Mrejesho: Harakati za kutafuta mpaka kuandikishwa JWTZ

Pole mkuu, askari hayupo kwa ajiri ya kukupiga mabuti yupo kwa ajiri ya kukulinda uishi kwa amani. Inapotokea umevunja sheria ndio unadhibitiwa sasa ili usiharibu amani ya nchi. Ninawapenda sana watanzania wenzangu, siwezi kukuonea mkuu.
Basi hufai kuwa askari maana kazi ya askari ni kupokea amri wewe unasema huwezi kuonea mtu.
 
Tunakuwa na mipango yetu ila Mungu anakuwa na mipango yake juu yetu, kama ni mwamini wa Kikristo, Ingia kwenye maombi, MUNGU atakupa majibu.
 
Jeshi la Akiba Kwa maana ya mgambo?
 
Namba ya nida si inabakia ileile haibadiliki ? Nimewaambia pia wanisajiri bila alama za vidole kama shida ni fingerprint nipate ile namba na kitambulisho kingine nifanye harakati wamenigomea kuwa haiwezekani.
Namba huwa inabaki ile ile Ila majina wanabadilisha na miaka the same unabadilisha .

Sasa sijajua ulienda Nida ipi
 
Namba huwa inabaki ile ile Ila majina wanabadilisha na miaka the same unabadilisha .

Sasa sijajua ulienda Nida ipi
Wakubwa watakaokuwa wakifanya usaili watajua nimechekecha nida maana ile namba ina maana yake. Ndiyo maana ninahitaji kubadilisha kila taarifa kuanzia namba yenyewe ya nida, majina na tarehe ya kuzaliwa sasa wadau wameniwekea usiku.
 
Wakubwa watakaokuwa wakifanya usaili watajua nimechekecha nida maana ile namba ina maana yake. Ndiyo maana ninahitaji kubadilisha kila taarifa kuanzia namba yenyewe ya nida, majina na tarehe ya kuzaliwa sasa wadau wameniwekea usiku.
Hakuna kitu Kama hicho watu kibao wanashusha miaka na wengine kuongeza na kubadilisha majina.


Nida wana edit taarifa zako ktk mfumo wapo na utaratibu wao ukoufata very easy unafanikiwa .

Hata Mwigulu Nchemba amewahi kubadlisha majina na aliweka Uzi wake umu JF
 
Wamekataa hata kukupa nafasi ya kitombi Nyundo...?
 
Nimeshaongea na maafisa zaidi ya sita wa nida ilishindikana mkuu. Walisema kama nabadili jina moja au kuongeza au kupunguza mwaka mmoja/miwili wa kuzaliwa, inawezekana. Mimi nilitaka kurudisha nyuma umri kwa miaka 14 na kubadili majina yote ya zamani niyapige chini !!! Nitumie mapya wakanizingua.

Sasa namba ya nida itakuwa inaonyesha mwaka halisi wa kuzaliwa 1991............ halafu tarehe ya kuzaliwa inakuwa miaka 14 iliyofuata wakubwa watagundua kirahisi kitokea nafanya usaili na watanipiga chini haraka.
 
Twende msituni tukaanzishe Jeshi letu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…