Wazee wengi hatuna meno ya mbele kutokana na kung'ooka, hivyo Babu yako nashindwa kutamka baadhi ya matamshi Kwa ufasaha πIla babu eti kina mobero πππ
Nyie ni wahuni wa zamani hakuna cha meno kungβoka πWazee wengi hatuna meno ya mbele kutokana na kung'ooka, hivyo Babu yako nashindwa kutamka baadhi ya matamshi Kwa ufasaha π
Ukitaka kuamini hilo nipe kazi ya kutamka jina lako kama nitaweza πππ
Ukisoma post za nyuma ameeleza.Faida ya kufungua kampuni ni nini?
Haya babuKweli nakwambia, ni Uzee tu π€
Nyie wa siku hizi sio kina babu ila ni babuu πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈKuwa na imani na Wazee π€
Ukikodi kwa miaka 10, wanakuwa nakuchungulia, baada ya hiyo miaka kwisha, utapigiwa kudi hata mara 4 yake ili ushindwa wachukue wao.Uzi nzuri Sana ..naomba kuongezea...
Kuhusu wizi tumia technology..nenda jukwaa la IT wakueleze kuhusu vitasa vya card. Na software zake iwe chumba kikipata Tu mgeni unapata notifications hapo hapo...hata kama wa short time.....
Kwingine since wewe ni mpya kwenye biashara nashauri Fanya research ya lodge zilizo kufa au kukosa soko ikiwezekana uzi Kodi upige hela ..
Wengi wanashindwa maintenance Tu...sasa badala ya wewe kutumia hela nyingi kujenga zingine ...jaribu kukodi Kwa mkataba mrefu ..itakusaidia vitu viwili....kwanza utapunguza competition since competition umeinunua...pili utantumia hela ndogo for expansion...
Unaweza amini kkoo kuna hotel inakodishwa Kwa milioni 4 Tu Kwa mwezi wakati ni jengo la ghorofa 8..?
kisa muasisi kafa na watoto wanakula hela yote hawafanyi maintenance..
All in all nakutakia all the best miaka miachache kutoka sasa uwe na lodge hata tano...
Niliagiza kuku nikajua bei ni kama huku kwetu kazulamimba mwisho naletewa bili 28,000/=, kesho yake niliagiza kitimoto Kuna bar ipo mbele kama unaelekea stand naambiwa kilo ni sh.16,000/= , huo mji unamzunguko mkubwa sana Wa pesa pia vitu ni aghali sana kuliko mji wowote Tanzania.Kuna Jamaa ana itwa choma zone, kapindua meza kibabeπ.
Ali kuwa kuku mzima???, Mzunguko upo mkubwa mnooNiliagiza kuku nikajua bei ni kama huku kwetu kazulamimba mwisho naletewa bili 28,000/=, kesho yake niliagiza kitimoto Kuna bar ipo mbele kama unaelekea stand naambiwa kilo ni sh.16,000/= , huo mji unamzunguko mkubwa sana Wa pesa pia vitu ni aghali sana kuliko mji wowote Tanzania.
Yaa kuku mzima tulishazoea kule kwetu ni 12,000Ali kuwa kuku mzima???, Mzunguko upo mkubwa mnoo
Dahππ, wali kuweza - hela ya kuku wawili hiyoππYaa kuku mzima tulishazoea kule kwetu ni 12,000
Ndiyo maana Kuna mtu alishauri vyema kuuliza bei kabla ya kufanya manunuziNiliagiza kuku nikajua bei ni kama huku kwetu kazulamimba mwisho naletewa bili 28,000/=, kesho yake niliagiza kitimoto Kuna bar ipo mbele kama unaelekea stand naambiwa kilo ni sh.16,000/= , huo mji unamzunguko mkubwa sana Wa pesa pia vitu ni aghali sana kuliko mji wowote Tanzania.
Kwenu wapi Kuku elfu 12?Yaa kuku mzima tulishazoea kule kwetu ni 12,000
Share utafiti wako kuhusu hili boss nami niko interested sanaSahihi Mkuu
Ila najipanga kufungua biashara ya Starehe kama Liquid Pub ama Bambalaga
Nimeifanyia tathmini inahitaji hela ndefu kidogo ila Mtaji unarudi mapema pia
Sawa Mkuu, ila ingefaa kama nitaleta practical report baada ya kuutekeleza huo Mradi.Share utafiti wako kuhusu hili boss nami niko interested sana
Ludewa tena hiyo bei ilipanda baada ya wachina kuja hapo liganga kabla kuku tulikua tunanua tetra 3000, jogoo 5000.Kwenu wapi Kuku elfu 12?
Nikiwa nimeenda kwenye ule mji wa Uchimbaji, Kuku Choma wanauza elfu 22 sijui sahivi kama bei imeshuka ama laa.
Pale Dodoma Chako ni Chako mara ya mwisho Kuku mzima nilinunua elfu 12
Wahudumu utakaowapata uje uwape semina ya customer care na kujitambua kwanza, hilo eneo la customer care watanganyika wako nyuma sana yaani unaingia mahali unakaa then unaangaza hukunahuko kuona kama Kuna mhudumu baadae ndo anakuja mhudumu buku mkononi anachat au kuongea na cm wala hajali kwamba Kuna mteja na unaratiba zako baada ya hapo na kwenye bar mhudumu akishapata bwana wa kumnunulia beer na atakayeondoka naye basi ataganda ktk hiyo meza na kusahau kazi yake yaani kila Mara umuite pssspsss ndo aje kutingishatingisha chupa na kuzibua vizibo, nenda nchi jirani ya Kenya uone yaani ujakaa kwenye kiti mhudumu ameshafika anakukaribisha na unahudumiwa vizuri sana na sio mhudumu anakuchekea chekea ili umtongoze au umnunulie beer.Sawa Mkuu, ila ingefaa kama nitaleta practical report baada ya kuutekeleza huo Mradi.
Kuna mambo nayaweka sawa kwasasa, hadi kufikia December 2024 huenda nikawaalika tukaizindue hii Pub πͺ
Shida ya huyo mzee sio kufa ila shida ni kuwa bidii zote za hospital zilifeli ikawa kimbilio lake yeye na nafsi yake ilikuwa ni kwa Allah pekeyake hiki kisa nikikusimulia kinatisha sana hakika huyo mzee amefariki huku anatoka machozi ya majuto