tafuta mdhibiti ubora (kama vile tbs kilipo kiwanda) aliyeidhinisha kifaa husika.

Mtaibiwa na wahuni wa dubai.
Cha ajabu ni kwamba dubai wanauza tu ila mtengenezaji ni Mmarekani na nilishaagiza ndogo zake shihuda mzuri ni Member Mwl RCT ndio aliyoiagiza na ilikuwa na uwezo wa kudetect 1m lakini mpaka sasa mwenye nayo amemiliki vingi kupitia hilo kopo unalolisema wewe sasa cjajua TBS wa Tanzania na Marekani wepi waongo
 
Ahsante mkuu ila ukweli mimi nimeshaujuwa uko wapi so cha msingi wacha nitie nia one day yes coz nimeona kwa macho yangu na kujifunza kwa mda mrefu sana katika hili
Ningekua na muda ningekupa mpaka walalamikaji wanaozidai kampuni zilizowaingiza mkenge including GER DETECTOR.

Anyway nikwambie tu "natural mystic flows through the air" (if you listen carefully enough you will hear)

Nikwambie kwa lugha nyingine "UKWELI HAUPAMBWI"
 
Nazoziongelea ni LONG RANGE DETECTOR.

Kama unachonukuu ni minelab and the like metal detector you are Wright.
 
Sawa mkuu soon nitakupa mrejesho maana tayari ilishaagizwa
 
Mimi binafsi naamini kabisa katka maisha hasa utafutaji wa rizki kuna risks lakini risks zengine wakuu zinaepukika ni swala tu la kutumia akili Sana kuliko mihemko...

Don't let your emotional control your thinking...
 
Nimeagiza minlab ila zile kubwa product ya mmarekani
Minelab
Nimeagiza minlab ila zile kubwa product ya mmarekani
Minelab kubwa ni GPZ 7000 yenye super coil ambayo unapaswa kuwa na kaujuzi kama sio kauzoefu kwenye "ground balancing" ili uweze kudeferenciate kati ya gold between other metals.
 
[emoji1732][emoji14][emoji106]! Maisha yangekuwa rahisi hivyo asingekuwepo wa kulalamika...wote tungehamia geitaaa[emoji1732][emoji14]
Mi mwenyewe nimejiuliza haya maswali ingekuwa hiyo mashine ina faida kiasi hicho maduka kko posta yangefungwa woote wangeamia huko hii naona kama kilimo kinalipa lakini ingia uone faida na hasara zake
 
Nimesoma nimeelewa sasa nasema hivi hakuna chochote kitakachonizuia nisifanye biashara ya madini iwe kwa kununua mawe, kununua dhahabu au vyovyote ilimradi ni ishu ya dhahabu naenda kufanya na hiyo mitaji mnayoisema ya 5m au 10m mi sina na ntatoboa tu na laki 4 zangu.
Nitarudi kutoa shuhuda hapa hapa!
 
Kun
Nanunua kutoka kwa wachimbaji dhahabu ikiwa haijayeyushwa ila imechomwa moto tu kisha naenda kuuza kwa dealer sokoni ambako kuna majiko ya kuyeyusha
Kunaulazima wa kuuza kwa dealers hao wenye majiko. Je ukitaka uza kwengine utaratibu upoje?
 
Mkuu, nitakutafuta soon..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…