Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
hata English Medium hakuna connection. Connection unazo zizungumzia wewe zipo international kama IST. Hata hivyo kiuhalisia hazipo kwa sababu wanao soma huko wengi wametoka familia zinazo ishi kizungu ( kibepari) na ubinafsi.
St. Kayumba utapata network kubwa kwa sababu mnasoma watu wengi. Unlike English Medium darasa moja watu wanane hakuna connection yoyote ya maana.
Usisahau mkuu asilimia kubwa ya wazazi wanao somesha watoto wao hizo English Medium ni mahohehahe tu wenye hela za mawazo ambao hufuata mkumbo na kujionyesha kwamba na wao wanaweza kusomesha watoto English Medium lakini kiuhakika hawana lolote la maana kwenye maisha yao..
Wanaosomesha watoto English Medium ni masikini tu ambao wameamua kujipa matumizi ya sio ya lazima sawa na mfanyakazi mwenye mshahara wa laki nne ambae amenunua iPhone ya milioni mbili baada ya kujibana kwa miezi mitano.
English Medium ni Kayumba ambazo zinafundisha kwa KIINGEREZA.
Mkuu naongea suala nililoliona kwenye familia yangu mwenyewe na jamii iliyonizunguka..
Hizo English medium wengi wanaenda watoto kutoka middle income and elite class sio za wabangaizaji
Yaani mtu mlo tu umshinde ndo atoe millions kusomesha watoto
Na uelewe mtu middle income class wengi huwa wana connections nzito na hadi mtoto anamaliza anakuwa level ya juu zaidi
Nimesoma shule hizi hizi na ndugu zangu wengine wamesoma hizo hizo English medium.. Yaani classmate wao wa O'level na wangu ni mbingu na ardhi..
Halafu unaongelea shule za kata kuwa na watu wengi as if ufaulu huwa ni mzuri, huko tuulize sisi ambao ukisema ulifaulu shule flani watu wanakushangaa maana si ajabu watu chini ya kimi ndo mnafaulu, na hapo division one na two hazizidi hata tatu
Hilo grou la watu zaidi ya mia tatu wanakusaidiaje kwenye hizo exposure za states
Somo ni dogo tu quality over quantinty