nyange__
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 225
- 688
"Hujaenda wewe leba". Aloooh kweli wanaume wanazidi kuishaMwanaume kuhofia watoto ni uboya mwengine kwanza huenda sio wako pili hujaenda wewe leba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Hujaenda wewe leba". Aloooh kweli wanaume wanazidi kuishaMwanaume kuhofia watoto ni uboya mwengine kwanza huenda sio wako pili hujaenda wewe leba.
Namshangaa mleta mada. Yeye hana usafi wowote. Kakiri mwenyewe anachepuka vizuri sana. Mke kachepuka anaumia, anapata na ujasiri wa kumpiga ngumi za uso. Kisa cha kupiga mtoto ngumi za uso ni nini. Kwa usafi gani ulionao. Huo ni unafiki mkubwa hata Mungu anakushangaa. Yaani kwa sababu wewe ni mwanaume basi kuchepuka ni haki yako? Sijui wewe dini gani. Katika Mithali kuna mstari unaosema mwanaume azinie na mwanamke hana akili.
Mke kakosa ila unamhukumu weee! wakati wewe mwenyewe mzinzi.
Sasa ukapiga chini mke wako ukaenda anza moja una uhakika gani na utakaekuwa nae ni wa kwako peke yako. What if ikawa worse.
Ushauri, Tubu dhambi yako ya uzinzi, tubu kwa ajili ya mke wako. Ombea familia. Ongea na mke wako. Sameheaneni. Maisha yaendelee.
Kila la heri.
Wapi amesema ni haki yake?hii adhabu ya kuacha inawahusu wote kwa sababu wote ni wa zinzi na wameshtukiana ni bora waachane kosa liko wapi?Namshangaa mleta mada. Yeye hana usafi wowote. Kakiri mwenyewe anachepuka vizuri sana. Mke kachepuka anaumia, anapata na ujasiri wa kumpiga ngumi za uso. Kisa cha kupiga mtoto ngumi za uso ni nini. Kwa usafi gani ulionao. Huo ni unafiki mkubwa hata Mungu anakushangaa. Yaani kwa sababu wewe ni mwanaume basi kuchepuka ni haki yako? Sijui wewe dini gani. Katika Mithali kuna mstari unaosema mwanaume azinie na mwanamke hana akili.
Mke kakosa ila unamhukumu weee! wakati wewe mwenyewe mzinzi.
Sasa ukapiga chini mke wako ukaenda anza moja una uhakika gani na utakaekuwa nae ni wa kwako peke yako. What if ikawa worse.
Ushauri, Tubu dhambi yako ya uzinzi, tubu kwa ajili ya mke wako. Ombea familia. Ongea na mke wako. Sameheaneni. Maisha yaendelee.
Kila la heri.
Hahahaha kabla sijawa masta nilipitia ubatizo wa motoKumbe pamoja na utata wako kidume kilishaletwa mpaka home?
Roho mtakatifu alinipitia ile ningemfanya mtu bucha na mwenyewe alijua akakimbia yaniAisee, hukuua ?
Wako ushamfuma mara ngapi mkuuMkuu nipo kwenye ndoa mwaka wa kumi na mbili sasa...nakushauri kitu ambacho nakijua wewe utaamua cha kufanya lakini jukumu la kukushauri ni jukumu langu.
1.usimuache kabisa huyo mke wako
2.wake za watu wanaliwa sana, ikiwemo wangu
3.usisahau na wewe una mchepuko
4.kinachowaunganisha ni watoto na ndio watakaoumia
5.vumilia,fatilia,mkanye,kuwa mkali ila usimuache...
nicheki Pm nikupe namba yangu kwa ushauri zaidi
Dah bora ulijikaza maana mpaka demu anaenda kutiwa na bado unamng’ang’ania jua tu kuwa atakuona boya wa mwisho! Hilo kosa halina msalia mtume yaniHakika ndugu 99.99% tena matukio ya dharau. Ilinitokea 2016 nikatemana nae kwa shida sana....mpaka leo huwa ananikumbuka mana bado hajaolewa mimi nishaoa tayari
hii ni hatari sana kwa afya ya ndoa.
Alichokifanya ndio unachokifanya. Ngoma droo. Funika kombe mwanaharamu apite ili muendelee kulea watoto.
una uhakika ameliwa hiyo kitu itakuhunt maisha
Hutakuwa na hisia nae tena maana kila ukitaka kumtia unawaza jamaa nae katia so ham inaisha
Trust me wanawake wanaweza samehe cheating ila sisi wanaume hatuwe sababu inaishi kwenye mioyo yetu
Wako ushamfuma mara ngapi mkuuMkuu nipo kwenye ndoa mwaka wa kumi na mbili sasa...nakushauri kitu ambacho nakijua wewe utaamua cha kufanya lakini jukumu la kukushauri ni jukumu langu.
