zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,152
- 5,854
Tatizo husalimii watu mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakazia hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo husalimii watu mkuu
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakazia hapa
AmenHuo ndio uanaume, Kila la kheri!
Mi mwakani nawatoa kwenye school bus watembee. Huko mbele ndo tutahamia kayumba ssMiezi michache iliyopita nilianzisha Uzi hapa jf wenye title" Tunao watoa watoto wetu shule za English Medium na kuwarejesha kayumba njooni tufarijiane hapa"
Lengo la Uzi lilikuwa kupata watu watakao nipa " faida" nitakazo zipata kwa kuwarejesha watoto wangu Kayumba plus maneno ya kunifariji ambayo yatasaidia kujustify uamuzi wangu.
Sababu ya kuwarejesha kayumba wanangu ni kuyumba kiuchumi. Nilipata maoni mengi mazuri. Miongoni mwa maoni niliyopata hapa JF ni pamoja na:
1. Itanisaidia kuokoa pesa ambayo ninaweza ku invest katika maeneo mengine muhimu kama vile kuwanunulia viwanja na kuwajengea nyumba watoto wangu so that wanapo fika level ya chuo at least kila mtu awe na nyumba yake moja.
2. Sintokuwa na stress za ada plus mbaya kuliko zote( ile stress maalumu ambayo mzazi unaipata wakati mtoto wako amerudishwa nyumbani ada, wakati wenzake plus jirani zako wanao soma kayumba wanaenda shule.
Nje ya JF nilipata ushauri kutoka kwa
1. Binti yangu ( yeye yupo form three shule ya kayumba pia. Nilimsomesha English Medium kuanzia la kwanza. Anasema daddy kuna watoto wamesoma shule za kiswahili lakini wapo vizuri sana darasani kuliko walio soma shule za kiingereza.
3. Brother wangu wa mtaani ambae na yeye kawarudisha watoto wake kayumba.. (huyu kasomesha hadi chuo but still bado ana watoto wa primary. Alikuwaga kichaa wa shule za English medium.
Anasema mdogo wangu mtoto wako umsomeshe kayumba au English Medium mwisho wa siku wote watakufa watazikwa" anataja jina la makaburi ya mtaani kwetu"
Akaongeza: Tofauti ya kayumba na English Medium ni lugha tu lakini mwisho wa siku wote wanaandaliwa kuajiriwa..
Kingine siku hizi watoto wanaharibika sana so hakuna guarantee mtoto wako atakuja kuwa nani hapo baadae.
Akaongeza " shule nyingi za English Medium zinawafanya wanafunzi hasa watoto wa kiume kuwa watoto walaini laini ( ana experience na watoto wake mwenyewe na rafiki zake)
Halafu haziwafundishi watoto kuhusu uhalisia wa maisha zaidi ya kuwakaririsha masomo so bora umpeleke kayumba akapambane na kukomaa huko.
MIEZI MIWILI BAADA YA KUFANYA UAMUZI.
Nimenunua kiwanja nje ya mji ( ilala rural/ mvuti) kwa sh.laki tisa na mwezi ujao Insha'allah nitapiga msingi( fundi wangu yupo kinondoni ambae alinijengea nyumba yangu ya kwanza utaratibu wake wa kazi huwaga ni" wewe ukiwa na hela yoyote hata laki TANO niite kwa lako TANO hiyo hiyo nitafanya kitu . Next time ukipata laki tatu niite. Hadi nyumba yako itakamilika. Huyu ndo alinifanya nikajenga nyumba yangu ya kwanza. Tukiwa Kino garden au hananasif tunaangalia ndondo anapokea simu za watu anao wajengea nyumba anasema ' huyu anauza mchicha' huyu mama lishe, etc. Nikawa inspired.
Kuhusu somo la kiingereza: nimenunua vitabu na cds ambayo madogo watakuwa wanajifunza wakiwa home plus tuition ya nguvu ya kiingereza.
Mungu akinipa uhai nitafanya vitu vikubwa sana kwenye familia yangu.
Kama uwezo wako mdogo, unaishi nyumba ya kupanga uswahilini, uchumi wako umeyumba, sikushauri uhangaike na English medium.
Mpeleke mwanao kayumba wewe upambane kutafuta hela.
Kila la heri mkuuMi mwakani nawatoa kwenye school bus watembee. Huko mbele ndo tutahamia kayumba ss
Kwa ada ya 2M ni fear hata kama watoto 4 fresh jumla 8M tena kwa standard ya shule ya msingi.Baba yangu mdogo amefungwa jela baada ya kuwa tapeli na madeni mengi kisa anasomesha English Medium uwezo mdogo.
Kuliko Umsomeshe mtoto Nursery unalipa 1M primary unalipa 1.2M, Sec unalipa 2M then Chuo unampeleka kwa Asante Nyerere University akimaliza huko anakuja Mitaani kutembeza Bahasha na akipata Kazi analipwa Laki Saba.
Fikiria kama hizi ni akili au matope?
Peleka Expensive schools kama una hela ila usiingie madeni bure.
Hata hao wanaopeleka feza na st Thomas wengi sio pesa zao. Ni hizi hizi unazosikia wamwiba na kuficha kwenye majumba.
Tafuta pesa wekeza kwenye assets wapeleke shule nzuri moderate kama weww kipato chako kama changu.
Tatizo la shule za kayumbo ni vyoo. Unakuta vyoo vichafu, vinanuka hadi siyo 🤣🤣🤣Miezi michache iliyopita nilianzisha Uzi hapa jf wenye title" Tunao watoa watoto wetu shule za English Medium na kuwarejesha kayumba njooni tufarijiane hapa"
Lengo la Uzi lilikuwa kupata watu watakao nipa " faida" nitakazo zipata kwa kuwarejesha watoto wangu Kayumba plus maneno ya kunifariji ambayo yatasaidia kujustify uamuzi wangu.
