Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Ila kwann sisi wanaume tunapenda kukomaa sana tukifumania,,
Mimi najijua napiga nje mkewako akipigwa nje ata kimas hara bahati mbya mtu huelewi,,
Aisee mimi kuna mazingira flani ivi nkiona sjachapiwa kwa dharau kuchokonoa kwangu mambo ndo kumefanya nmejua alaf kajutia kosa lake,,na skuti af lyf linasonga fresh.,
Wanawake watu flani ukishamstukia mara moja ukatumia kosa lake kama fimbo aisee atakunyenyekea maisha yote.
 
Ila wee mwanaume ni nini?
Tusidanganyane hapa tiba ya usaliti ni kisasi, haijalishi nani katenda kosa.

Hebu nikuulize, hivi ingekua huyu mwanaume ndo kafumwa na mkewe ungetoa ushauri gani?
Kuna.maisha baada ya kusalitiwa..
Mimi nakusaliti, na weww unalipiza kwa kunisaliti...hapo tayari inaoneka mwanamke hana hofu yoyote,dharau imemjaa na anafanya mashindano na mumewe..

Mwanamke mwenye busara hawezi akafanya ligi na mumewe, la zaidi akiona yamemshinda anakaa pembeni...

Na kumbuka mwanamke akishazini na mwanaume mwingine, kamwe penzi lake la zamani haliwezi kurudi kwa mwanaime wa awali..

Lakini wanaume tunawezo kulala na wanawake 10 na wotw tukawa na mapenzi na hisia nao
 
Kweli mpwa......vijana wengi wanamuona mke kama sanamu tu hivyo kufanya tendo kwa mazoea......sasa hawa vijana wanaopata hizi mambo kwa ngekewa hawafanyi makosa ya mume kwa kuwa wanajua huyo mke amefuata nini......
Hivyo ni sahihi mke aachwe ili akafaidi vijana.
Wanaotaka asemehewe wanakosea mana azabu hii ni ya wote na mme anaumia zaidi mana hajakisudia ila mke alishajua wazi kuvua chupi nje ni kuvunja ndoa
 
Mkuu nipo kwenye ndoa mwaka wa kumi na mbili sasa...nakushauri kitu ambacho nakijua wewe utaamua cha kufanya lakini jukumu la kukushauri ni jukumu langu.

1.usimuache kabisa huyo mke wako
2.wake za watu wanaliwa sana, ikiwemo wangu
3.usisahau na wewe una mchepuko
4.kinachowaunganisha ni watoto na ndio watakaoumia
5.vumilia,fatilia,mkanye,kuwa mkali ila usimuache...

nicheki Pm nikupe namba yangu kwa ushauri zaidi
Cha muhimu amwambie mkewe akichepuka amkumbushe mchepuko wake kutumia condom [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi siwezi muacha nitachofanya nitamtafuta itabidi niongee na wife niweke mtego nimnase living stone then namfira japo kidogo afu namuacha.Nakwambiaje hata mwanaume awe ana mwili kama king kong akishafirwa anaeza kuhama mkoa.
Sasa akihama au ukimfanyia hivyo umeokoa nini? Ataenda kwa mwanaume mwingine na mwingine na mwingine. Hapo kosa lipo kwa Mke kama ni Malaya ni Malaya tu.

Ni tabia akiamua kuiacha bas lakini huwezi kumfuatilia kila Mwanaume wake, huna shughuli zingine za muhimu za kufanya?
 
Kuna pande mbili kwa kila story. Hasa story za ndoa/mahusiano.
Huyo mke wa jamaa akija nae kusimulia story ya upande wake, unaweza ukahisi anaishi na shetani.
Kuwa makini sana ku draw conclusion kwa story ya upande mmoja kwenye mambo ya mahusiano.
Na draw conclusion coz npo katika hilo,wanawake shida wanataka tufanane kwenye kila kitu.wanawake ni wagumu kuelewa na Wana maamuzi magumu yasiyotabirika.Mwanamke wa saizi psychologically ukisafiri anahisi unachepuka .Na Kama alishawahi kuona msg ambayo Ina utata shida nyingine.Ukiondoka revange inafuata ,omba Mungu asiwe na mashoga kina mwajuma ndala ndefu, Atapewa Ujinga mpaka basii
 
Sisi tunaoa hadi wanne, vipi upande wenu? Na je, wewe uliolewa hujanjunjana? Jamaa kasema huyo mchepuko anampango wa kuoa mke wa pili , shida iko wapi?
Hakuna cha kuoa mke wa pili wala waa saba, hapa suala ni kuwa wote wachepukaji, na je km huyo mkewe hataki mke mwenza?
 