1.usimuache kabisa huyo mke wako
2.wake za watu wanaliwa sana, ikiwemo wangu
3.usisahau na wewe una mchepuko
4.kinachowaunganisha ni watoto na ndio watakaoumia
5.vumilia,fatilia,mkanye,kuwa mkali ila usimuache...
nicheki Pm nikupe namba yangu kwa ushauri zaidi
Wajuaje huenda hata yeye angemfuma angeomba talaka hapo ni nani kamuwahi mwenzieInauma ee!Treat others the way you would like to be treated(kantian's law of reciprocity) wewe kuchepuka unaona sawa ila mwenzio siku moja ushapanga na talaka
Upo sahihi kabisa.Ulichosahau kuelezea ni kwamba mwanaume mzinzi pia anamsababishia mkewe saratani ya shingo la kizazi (sio saratani ya kizazi kama ulivyoeleza); Kwa sababu anabeba hivyo virusi vinavyosababisha saratani hiyo kutoka kwa wanawake anaowagonga nje huko na kuvipeleka kwa mkewe.
Hivyo basi, hata mwanamke ambae ana mwanaume anaekitembeza nje kwa wanawake mbalimbali, anakua pia kwenye hatari ya kupata hiyo saratani kutokana na tabia za mumewe. Kama ambavyo umeeleza vizuri kabisa kuwa wanaume ni wabebaji "carriers" wa hivyo virusi. Kwa hiyo gharama iko pale pale, hakuna unafuu mkuu.
JABALI LA KARNE
Lazma alipiga [emoji23].. Mwanamke akijua amekosea anajitega balaa na ukishapga tu tayar hasira zote kwishneyMlilala kitanda kimoja?ulipiga?
pole sana mkuu , nimefatilia tokea jana na nimeona sasa na mimi angalau nikushauri kitu , nimejaribu kupitia comment almost zote na kila mtu kwa utashi wake na uzoefu amejaribu kukushauri .
mimi kwa upande wangu niseme tu wote mna makosa , wote mmekiuka viapo vya ndoa yenu hakuna mwenye haki ya kumhukumu mwenzake ilihali kila mtu ni mchafu mtenda dhambi mbele za mungu ,kiufupi ndoa yenu inanuka dhambi ya usaliti .
Pili ukisikia moja ya changamoto nyingi za ndoa, usaliti ni moja ya changamoto hizo , na kama kila aliekuwepo kwenye ndoa changamoto kama hii ikitokea suluhisho nikuachana basi dunia hii ingekuwa na mabachelor wengi na masingle mother wengi na pili watoto wangeumia zaidi .
Ushauri wangu kwako japo sio lazima kuufata , kwanza kabisa mheshimiwa kubali wewe ni mtenda dhambi , uliisaliti ndoa yako kabla hata ya hujagundua mkeo anachepuka hivyo basi hebu jichunguze wewe mwenyewe kama bado unajihisi wewe ni msafi na mkeo ni mchafu zaidi basi uamuzi unao .
sijui wewe ni dini gani , lakini ninachoamini hakuna dini inayokumbatia dhambi ikiwemo usaliti , iwe kwa mwanaume au kwa mwanamke kwa hio unapaswa kutubu .
Mwisho kabisa huyo ni mkeo bado na kama nilivyosema wote mna makosa kaeni chini kwa interest zenu ( kama mnapendana ) na za watoto kisha jadilianeni , mwisho kila mtu amsamehe mwenzake na muanze upya .
Lakini pia kama mmeshindwa kukubaliana , mnaweza jipeni muda , kila mtu ajitafakari , kwenda kwa mchepuko na kujipoza sio suluhisho la kudumu.
suluhisho ni kubaki njia kuu
Mkataba wa hawara sio sawa na wa mke! Functional relationship iko namna hii:Hii assumption ya kwamba ukigundua mwanamke ameliwa wewe hutakua na hisia nae mi hua naona haina uhalisia wowote, ni jinsi tu unavyoi-tune akili yako, unless kama huyo mwanamke ulimkuta bikra.
Mfano: Kabla hujamuoa huyo mwanamke, si alishakua na wanaume wengine? Tena ukute wakati unaanza kumtongoza alikuambia kabisa ana mtu wake wewe ukakomaa kubembeleza mpaka ukampata. Pengine ulianza kumla hata kabla hajaachana na mtu wake huku ukijua kabisa jamaa nae anamega.....! Mbona hukupoteza hisia ilihali ulijua kabisa ameshaliwa?
Mbona wanaume tunachepuka na wake za watu /mademu za watu ambao tunajua kabisa jioni akirudi home jamaa nae anamega? Mbona hisia zinakuepo kali tu na shoo za uhakika tunapiga?
Wanaume tunasamehe vizuri kabisa na maisha yanaendelea