Mrejesho: Harakati za kutafuta mpaka kuandikishwa JWTZ

Mrejesho: Harakati za kutafuta mpaka kuandikishwa JWTZ

Pole mkuu, askari hayupo kwa ajiri ya kukupiga mabuti yupo kwa ajiri ya kukulinda uishi kwa amani. Inapotokea umevunja sheria ndio unadhibitiwa sasa ili usiharibu amani ya nchi. Ninawapenda sana watanzania wenzangu, siwezi kukuonea mkuu.
Basi hufai kuwa askari maana kazi ya askari ni kupokea amri wewe unasema huwezi kuonea mtu.
 
Tunakuwa na mipango yetu ila Mungu anakuwa na mipango yake juu yetu, kama ni mwamini wa Kikristo, Ingia kwenye maombi, MUNGU atakupa majibu.
 
Sasa kwa sababu imeshindikana kupata nafasi hiyo, na siwezi kuishi bila kuwa na Maisha ya kijeshi, na ninapenda sana jeshi, Kiufupi ninapenda sana kuendelea kufahamu Zaidi kuhusu silaha, mbinu za kivita Zaidi, kwata mbali mbali, kombati karate, singe n.k

Ninaomba kufahamishwa yafuatayo.

1. Jinsi ya kuomba nafasi ya kujiunga na mafunzo ya Jeshi la akiba (KJA)

2. Mafunzo ya KJA yanatumia mda gani ?

3. Mtu akihitimu yale mafunzo ya awali ya jeshi la akiba, je kuna mafunzo mengine yanaendelea kwa upande wa jeshi la akiba ?

4. Mafunzo ya juu ya mwisho kabisa yanayoruhusiwa kwa askari wa KJA ni ya ngazi ipi ?

5. Ninaomba kufahamishwa mtiririko wa vyeo ambavyo askari wa KJA anavipitia kuanzia cheo kidogo mpaka cheo cha juu kabisa. Huwa naskia volunteer leader, Kuna askari wa KJA wana V kwenye kombati zao wanazipataje ? na mambo kadha wa kadha kuhusu KJA ambayo siyafahamu ili niifahamu vizuri.

6. Intake nyingine ya KJA ni lini ? Ninahitaji kujiunga nao nikamtumikie mama Tanzania.
Jeshi la Akiba Kwa maana ya mgambo?
 
Namba ya nida si inabakia ileile haibadiliki ? Nimewaambia pia wanisajiri bila alama za vidole kama shida ni fingerprint nipate ile namba na kitambulisho kingine nifanye harakati wamenigomea kuwa haiwezekani.
Namba huwa inabaki ile ile Ila majina wanabadilisha na miaka the same unabadilisha .

Sasa sijajua ulienda Nida ipi
 
Namba huwa inabaki ile ile Ila majina wanabadilisha na miaka the same unabadilisha .

Sasa sijajua ulienda Nida ipi
Wakubwa watakaokuwa wakifanya usaili watajua nimechekecha nida maana ile namba ina maana yake. Ndiyo maana ninahitaji kubadilisha kila taarifa kuanzia namba yenyewe ya nida, majina na tarehe ya kuzaliwa sasa wadau wameniwekea usiku.
 
Hakuna kitu Kama hicho watu kibao wanashusha miaka na wengine kuongeza na kubadilisha majina.

Nida wana edit taarifa zako ktk mfumo wapo na utaratibu wao ukoufata very easy unafanikiwa .

Hata Mwigulu Nchemba amewahi kubadlisha majina na aliweka Uzi wake umu JF
 
Wamekataa hata kukupa nafasi ya kitombi Nyundo...?
 
Hakuna kitu Kama hicho watu kibao wanashusha miaka na wengine kuongeza na kubadilisha majina.

Nida wana edit taarifa zako ktk mfumo wapo na utaratibu wao ukoufata very easy unafanikiwa .

Hata Mwigulu Nchemba amewahi kubadlisha majina na aliweka Uzi wake umu JF
Nimeshaongea na maafisa zaidi ya sita wa nida ilishindikana mkuu. Walisema kama nabadili jina moja au kuongeza au kupunguza mwaka mmoja/miwili wa kuzaliwa, inawezekana. Mimi nilitaka kurudisha nyuma umri kwa miaka 14 na kubadili majina yote ya zamani niyapige chini !!! Nitumie mapya wakanizingua.

Sasa namba ya nida itakuwa inaonyesha mwaka halisi wa kuzaliwa 1991............ halafu tarehe ya kuzaliwa inakuwa miaka 14 iliyofuata wakubwa watagundua kirahisi kitokea nafanya usaili na watanipiga chini haraka.
 
Back
Top Bottom