Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Mkuu,
Umesahau jambo msingi.
Andika biashara yako ilipo. WanaJF wakuunge.
Hongera sana.
Umesahau jambo msingi.
Andika biashara yako ilipo. WanaJF wakuunge.
Hongera sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ERoni na Grahams michango yenu na mawazo yenu huwa naifananisha. Akili zenu huwa zinaendanaUkifanya hivyo itakuwa up-to-date na kuzidi kuongeza mapato. Wengi wanajisahau hapo kwenye maintenance, unakuta showers hazifanyi kazi, maji ya moto mara yapo mara hayapo, hudum za Wi-Fi (optional) au huduma za dstv/azamtv zipo mara hazipo, wengi wanaanza na bed and breakfast then wanaishia kati.
All in all hongera sana, pia kwa kushare nasi kutupa changamoto za kimaendeleo.
Nahisi nikiandika Kila kitu Kuna watu watakonect dot na kunitambua ..Mkuu,
Umesahau jambo msingi.
Andika biashara yako ilipo. WanaJF wakuunge.
Hongera sana.
Ambapo nimekadiria kuweza kukusanya shilingi 43,200,000 Kwa Mwaka ambapo nimechukulia kuwa Kila Siku watalala Wageni 4 kati ya Vyumba vyote 10.
Nashukuru Kwa Ushauri wako MkuuMkuu hapo unatarajia kupanga vyumba vinne kati ya kumi mbona namba ndogo hiyo?
Kwanini usiwe na gharama tofauti kuanzia elfu 50 hadi 20 kutokana na hadhi na soko. Siku ambazo ziko slow unaweza kutoa offer 20, 25 kwa chumba?
Hio pesa ina include breakfast na vitu vingine vidogo kuongeza thamani?
Weka lokesheni tukipita tukuungishe.Shukrani pia mkuu, karibu
Imeisha hiyo mkuu umeeleweka.Kama utaenda Wilaya wanayochimba Madini ya Dhahabu Mkoa wa Mbeya utakuwa umefika
Nashukuru Kwa Ushauri wako Mkuu
Nilifanya Idadi ndogo ya wateja 4 Kulala ili kuweza kukadiria Mapato ya Mwaka ambapo unatakiwa kufanya makadirio ya Chini.
Ili hata kama utakuwa umechukua Mikopo Benki uweze kujipima kama utaweza kulipa kulingana na riba watakayokuwa wamekupa.
Kuna kitu wanakiita Internal rate of return ambayo haitakiwi iwe ndogo kuliko riba ya Benki uliyochukulia Mikopo
Shukrani Kwa kushea nasi uzoefuPoa, kwa uzoefu wangu nimeona mikoa flani kupata logde ya maana ni shida, ikifika saa flani zote zimejaa. Kwahiyo ndio kusema kuna wateja wengi kuliko vyumba.
Nimeona pia wengine ukibook siku tano unapewa discount kidogo au ukipanga vyumba vingi as group siku moja.
Vingine ndani vina vitanda viwili, makochi, friji ndogo, breakfast nk. Hapo unachaji pesa nzuri.
Pia nimeona wengine uk-book inadvance kwa siku kadhaa bei inapungua.
Kuna mikakati mingi ya kuvutia wateja kama kuwa na generator, umeme usiokatika.
MUNGU akutangulie.Sahihi Mkuu
Ila najipanga kufungua biashara ya Starehe kama Liquid Pub ama Bambalaga
Nimeifanyia tathmini hahitaji hela ndefu kidogo ila Mtaji unarudi mapema pia