Sio vitu vyangu kabisa! Kula hao watu inahitaji moyo sana.Mushi unaonekana unayawinda Sana hayo madude😂
Shukrani.Rudisha mbupu zetu kijana , mwanajeshi lia lia usha ona wapi
Pasi ya kusafiria ninayo, lakini hata nikibahatika kupata nafasi ya kuhudhuria usaili wa jeshi baada ya kuomba, bado hela ya kulipia nauli ya ndege ili niende UK sina mkuu. Ngoja niwe mpole tuu. Asante kwa ushauri mzuri lakini.Hapana sio lazima uwepo UK wakati wa Application, unaweza kuomba ukiwa Tz Ila kuna baadhi ya process katika recruitment zitakuhitaji kwenda physically, Kama una valid passport jaribu kuanza mchakato, maisha ni Popote
Asante kwa ushauri. Ninapenda pia kuwa mhadhiri vyuoni, baada ya kupiga Kozi ya KJA, nitatafuta ada nirudi shule kutafuta 'qualification'.Pole sana kiongozi. Angalia chaguo lako bora la pili baada ya hilo ulilokosa ulipambanie kulipata.
GPA yako undergraduate ni ngapi?Asante kwa ushauri. Ninapenda pia kuwa mhadhiri vyuoni, baada ya kupiga Kozi ya KJA, nitatafuta ada nirudi shule kutafuta 'qualification' ngoja nitafute ada.
Dah,hii issue ya ualimu chuo kikuu utafanyaje kuingia?Nilikosa 0.2 kufikisha 3.8.
Nasoma shahada nyingine na kuhakikisha napata hiyo GPA inayotakiwa.Dah,hii issue ya ualimu chuo kikuu utafanyaje kuingia?
Mtaa hauwezi kunishinda mkuu, ninakomaa nao ile ile ila ninapenda tuu jeshi.Pole sana ila kijana jikite na mtaa sio lazima uwe mjeda
Umeshaanza?Nasoma shahada nyingine na kuhakikisha napata hiyo GPA inayotakiwa.
Bado, mpaka nitafute ada yao kwanza.Umeshaanza?