Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

Ila babu eti kina mobero πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wazee wengi hatuna meno ya mbele kutokana na kung'ooka, hivyo Babu yako nashindwa kutamka baadhi ya matamshi Kwa ufasaha 😜

Ukitaka kuamini hilo nipe kazi ya kutamka jina lako kama nitaweza πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Nyie ni wahuni wa zamani hakuna cha meno kung’oka πŸ˜‚
 
Faida ya kufungua kampuni ni nini?
Ukisoma post za nyuma ameeleza.

Faida Moja wapo ya kusajiri Lodge kuwa Kampuni ni kupata punguzo la Kodi.

Mfano gharama nilizotumia hapo 110M zingekuwa ni sehemu ya Mtaji wa Kampuni kwahiyo mwanzoni itakuwa inasoma -negative vs Mapato wakati unafunga hesabu ya Mwaka
 
Uzi nzuri Sana ..naomba kuongezea...

Kuhusu wizi tumia technology..nenda jukwaa la IT wakueleze kuhusu vitasa vya card. Na software zake iwe chumba kikipata Tu mgeni unapata notifications hapo hapo...hata kama wa short time.....

Kwingine since wewe ni mpya kwenye biashara nashauri Fanya research ya lodge zilizo kufa au kukosa soko ikiwezekana uzi Kodi upige hela ..

Wengi wanashindwa maintenance Tu...sasa badala ya wewe kutumia hela nyingi kujenga zingine ...jaribu kukodi Kwa mkataba mrefu ..itakusaidia vitu viwili....kwanza utapunguza competition since competition umeinunua...pili utantumia hela ndogo for expansion...

Unaweza amini kkoo kuna hotel inakodishwa Kwa milioni 4 Tu Kwa mwezi wakati ni jengo la ghorofa 8..?

kisa muasisi kafa na watoto wanakula hela yote hawafanyi maintenance..

All in all nakutakia all the best miaka miachache kutoka sasa uwe na lodge hata tano...
Ukikodi kwa miaka 10, wanakuwa nakuchungulia, baada ya hiyo miaka kwisha, utapigiwa kudi hata mara 4 yake ili ushindwa wachukue wao.
 
Kuna Jamaa ana itwa choma zone, kapindua meza kibabeπŸ˜„.
Niliagiza kuku nikajua bei ni kama huku kwetu kazulamimba mwisho naletewa bili 28,000/=, kesho yake niliagiza kitimoto Kuna bar ipo mbele kama unaelekea stand naambiwa kilo ni sh.16,000/= , huo mji unamzunguko mkubwa sana Wa pesa pia vitu ni aghali sana kuliko mji wowote Tanzania.
 
Ali kuwa kuku mzima???, Mzunguko upo mkubwa mnoo
 
Nyie wa siku hizi sio kina babu ila ni babuu πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
πŸ˜…πŸ˜… Wazee tutakupa lazi ukiendelea kutusema vibaya
 
Niliagiza kuku nikajua bei ni kama huku kwetu kazulamimba mwisho naletewa bili 28,000/=, kesho yake niliagiza kitimoto Kuna bar ipo mbele kama unaelekea stand naambiwa kilo ni sh.16,000/= , huo mji unamzunguko mkubwa sana Wa pesa pia vitu ni aghali sana kuliko mji wowote Tanzania.
Ndiyo maana Kuna mtu alishauri vyema kuuliza bei kabla ya kufanya manunuzi

Sio ubahiri ila vyema kuwa na nidhamu na bajeti Yako
 
Yaa kuku mzima tulishazoea kule kwetu ni 12,000
Kwenu wapi Kuku elfu 12?

Nikiwa nimeenda kwenye ule mji wa Uchimbaji, Kuku Choma wanauza elfu 22 sijui sahivi kama bei imeshuka ama laa.

Pale Dodoma Chako ni Chako mara ya mwisho Kuku mzima nilinunua elfu 12
 
Share utafiti wako kuhusu hili boss nami niko interested sana
Sawa Mkuu, ila ingefaa kama nitaleta practical report baada ya kuutekeleza huo Mradi.

Kuna mambo nayaweka sawa kwasasa, hadi kufikia December 2024 huenda nikawaalika tukaizindue hii Pub πŸ’ͺ
 
Kwenu wapi Kuku elfu 12?

Nikiwa nimeenda kwenye ule mji wa Uchimbaji, Kuku Choma wanauza elfu 22 sijui sahivi kama bei imeshuka ama laa.

Pale Dodoma Chako ni Chako mara ya mwisho Kuku mzima nilinunua elfu 12
Ludewa tena hiyo bei ilipanda baada ya wachina kuja hapo liganga kabla kuku tulikua tunanua tetra 3000, jogoo 5000.
 
Sawa Mkuu, ila ingefaa kama nitaleta practical report baada ya kuutekeleza huo Mradi.

Kuna mambo nayaweka sawa kwasasa, hadi kufikia December 2024 huenda nikawaalika tukaizindue hii Pub πŸ’ͺ
Wahudumu utakaowapata uje uwape semina ya customer care na kujitambua kwanza, hilo eneo la customer care watanganyika wako nyuma sana yaani unaingia mahali unakaa then unaangaza hukunahuko kuona kama Kuna mhudumu baadae ndo anakuja mhudumu buku mkononi anachat au kuongea na cm wala hajali kwamba Kuna mteja na unaratiba zako baada ya hapo na kwenye bar mhudumu akishapata bwana wa kumnunulia beer na atakayeondoka naye basi ataganda ktk hiyo meza na kusahau kazi yake yaani kila Mara umuite pssspsss ndo aje kutingishatingisha chupa na kuzibua vizibo, nenda nchi jirani ya Kenya uone yaani ujakaa kwenye kiti mhudumu ameshafika anakukaribisha na unahudumiwa vizuri sana na sio mhudumu anakuchekea chekea ili umtongoze au umnunulie beer.
 
Shida ya huyo mzee sio kufa ila shida ni kuwa bidii zote za hospital zilifeli ikawa kimbilio lake yeye na nafsi yake ilikuwa ni kwa Allah pekeyake hiki kisa nikikusimulia kinatisha sana hakika huyo mzee amefariki huku anatoka machozi ya majuto

Watu wanalala makanisani/misikitini na wamekufa vibaya zaidi ya hivyo.

Watu wamefanya anasa zote na bado wanadunda tu.

I don't condone madanguro/umalaya ila sababu yako ni ya kijinga sana (excuse my language).

Huu Uzi ni wa biashara your why or why not inabidi ziwe sababu za kibiashara sio habari za kufikirika.
 
Back
Top Bottom