Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
- Thread starter
- #281
Wazee wengi hatuna meno ya mbele kutokana na kung'ooka, hivyo Babu yako nashindwa kutamka baadhi ya matamshi Kwa ufasaha πIla babu eti kina mobero πππ
Ukitaka kuamini hilo nipe kazi ya kutamka jina lako kama nitaweza πππ