Pole sana mkuu.Mimi pia nipo katika hali kama yako na ushahidi wote wa simu ninao ila bado sijachukua hatua.Tofauti na yako ni kwamba wewe ni mke wa ndoa kabisa na watoto mnao.Pole sana mkuu na hongera kwa maamuzi ya kiume.
 
Sijaoa ila principles ni hizi.

Mke akikukosa risasi, ama akakupiga lakini isikuue ama akakupiga panga ya shingo lakini bahati nzuri ukapona, msamehe na ongeza upendo kua zaidi ya ule wa mwanzo.

Lakini mke akichepuka kwa sababu yoyote ile usimsamehe.

Madhara ya mwanamke kuamua kuchepuka ni makubwa hatari zaidi kwenye maisha ya mume kuliko hata angempiga risasi.

Take it or leave it.
Nimeipenda hii
 
Sijaoa ila principles ni hizi.

Mke akikukosa risasi, ama akakupiga lakini isikuue ama akakupiga panga ya shingo lakini bahati nzuri ukapona, msamehe na ongeza upendo kua zaidi ya ule wa mwanzo.

Lakini mke akichepuka kwa sababu yoyote ile usimsamehe.

Madhara ya mwanamke kuamua kuchepuka ni makubwa hatari zaidi kwenye maisha ya mume kuliko hata angempiga risasi.

Take it or leave it.
Nimei screenshort hii idea kwa kumbukumbu zaidi.
 
usimuache mkuu oa mke wa pili ambae akili zako zote utaziweka uko pamoja na kwa watoto wako,uwe mkristo uwe mwislam, oa mke wa pili
 
Kaka nini unataka? Unajisikia kuendelea na ndoa?
Wote wachepukaji, hata akioa ataendelea na tabia yake mwenzie atachoka atalipiza vilevile.....atafukuza wangapi????
 
Kuna.maisha baada ya kusalitiwa..
Mimi nakusaliti, na weww unalipiza kwa kunisaliti...hapo tayari inaoneka mwanamke hana hofu yoyote,dharau imemjaa na anafanya mashindano na mumewe..

Mwanamke mwenye busara hawezi akafanya ligi na mumewe, la zaidi akiona yamemshinda anakaa pembeni...

Na kumbuka mwanamke akishazini na mwanaume mwingine, kamwe penzi lake la zamani haliwezi kurudi kwa mwanaime wa awali..

Lakini wanaume tunawezo kulala na wanawake 10 na wotw tukawa na mapenzi na hisia nao
Hizi ni story za kale za kuhalalisha upuuzi na uzinzi kwa wanaume, km kuna maisha baada ya kusalitiwa basi pande zote zisimame kwenye hili.

Kwahiyo mwanamke avumilie tyuuh usaliti wa mumewe? Why na mwanaume asivumilie usaliti wa mkewe? Tatizo lenu wanaume mnaishi zama za kizamani ktk masuala ya ndoa, huku mkijua zama zimebadilika,

"Tiba ya usaliti ni kisasi" iko hivyoooh. Ukweli lazima usemwe tyuuh.
 
Pole sana,tunza watoto,ila kama una moyo mgumu kama Nduli(Mimi ninao),usiondoke nyumbani,hama kitanda tu,Ili watoto waendelee kukuona,fanya juu chini watoto waendelee kuwaona wote pamoja,watakushukuru siku moja maishani,usikimbilie kutafuta mwingine,jipe muda,mkeo anaweza akabadirika akawa kama maraika ukakuta mnaongeza watoto wengine wawili,jipe muda kidogo,watoto wakishakuwa wakubwa,kwenye miaka 12/14 hapo ukitaka kutengana kabisa ni poa,ila iwe ni last option.
Na kwa kufanya ivo itasaidia kuimarisha ndoa yao kabisaaa....atashangaa wanaanza kupendana upya
 
Back
Top Bottom