Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata kama alitakiwa manyema, mpira au mchezo uwe wa haki...!J2 siyo mbali kaa kwa kutulia kwahyo mlikuwa mnamtaka Singida
Ata kama alitakiwa manyema, mpira au mchezo uwe wa haki...!
Kusiwe na janja janja...! Kila leo mna tengeneza ujanja ujanja wa kutimiza malengo yenu kupitia michezo
Mwisho mna poteza ladha ya mchezo wenyewe na ata kupoteza ubora wa michuano husika!
Timu zina bebwa ata kama zime vunja sheria, ujanja ujanja mwingi kwenye Ligi
nipe link mzeeKama ni Clip kaanzie kule kwa kina Florentina, Ahmedy Arajiga
Nimekuandikia Toka mwanzo. Issue ya match fixing si nyepesi kama unavyoweza kuamka na kuwaza. Lazima uwe na ushahidi wa kutosha. Na uoneshe bila shaka kwamba tukio Hilo ni dhahiri. Video za maamzi mabovu kutokana na muamzi kutokuwa na maamzi sahihi si match fixing. Kuna mambo mengi yanayochangia mfano: presha ya mchezo n.k. Kwahiyo, unatakiwa kuoneaha vielelezo vya Tosha.naomba mtu ambaye na clip zote za referee au a complete match, anipe link ya youtube, nitatuma email referee committee Niombe review ya refa kama nitapata. I need evidences za kutosha. kama zipo nipeni.
kuwa included in final UN report kwamba it was reported its all that matters. with or without essential evidence. some one will look after it. in a different way.Nimekuandikia Toka mwanzo. Issue ya match fixing si nyepesi kama unavyoweza kuamka na kuwaza. Lazima uwe na ushahidi wa kutosha. Na uoneshe bila shaka kwamba tukio Hilo ni dhahiri. Video za maamzi mabovu kutokana na muamzi kutokuwa na maamzi sahihi si match fixing. Kuna mambo mengi yanayochangia mfano: presha ya mchezo n.k. Kwahiyo, unatakiwa kuoneaha vielelezo vya Tosha.
Sema FIFA watakuuliza maswali ya mtegonipe link mzee
Sema FIFA watakuuliza maswali ya mtego
Mbona kwenye tukio hilo hukuwahi kututumia barua ya kuripoti kuwa ni match fixing?
Sijui utavyo wajibu
Kumbe unajitafutia ujiko binafsi. Halafu UN wanahusikaje au unadhani FIFA iko chini ya UN? Nadhani utakuwa mgeni kwenye mambo ya mpira. Yanga tuliyoona inashinda mechi zake katika mazingira ya kutatanisha, bila kupambana nayo kihuni watachukua makombe hadi wachoke wenyewe.kuwa included in final UN report kwamba it was reported its all that matters. with or without essential evidence. some one will look after it. in a different way.
they report yearly sport reviews globally. wewe una simba na yanga mentality. tumetoka huko. wengine. also naona hujui kitu out of ligi kuuKumbe unajitafutia ujiko binafsi. Halafu UN wanahusikaje bwashee au unadhani FIFA iko chini ya UN. Nadhani utakuwa mgeni kwenye mambo ya mpira. Yanga tuliyoona inashinda mechi zake katika mazingira ya kutatanisha, bila kupambana nayo kihuni watachukua makombe hadi wachoke wenyewe.
Simba waendelee na energy hii hii mpaka kwenye ligi hadi hapo timu zote zitakapokubali kucheza mpira wa haki.
Mlejesho au mrejesho?naomba mtu ambaye na clip zote za referee au a complete match, anipe link ya youtube, nitatuma email referee committee Niombe review ya refa kama nitapata. I need evidences za kutosha. kama zipo nipeni.
Kama kuandika Kiswahili tu HUJUI,huko FIFA utaandika UHARO gani??naomba mtu ambaye na clip zote za referee au a complete match, anipe link ya youtube, nitatuma email referee committee Niombe review ya refa kama nitapata. I need evidences za kutosha. kama zipo nipeni.
Hilarious!kuwa included in final UN report kwamba it was reported its all that matters. with or without essential evidence. some one will look after it. in a different way.