Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Sasa nani ataiombea familia baraka kama mm ni mzinzi na mke wangu mdomo wake umejaa mbegu za wanaume wengine?

Halafu mwanamke mzinzi anaweza pata saratani ya kizazi sababu ya kubadili mwanaume, wanaume wanabeba virusi vya saratani ila haviwadhuru sasa akipata atakupa gharama tu za matibabu.

Mwanamke mzinzi HAFAI HATA AJE NA SABABU GANI.

Ukijifanya unajua kupenda sana kuna siku atakulisha mbegu, atatoka kunyonya huko ww utapiga busu.

life is short Enjoy.
 
Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.

Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya

Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.

Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,

Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,

Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion

Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana

Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi

Jamaa:hey beautiful missed you

Mke: hey baby missing you more

Jamaa: missed your voice sana

Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke😱k ntakwambia.

Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa

Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena

Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke😛oa

Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza

Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata

Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa

Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu

Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,

Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,

Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .

Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo

Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan

Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?

Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,

Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone

Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,

Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu

Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.

Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

Wee bana kaa na mke wako muyaongee yaishe. Hapa duniani hutapata malaika kama jinsi ambavyo wewe pia sio malaika. Isitoshe wewe mwenyewe ni mchepukaji tu kwani una hasara gani..? Utaachana na wangapi? Maisha mafupi haya mkuu huna haja ya kuji stress we samehe piga mkwara endelea na maisha.
 
Wakuu imebidi niende mazoez kukimbia baharin maeneo ya mbalamwez beach ndio narud now ama hakika Moyo unauma sijawah kuona nimehitahid kuootezea lakin bado kuna kitu kimekaa hapa kifuan

Nimemwita Salma anipotezee mawazo na ntamwambia kisa chote nahis yeye atafurahi tu maana alitaman kuwa oficial mda wote,Ukipita maeneo ya Mikochen Plaz hapa kwa Warioba unaeza ukanukuta daaa Inauma sana.
 
Huyo mke analiwa na jamaa tangu siku nyingi. Na yawezekana hata hao watoto unawaonea uchungu sio wako.

Ulifanya kosa kubwa Sana kumshtukiza.
Mwanaume mwenye akili sawa huwezi kufanya Hilo.

Huyo sio malaika.
Ni binadamu Kama binadamu wengine.
Mpe taarifa kuwa unarudi.

Tena Bora huyo kaenda huko mtaani.
Mwingine ungelikuta lijamaa humo ndani.
Mimi na jamaa tulienda kufumania tukiwa mtu sita, kufika jamaa aliyefumaniwa akapakiwa mkongo na kuliwa swaaafi kabisa na mtu tano [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nilikaa mbali sana, sikushiriki ujinga ule.
 
Hapo kama kweli umeoa basi huna mke kabisa ndugu! Ni ukweli mchungu ila lazma niuseme tu, mke kukosa hata tone la aibu na kuleta ubishi wakati kitu kafanya na ushahidi wa kimawasiliano unaashiria hilo ni dharau! Ukimsamehe tegemea matukio mazito zaidi...

Maamuzi ya mke kuchepuka anayafanya akijua kabisa madhara yake ni fatal wala sio kwamba shetani au vipi! Amefanya kusudi kuchepuka na alipanga kabisa hilo!

Hicho unachopitia niliwahi pitia ila mie nilimfumania akiwa na msela chumbani kwangu kabisa japo walikuwa hawajaanza kusex!
Ikawaje mkuu?
 
Wakuu imebidi niende mazoez kukimbia baharin maeneo ya mbalamwez beach ndio narud now ama hakika Moyo unauma sijawah kuona nimehitahid kuootezea lakin bado kuna kitu kimekaa hapa kifuan

Nimemwita Salma anipotezee mawazo na ntamwambia kisa chote nahis yeye atafurahi tu maana alitaman kuwa oficial mda wote,Ukipita maeneo ya Mikochen Plaz hapa kwa Warioba unaeza ukanukuta daaa Inauma sana.

kumbe ni wewe mkuu ndio ulikuwa unakimbia huku unaonesha kana upo na msongo wa mawazo ilibaki kidogo upitiwe na bodaboda,Nilikuona mkuuu
 
Ishawahi nikuta hii aisee sitakaa nisahau japo nilikuwa nashuhudia moves za jamaa toka anaingia! Mpaka demu anabeba viatu vyake anaviingiza ndani! Nikawakurupua kabla hawajaanza sex
Ungeacha mpaka waanze kufinyiana kwa ndani ndo uwavamie.
 
Mimi siwezi muacha nitachofanya nitamtafuta itabidi niongee na wife niweke mtego nimnase living stone then namfira japo kidogo afu namuacha.Nakwambiaje hata mwanaume awe ana mwili kama king kong akishafirwa anaeza kuhama mkoa.
 
Sasa nani ataiombea familia baraka kama mm ni mzinzi na mke wangu mdomo wake umejaa mbegu za wanaume wengine?