Sababu ya kuwarejesha kayumba wanangu ni kuyumba kiuchumi. Nilipata maoni mengi mazuri. Miongoni mwa maoni niliyopata hapa JF ni pamoja na:
1. Itanisaidia kuokoa pesa ambayo ninaweza ku invest katika maeneo mengine muhimu kama vile kuwanunulia viwanja na kuwajengea nyumba watoto wangu so that wanapo fika level ya chuo at least kila mtu awe na nyumba yake moja.
2. Sintokuwa na stress za ada plus mbaya kuliko zote( ile stress maalumu ambayo mzazi unaipata wakati mtoto wako amerudishwa nyumbani ada, wakati wenzake plus jirani zako wanao soma kayumba wanaenda shule.
Nje ya JF nilipata ushauri kutoka kwa
1. Binti yangu ( yeye yupo form three shule ya kayumba pia. Nilimsomesha English Medium kuanzia la kwanza. Anasema daddy kuna watoto wamesoma shule za kiswahili lakini wapo vizuri sana darasani kuliko walio soma shule za kiingereza.
3. Brother wangu wa mtaani ambae na yeye kawarudisha watoto wake kayumba.. (huyu kasomesha hadi chuo but still bado ana watoto wa primary. Alikuwaga kichaa wa shule za English medium.
Anasema mdogo wangu mtoto wako umsomeshe kayumba au English Medium mwisho wa siku wote watakufa watazikwa" anataja jina la makaburi ya mtaani kwetu"
Akaongeza: Tofauti ya kayumba na English Medium ni lugha tu lakini mwisho wa siku wote wanaandaliwa kuajiriwa..
Kingine siku hizi watoto wanaharibika sana so hakuna guarantee mtoto wako atakuja kuwa nani hapo baadae.
Akaongeza " shule nyingi za English Medium zinawafanya wanafunzi hasa watoto wa kiume kuwa watoto walaini laini ( ana experience na watoto wake mwenyewe na rafiki zake)
Halafu haziwafundishi watoto kuhusu uhalisia wa maisha zaidi ya kuwakaririsha masomo so bora umpeleke kayumba akapambane na kukomaa huko.
MIEZI MIWILI BAADA YA KUFANYA UAMUZI.
Nimenunua kiwanja nje ya mji ( ilala rural/ mvuti) kwa sh.laki tisa na mwezi ujao Insha'allah nitapiga msingi( fundi wangu yupo kinondoni ambae alinijengea nyumba yangu ya kwanza utaratibu wake wa kazi huwaga ni" wewe ukiwa na hela yoyote hata laki TANO niite kwa lako TANO hiyo hiyo nitafanya kitu . Next time ukipata laki tatu niite. Hadi nyumba yako itakamilika. Huyu ndo alinifanya nikajenga nyumba yangu ya kwanza. Tukiwa Kino garden au hananasif tunaangalia ndondo anapokea simu za watu anao wajengea nyumba anasema ' huyu anauza mchicha' huyu mama lishe, etc. Nikawa inspired.
Kuhusu somo la kiingereza: nimenunua vitabu na cds ambayo madogo watakuwa wanajifunza wakiwa home plus tuition ya nguvu ya kiingereza.
Mungu akinipa uhai nitafanya vitu vikubwa sana kwenye familia yangu.
Kama uwezo wako mdogo, unaishi nyumba ya kupanga uswahilini, uchumi wako umeyumba, sikushauri uhangaike na English medium.
Mpeleke mwanao kayumba wewe upambane kutafuta hela.
True m naonaga angalau sekondariKwa ada ya 2M ni fear hata kama watoto 4 fresh jumla 8M tena kwa standard ya shule ya msingi.
Akifika secondary hata umpeleke kayumba angalau kingereza anajua na atafanya vizuri na pia atakuwa kiakili kashakuwa.
Msingi mzuri kuwekeza akiwa mdogo na pia kama kwa sasa maisha yapo fresh mpeleke tu kwa vile maisha hayaeleweki ,ynaweza kubadilika mda wowote ule.
Japo kwa mtoto mdogo kwa shule hizo ni changamoto anaweza kupotea kimaadili kabisa.
Kwa kweli secondary bora kayumba na akiwa na msingi wa shule english medium atakuwa bomba.True m naonaga angalau sekondari
Hongera sana mkuuToka mke wangu amenishauri kuwaondoa huko na kuja st. Kayumba akili za watoto zimekuwa fire mmoja anaongoza na mwinine hakosi top 10. Watoti wamekuwa ngangali tofauti na mwanzo. Na sijawahi juta kwa uamuzi huu!
Kwanini?Ukiusoma huu uzi unaweza kudata
Sawa mkuuTatizo ni umasikini
Hakuna cha mambo ya dad mommy halafu Toto la kiumeToka mke wangu amenishauri kuwaondoa huko na kuja st. Kayumba akili za watoto zimekuwa fire mmoja anaongoza na mwinine hakosi top 10. Watoti wamekuwa ngangali tofauti na mwanzo. Na sijawahi juta kwa uamuzi huu!
Muache asome Kayumba ila muwekee tuition ya KIINGEREZA.Kwa kweli secondary bora kayumba na akiwa na msingi wa shule english medium atakuwa bomba.
Vijana wengi tuliletewa form one kutoka english Medium walisumbua na walifaulu vizuri kabisa.