enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Mke akisghachepuka tayari ashakua kimeo ka vipi timua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangaa na wew mwenzangu, Dunia ina maajabu hii hatareeh lolSasa kumbe na wewe unachepuka na amekutajia haon wanawake unaotoka nao na wewe umekubali it's true Sasa hapo si ngoma droo we unalalamika nini Sasa?
Haya ni mashairi kabisaa umeandika hapa...Et alikua alone.....nijana tu ndo umemuacha alone?
Et mbona wee unachepuka??mpuuzi kabisa
Et movie ??duuuh
Chakufanya weee Muache ndan wala usiende kupanga ,endelea kua Ratiba zako za kusafiri ivoivo, uwe unamwambia ivoivo nakuja Jmos[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukilifukuza nalo ni litapata Aibu
Kwa wahuni wanafataga kuliwa Ndogo
zakuambiwa changanya nazako
Kama ni mimi, tungeachana.
bora ukae na Salma tuuWakuu imebidi niende mazoez kukimbia baharin maeneo ya mbalamwez beach ndio narud now ama hakika Moyo unauma sijawah kuona nimehitahid kuootezea lakin bado kuna kitu kimekaa hapa kifuan
Nimemwita Salma anipotezee mawazo na ntamwambia kisa chote nahis yeye atafurahi tu maana alitaman kuwa oficial mda wote,Ukipita maeneo ya Mikochen Plaz hapa kwa Warioba unaeza ukanukuta daaa Inauma sana.
Hata hujui unacho kiandika, non sense.Hamna uswa hapa duniani bi mdada,kitendo cha Mungu kuumba watu 2 na kumpa kila moja majukumu take ndipo neno usawa liliondoka hapo.
Na mwanamke haki yake ni ipi?Mwanaume ana haki ya kutembea na mwanamke zaidi ya mmoja..
This is Africa....[emoji41]
Imagine! na ukishachukua nafasi ya ndoa kuna mwanaume mwingine atamgeuza tena mchepuko. Sasa hapo si bora akae na mkewe tu.[emoji23][emoji23][emoji23] sasa, mchepuko unataka kuchukua nafas ya ndoa.
Biblia imetuambia mfalme Solomon alimiliki wake 700 na mahawara 300- safi sana.Mwanaume ana haki ya kutembea na mwanamke zaidi ya mmoja..
This is Africa....[emoji41]
Sasa kama ndivyo! mbona kuna maandiko yanasema mwanaume azinie na mwanamke hana akili.Mwanaume ana haki ya kutembea na mwanamke zaidi ya mmoja..
This is Africa....[emoji41]
Hivi lakini wanawake huwa wanawaza nini kuleta kidume ndani ya nyumba ya wanandoa..?Kumbe pamoja na utata wako kidume kilishaletwa mpaka home?
Ubarikiwe sana.Namshangaa mleta mada. Yeye hana usafi wowote. Kakiri mwenyewe anachepuka vizuri sana. Mke kachepuka anaumia, anapata na ujasiri wa kumpiga ngumi za uso. Kisa cha kupiga mtoto ngumi za uso ni nini. Kwa usafi gani ulionao. Huo ni unafiki mkubwa hata Mungu anakushangaa. Yaani kwa sababu wewe ni mwanaume basi kuchepuka ni haki yako? Sijui wewe dini gani. Katika Mithali kuna mstari unaosema mwanaume azinie na mwanamke hana akili.
Mke kakosa ila unamhukumu weee! wakati wewe mwenyewe mzinzi.
Sasa ukapiga chini mke wako ukaenda anza moja una uhakika gani na utakaekuwa nae ni wa kwako peke yako. What if ikawa worse.
Ushauri, Tubu dhambi yako ya uzinzi, tubu kwa ajili ya mke wako. Ombea familia. Ongea na mke wako. Sameheaneni. Maisha yaendelee.
Kila la heri.
Kwani anadhan huyo mchepuko hana jamaa mwingine? Anaye sana.Imagine! na ukishachukua nafasi ya ndoa kuna mwanaume mwingine atamgeuza tena mchepuko. Sasa hapo si bora akae na mkewe tu.
We mwanamke katili aisee....![emoji119][emoji119][emoji119]Mie pia nasimama na mkewe, maan huyo mkewe amefanya hivyo kwa kulipiza kisasi kwa matukio ya mumewe, maaan amesema mkewe kataja wanawake anaohisi anatembea nao, na ukweli kawapatia wote sasa hapo nn?
Mkewe hana kosa lolote, tiba ya usaliti ni kisasi.
Sidhani kuchepuka ni moja ya haki za mwanamke.Wanaume tunadumisha fine tradition ya wazee wetu,kuchepuka ni jadi .Na mwanamke haki yake ni ipi?
Ila niliendelea ishi nae lakini imani kwake ilinitoka na tukazinguana tukaachana na mwisho aliombaga kurudi kipindi icho nipo kwenye stress za mapenz za kutendwa nikaona funika kombe mwanaharam apite ludi mama alafu alikua na mwanangu wa 2yrsHahahahahaha mwenyewe limeshangaa mkuu nimefungua tu mlango kabigwa na butwaa anawahi kuchukua ndoo aende bafun nikapiga kibao
Hakika ndugu 99.99% tena matukio ya dharau. Ilinitokea 2016 nikatemana nae kwa shida sana....mpaka leo huwa ananikumbuka mana bado hajaolewa mimi nishaoa tayariUkimsamehe tegemea matukio mazito zaidi...
Pole sana mkuu. Hope kwasasa umepata aliyetulia.Hahahah uvumilivu huo sikuwa nao hasira ilikuwa inakaribia kunipasua
We tulia nae tu Kama unataka mpe pyschological torture Hadi ajirudi mwenyewe then mpe mkataba mmoja mgumu Sana