Halafu mwanamke mzinzi anaweza pata saratani ya kizazi sababu ya kubadili mwanaume, wanaume wanabeba virusi vya saratani ila haviwadhuru sasa akipata atakupa gharama tu za matibabu.

Mwanamke mzinzi HAFAI HATA AJE NA SABABU GANI.

Ukijifanya unajua kupenda sana kuna siku atakulisha mbegu, atatoka kunyonya huko ww utapiga busu.

life is short Enjoy.
Ulichosahau kuelezea ni kwamba mwanaume mzinzi pia anamsababishia mkewe saratani ya shingo la kizazi (sio saratani ya kizazi kama ulivyoeleza); Kwa sababu anabeba hivyo virusi vinavyosababisha saratani hiyo kutoka kwa wanawake anaowagonga nje huko na kuvipeleka kwa mkewe.
Hivyo basi, hata mwanamke ambae ana mwanaume anaekitembeza nje kwa wanawake mbalimbali, anakua pia kwenye hatari ya kupata hiyo saratani kutokana na tabia za mumewe. Kama ambavyo umeeleza vizuri kabisa kuwa wanaume ni wabebaji "carriers" wa hivyo virusi. Kwa hiyo gharama iko pale pale, hakuna unafuu mkuu.
JABALI LA KARNE
 
Namshangaa mleta mada. Yeye hana usafi wowote. Kakiri mwenyewe anachepuka vizuri sana. Mke kachepuka anaumia, anapata na ujasiri wa kumpiga ngumi za uso. Kisa cha kupiga mtoto ngumi za uso ni nini. Kwa usafi gani ulionao. Huo ni unafiki mkubwa hata Mungu anakushangaa. Yaani kwa sababu wewe ni mwanaume basi kuchepuka ni haki yako? Sijui wewe dini gani. Katika Mithali kuna mstari unaosema mwanaume azinie na mwanamke hana akili.

Mke kakosa ila unamhukumu weee! wakati wewe mwenyewe mzinzi.

Sasa ukapiga chini mke wako ukaenda anza moja una uhakika gani na utakaekuwa nae ni wa kwako peke yako. What if ikawa worse.

Ushauri, Tubu dhambi yako ya uzinzi, tubu kwa ajili ya mke wako. Ombea familia. Ongea na mke wako. Sameheaneni. Maisha yaendelee.

Kila la heri.
 
kabla sijaoa enzi hizo ile wiki moja kabla ya ndoa tulikuwa tunafundishwa na shangazi bibi na babu na wajomba. Nakumbuka babu alisema

ukiwa unarudi safarini usiende moja kwa moja nyumbani bali pitia kwa rafiki wa mtaa wa tano au watatu au pitia kwenye bao halafu mpe koti au begi mtoto alipeleke nyumbani then wewe nenda home baada ya masaa mawili hii itapunguza matatizo yasiyo ya lazima kwako
 
Mke wangu alipiga simu sikusikia miss call 10+ alitaka ajue narudi au vipi nikarudi kimya kimya tu sikumkuta home SAA 5:30 usiku na aliporud akuamini apo nyuma nilishaanza muhisi vibaya alikataa sana Sikh iyo nikamshka vizur sana na alipoingia ndan akachukua ndoo aelekee bafuni nikamzuia aisee hatari sana siku moja nta eleza huu mkasa
 
Namshangaa mleta mada. Yeye hana usafi wowote. Kakiri mwenyewe anachepuka vizuri sana. Mke kachepuka anaumia, anapata na ujasiri wa kumpiga ngumi za uso. Kisa cha kupiga mtoto ngumi za uso ni nini. Kwa usafi gani ulionao. Huo ni unafiki mkubwa hata Mungu anakushangaa. Yaani kwa sababu wewe ni mwanaume basi kuchepuka ni haki yako? Sijui wewe dini gani. Katika Mithali kuna mstari unaosema mwanaume azinie na mwanamke hana akili.

Mke kakosa ila unamhukumu weee! wakati wewe mwenyewe mzinzi.

Sasa ukapiga chini mke wako ukaenda anza moja una uhakika gani na utakaekuwa nae ni wa kwako peke yako. What if ikawa worse.

Ushauri, Tubu dhambi yako ya uzinzi, tubu kwa ajili ya mke wako. Ombea familia. Ongea na mke wako. Sameheaneni. Maisha yaendelee.

Kila la heri.

Mkuu hii sio rahis mimi kufanya dhambi haihalalishi na ww kufanya pia
 
Mke wangu alipiga simu sikusikia miss call 10+ alitaka ajue narudi au vipi nikarudi kimya kimya tu sikumkuta home SAA 5:30 usiku na aliporud akuamini apo nyuma nilishaanza muhisi vibaya alikataa sana Sikh iyo nikamshka vizur sana na alipoingia ndan akachukua ndoo aelekee bafuni nikamzuia aisee hatari sana siku moja nta eleza huu mkasa

Hahahahahaha mwenyewe limeshangaa mkuu nimefungua tu mlango kabigwa na butwaa anawahi kuchukua ndoo aende bafun nikapiga kibao
 
Back
Top Bottom