Mrejesho: Biashara ya madini aina ya dhahabu

Well said
 
Fao 1 ni tani ngapi?
 
Boss HUE NDA UKAHITAJI

KUSAJIL KAMPUNI
-jina la Biashara
-limited caompany
-partneship

HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS)

KUANDIKA MEMORANDUM

KUANDAA TENDA

VISA YA KUSAFIRIA

CRB

USAFI WA:
-Majumbani
-Viwandani
-maofisini
-hosipitalini
-shuleni
-maeneo ya jamii

TUKO NA UZOEFU WAKITOSHA

Wasiliana nasi kwa # 0788104228

USHAURI NI BURE

Popote ulipo TANZANIA tunakupa huduma.
Klin&Brite
 
We mdanganye mwenzio tu
 

Kupata real ndio mtihani....wapi mtu anaweza kununua hii
 
KWA HUDUMA

KUSAJIL KAMPUNI
-jina la Biashara
-limited caompany
-partneship

HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS)

KUANDIKA MEMORANDUM

USAFI WA:
-Majumbani
-Viwandani
-maofisini
-hosipitalini
-shuleni
-maeneo ya jamii

TUKO NA UZOEFU WAKUTOSHA

Wasiliana nasi kwa # 0788104228

USHAURI NI BURE

Popote ulipo TANZANIA tunakupa huduma.
Klin&Brite
 
Upo sahihi mkuu,wengi wao wanaoingia mkenge kwenye hz detector,hata migodini hawajawahi kufika...

Na ndio hao hao utasikia wanasema "wachimbaji wadogo hawana elimu wapo local" wakati hapo mtu kawekeza mamilioni ya hela...

Sijawahi kuona biashara iliyojaa matapeli km biashara ya dhahabu ..yaani sio tu Africa mpk ulaya...
Tuweni makini ndugu zangu
 
Wapambanaji wenzangu najiaandaa kuleta mrejesho wa biashara ya madini ya dhahabu msimu wa pili ( Gold business feedback second season). Hii ni baada ya Mimi kujitosa kwenye biashara hii, June twenty twenty nilikuja jukwaani kutaka kufahamu abc za hiyo biashara kutoka kwa experts. Miezi sita baadae yaaani December nilileta mrejesho wa wapi nimefikia. Wapo waliodhani ni promota niliyetumwa kuja kuibia watu. Sasa nikikaribia kukamilisha mwaka juni hii ya twenty twenty one nitaleta mrejesho wa ups and downs na wapi nilipo. Hii ni kutia hamasa miongoni mwa vijana kuona kila utakachodhamilia utakifikia panapo juhudi, nidhamu na kutokata tamaa.
 
Ndama vp unaendeleaje mkuu?

Ulifanikiwa?!
 
Tunasubiri mrejesho mkuu😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…