Mrejesho: Faida nilizopata baada ya kuwatoa watoto wangu shule ya English Medium na kuwarejesha kayumba

Mi mwakani nawatoa kwenye school bus watembee. Huko mbele ndo tutahamia kayumba ss
 
Kwa ada ya 2M ni fear hata kama watoto 4 fresh jumla 8M tena kwa standard ya shule ya msingi.

Akifika secondary hata umpeleke kayumba angalau kingereza anajua na atafanya vizuri na pia atakuwa kiakili kashakuwa.


Msingi mzuri kuwekeza akiwa mdogo na pia kama kwa sasa maisha yapo fresh mpeleke tu kwa vile maisha hayaeleweki ,ynaweza kubadilika mda wowote ule.


Japo kwa mtoto mdogo kwa shule hizo ni changamoto anaweza kupotea kimaadili kabisa.
 
Tatizo la shule za kayumbo ni vyoo. Unakuta vyoo vichafu, vinanuka hadi siyo 🤣🤣🤣
 
True m naonaga angalau sekondari
 
Toka mke wangu amenishauri kuwaondoa huko na kuja st. Kayumba akili za watoto zimekuwa fire mmoja anaongoza na mwinine hakosi top 10. Watoti wamekuwa ngangali tofauti na mwanzo. Na sijawahi juta kwa uamuzi huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…