Mrejesho FIFA, I need help

Mrejesho FIFA, I need help

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Naomba mtu ambaye na clip zote za referee au a complete match, anipe link ya youtube, nitatuma email referee committee niombe review ya refa kama nitapata. I need evidences za kutosha. kama zipo nipeni.
 
Attachments

  • Screenshot_20230811_101256_Gmail.jpg
    Screenshot_20230811_101256_Gmail.jpg
    57.9 KB · Views: 3
J2 siyo mbali kaa kwa kutulia kwahyo mlikuwa mnamtaka Singida
Ata kama alitakiwa manyema, mpira au mchezo uwe wa haki...!

Kusiwe na janja janja...! Kila leo mna tengeneza ujanja ujanja wa kutimiza malengo yenu kupitia michezo

Mwisho mna poteza ladha ya mchezo wenyewe na ata kupoteza ubora wa michuano husika!

Timu zina bebwa ata kama zime vunja sheria, ujanja ujanja mwingi kwenye Ligi
 
Sema ujanja upi umetumika
Refa kapiga penati au
 
naomba mtu ambaye na clip zote za referee au a complete match, anipe link ya youtube, nitatuma email referee committee Niombe review ya refa kama nitapata. I need evidences za kutosha. kama zipo nipeni.
Nimekuandikia Toka mwanzo. Issue ya match fixing si nyepesi kama unavyoweza kuamka na kuwaza. Lazima uwe na ushahidi wa kutosha. Na uoneshe bila shaka kwamba tukio Hilo ni dhahiri. Video za maamzi mabovu kutokana na muamzi kutokuwa na maamzi sahihi si match fixing. Kuna mambo mengi yanayochangia mfano: presha ya mchezo n.k. Kwahiyo, unatakiwa kuoneaha vielelezo vya Tosha.
 
kuwa included in final UN report kwamba it was reported its all that matters. with or without essential evidence. some one will look after it. in a different way.
 
kuwa included in final UN report kwamba it was reported its all that matters. with or without essential evidence. some one will look after it. in a different way.
Kumbe unajitafutia ujiko binafsi. Halafu UN wanahusikaje au unadhani FIFA iko chini ya UN? Nadhani utakuwa mgeni kwenye mambo ya mpira. Yanga tuliyoona inashinda mechi zake katika mazingira ya kutatanisha, bila kupambana nayo kihuni watachukua makombe hadi wachoke wenyewe.

Simba waendelee na energy hii hii mpaka kwenye ligi hadi hapo timu zote zitakapokubali kucheza mpira wa haki.
 
Kumbe unajitafutia ujiko binafsi. Halafu UN wanahusikaje bwashee au unadhani FIFA iko chini ya UN. Nadhani utakuwa mgeni kwenye mambo ya mpira. Yanga tuliyoona inashinda mechi zake katika mazingira ya kutatanisha, bila kupambana nayo kihuni watachukua makombe hadi wachoke wenyewe.

Simba waendelee na energy hii hii mpaka kwenye ligi hadi hapo timu zote zitakapokubali kucheza mpira wa haki.
they report yearly sport reviews globally. wewe una simba na yanga mentality. tumetoka huko. wengine. also naona hujui kitu out of ligi kuu
 
Naunga mkono hatua ya mtoa mada.
Hii itaaidia kujenga utamaduni wa uwajinikaji badala ya kulalamika kama ilivyo kwa watanzania wengi.
Nimesoma hapa mara kadhaa tuhuma za kupanga matokeo, mara nyingi zikielekrzwa TFF kuwa inabeba timu fulani lakini wanaoalalamika hawachukui hatua yoyote zaidi ya kulalamika.
Myoa mada ebdelea, hata kama hautafanikiwa lakini utakuwa umetengeneza mfano na wengine wataiga au kuogopa kufanya vitendo hivyo kwani haijulikani nani ata report tena katika zama hizi ambapo kila mmoja anatembea na Camera!
Endelea na msimamo wako kwani kwa watanzania wengi ni wale wa aina ya maji yakikosekana mtaani, kila mmoja anachimba kisima, badala ya kuwawajibisha wanaohusika waboreshe huduma.
 
Back
Top Bottom