Mrejesho: Faida nilizopata baada ya kuwatoa watoto wangu shule ya English Medium na kuwarejesha kayumba


Mkuu naongea suala nililoliona kwenye familia yangu mwenyewe na jamii iliyonizunguka..

Hizo English medium wengi wanaenda watoto kutoka middle income and elite class sio za wabangaizaji

Yaani mtu mlo tu umshinde ndo atoe millions kusomesha watoto

Na uelewe mtu middle income class wengi huwa wana connections nzito na hadi mtoto anamaliza anakuwa level ya juu zaidi

Nimesoma shule hizi hizi na ndugu zangu wengine wamesoma hizo hizo English medium.. Yaani classmate wao wa O'level na wangu ni mbingu na ardhi..

Halafu unaongelea shule za kata kuwa na watu wengi as if ufaulu huwa ni mzuri, huko tuulize sisi ambao ukisema ulifaulu shule flani watu wanakushangaa maana si ajabu watu chini ya kimi ndo mnafaulu, na hapo division one na two hazizidi hata tatu


Hilo grou la watu zaidi ya mia tatu wanakusaidiaje kwenye hizo exposure za states

Somo ni dogo tu quality over quantinty
 
Yeye alikuwa form ngapi? Yeye ndo alikuwa anasaga ama anasagwa?
 
😭😭😭
 
Wewe ni maskini. Acha ku-fake maisha. Kama hata laki 6 hadi ukakope ina maana huna uwezo wa kulipa 4m kwa mwaka. Mwisho wa siku utaanza kuiba kazini kwenu uende jela.
 
Barikiwa sana mkuu.

Wyatt Mathewson soma hiyo
I doubt nyie jamaa kama kweli mlipeleka watoto wenu kwenye hizo English Medium schools to begin with!

I really doubt

Maana huyo mjinga kaongea kitu na wewe umeshabikia as if ni kweli!

Kizazi changu tulisoma Kayumba kama wewe!

English medium schools zote,IB framework ,engagement ya mzazi na homework za watoto ni LAZIMA on the daily basis tofauti na nilipokua Kayumba mimi binafsi

Kayumba hazina homeworks nyingi kama English Medium,wote tumepita Kayumba tunalijua hili...Homeworks ilikua ni nadra

Kayumba mzazi analazimishwa kumfundisha mtoto kwa framework ipi maana hakunaga,ila English Medium kuna framework maalumu mtoto na mzazi kwa lazima ni lazima mfanye homework pamoja kila siku na kuna fomu mzazi unasaini sehemu yako na mtoto anarudi nayo shule asubuhi mnasahihishwa

Kayumba tulizosoma sisi kuna framework za namna hii za kumlazimisha mzazi kumsaidia mtoto kwa lazima kimfumo?

HAKUNA
 
Umeona sasa, si ajabu uliosoma nao baobab wengine wapo states, Europe huko na mkiongea mazungumzo yapo global. Sisi ngoja tupambane na kaliuwa na namanyere kama connections
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] kwani wewe ulisoma shule yangu ya o level mkuu? Pumbavu sana ktk suala hilo. Yaan akili za kimaskini maskini. Hawataki kukua kbs. Wanaipenda elf 5 kama sala ya BABA YETU.
Kuna huyo mrembo aisee roho yake ni nyembamba kama mwili wake. Na hivi ameolewa kwa miujiza amekua kungwi kbs. Tulikua tunaweka katiba. Baadae kumeshapoa akaja kwa group anauliza kwamfano wale ambao wanachanga throughtout the year na hajanufaika na chochote kama kikundi kinafanyaje na yeye japo aone amenifaika? Ikabidi tuulizane ina maana watu wanatamani matatizo? Kuna wale wengine wameshafiwa baba na mama basi wao pia wanaonaga hawatopata hata rambirambi. Yaan tulichokaaa. Ingekua ni juu yangu ningemtoa. Hawawwzagi mengineyo zaidi ya kunufaika kwa mambo ya kijamii. Mtu amefiwa ikibidi mpeni mzigo unaoeleweka ukamsukume mbele siyo mnawaza elf 5 tena kwa mkeka. Mxieew. Katika suala hili ndo kayumba wanapofeli. Ndipo napokubali private. Huwa hawawezi kulima heka elf 1 ama 500. Anawaza heka 2 zake za familia. Tena hilo kubwa. Its very few huwa wamegrow. Na tuliotoka medium tulionekana tunaringa sana kwa kuongea kingereza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Wahindi nchini kwao India hawajengi? Unajua kwanini wahindi hapa kwetu ndio hawajengi?
 
Hapa umeongea la maana
 
International nyingi ni milioni 20 kwa mwaka ukiwa na watoto 3 utatumia Bilioni tu.
Hapo lazima uwe na kiwanda kinachoingiza faida ya kuanzia milioni 30 kwa mwezi
Yes. Actually wanaosomeshaga International ni big merchants. Ila kwa mimi mchagga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko international nako LGTB kwa sana. Ila elimu yao ni bora sana huo ndo ukweli..
 
Ndio maana kuna comment nilisema mbadala wa private ni special schools. Huko kwanza miundombinu ni mizuri na kila mtoto anatamani kusoma kwa ajili ya prestige. Sasa toa mtoto wako private mpeleke kimbinji shule ya sekondari
 
Nenda uswahilini utaelewa, wengi wanaishi maeneo hayo hayo sababu ya fikea walizojengewa makwao
I agree aisee. Hapa tunaongelea hizi shule za kata siyo? Hizi sekondari eh? Hizo huwa hakuna kitu aisee. Inaniumaga. Na watoto wenyewe ni kuwatesa walimu wao tu. Ni wanakua wameharibikiwa zaidi kutokana na mazingira. Wengi bodaboda ni form 2 na form 4 leavers. Huwa naumia sana juu yao[emoji26] i wish ungekuwepo mbadala wa ajira badala ya hiyo. Watoto ni wadogo sana jamani. Wamefanya bora elimu na diyo ELIMU BORA
 
Yeye alikuwa form ngapi? Yeye ndo alikuwa anasaga ama anasagwa

Ahaa so unalipa mamilioni ili mtoto wako.akakaririshwe sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…