ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
Kuna.maisha baada ya kusalitiwa..Ila wee mwanaume ni nini?
Tusidanganyane hapa tiba ya usaliti ni kisasi, haijalishi nani katenda kosa.
Hebu nikuulize, hivi ingekua huyu mwanaume ndo kafumwa na mkewe ungetoa ushauri gani?
Hivyo ni sahihi mke aachwe ili akafaidi vijana.Kweli mpwa......vijana wengi wanamuona mke kama sanamu tu hivyo kufanya tendo kwa mazoea......sasa hawa vijana wanaopata hizi mambo kwa ngekewa hawafanyi makosa ya mume kwa kuwa wanajua huyo mke amefuata nini......
Cha muhimu amwambie mkewe akichepuka amkumbushe mchepuko wake kutumia condom [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nipo kwenye ndoa mwaka wa kumi na mbili sasa...nakushauri kitu ambacho nakijua wewe utaamua cha kufanya lakini jukumu la kukushauri ni jukumu langu.
1.usimuache kabisa huyo mke wako
2.wake za watu wanaliwa sana, ikiwemo wangu
3.usisahau na wewe una mchepuko
4.kinachowaunganisha ni watoto na ndio watakaoumia
5.vumilia,fatilia,mkanye,kuwa mkali ila usimuache...
nicheki Pm nikupe namba yangu kwa ushauri zaidi
Sasa akihama au ukimfanyia hivyo umeokoa nini? Ataenda kwa mwanaume mwingine na mwingine na mwingine. Hapo kosa lipo kwa Mke kama ni Malaya ni Malaya tu.Mimi siwezi muacha nitachofanya nitamtafuta itabidi niongee na wife niweke mtego nimnase living stone then namfira japo kidogo afu namuacha.Nakwambiaje hata mwanaume awe ana mwili kama king kong akishafirwa anaeza kuhama mkoa.
Na draw conclusion coz npo katika hilo,wanawake shida wanataka tufanane kwenye kila kitu.wanawake ni wagumu kuelewa na Wana maamuzi magumu yasiyotabirika.Mwanamke wa saizi psychologically ukisafiri anahisi unachepuka .Na Kama alishawahi kuona msg ambayo Ina utata shida nyingine.Ukiondoka revange inafuata ,omba Mungu asiwe na mashoga kina mwajuma ndala ndefu, Atapewa Ujinga mpaka basiiKuna pande mbili kwa kila story. Hasa story za ndoa/mahusiano.
Huyo mke wa jamaa akija nae kusimulia story ya upande wake, unaweza ukahisi anaishi na shetani.
Kuwa makini sana ku draw conclusion kwa story ya upande mmoja kwenye mambo ya mahusiano.
Hakuna cha kuoa mke wa pili wala waa saba, hapa suala ni kuwa wote wachepukaji, na je km huyo mkewe hataki mke mwenza?Sisi tunaoa hadi wanne, vipi upande wenu? Na je, wewe uliolewa hujanjunjana? Jamaa kasema huyo mchepuko anampango wa kuoa mke wa pili , shida iko wapi?
Nimeipenda hiiSijaoa ila principles ni hizi.
Mke akikukosa risasi, ama akakupiga lakini isikuue ama akakupiga panga ya shingo lakini bahati nzuri ukapona, msamehe na ongeza upendo kua zaidi ya ule wa mwanzo.
Lakini mke akichepuka kwa sababu yoyote ile usimsamehe.
Madhara ya mwanamke kuamua kuchepuka ni makubwa hatari zaidi kwenye maisha ya mume kuliko hata angempiga risasi.
Take it or leave it.
Ila achepuke na nani? [emoji23][emoji23][emoji23]Hata kama ni hivyo lakini sio achepuke na Mke wa mtu
Hapana mzee sio Liza kabla ya Liza nilikua na mke tukaachana ndio nikaja kua na Liza kama umesoma ule Uzi vizuri mwanzo pale nimeelezaHuyohuyo Liza au mke gani
Nimei screenshort hii idea kwa kumbukumbu zaidi.Sijaoa ila principles ni hizi.
Mke akikukosa risasi, ama akakupiga lakini isikuue ama akakupiga panga ya shingo lakini bahati nzuri ukapona, msamehe na ongeza upendo kua zaidi ya ule wa mwanzo.
Lakini mke akichepuka kwa sababu yoyote ile usimsamehe.
Madhara ya mwanamke kuamua kuchepuka ni makubwa hatari zaidi kwenye maisha ya mume kuliko hata angempiga risasi.
Take it or leave it.
Na wanawake wasio wake za watu. Kwani hawapo?Ila achepuke na nani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna napata vichekesho leo, lol
Wote wachepukaji, hata akioa ataendelea na tabia yake mwenzie atachoka atalipiza vilevile.....atafukuza wangapi????Kaka nini unataka? Unajisikia kuendelea na ndoa?
Hizi ni story za kale za kuhalalisha upuuzi na uzinzi kwa wanaume, km kuna maisha baada ya kusalitiwa basi pande zote zisimame kwenye hili.Kuna.maisha baada ya kusalitiwa..
Mimi nakusaliti, na weww unalipiza kwa kunisaliti...hapo tayari inaoneka mwanamke hana hofu yoyote,dharau imemjaa na anafanya mashindano na mumewe..
Mwanamke mwenye busara hawezi akafanya ligi na mumewe, la zaidi akiona yamemshinda anakaa pembeni...
Na kumbuka mwanamke akishazini na mwanaume mwingine, kamwe penzi lake la zamani haliwezi kurudi kwa mwanaime wa awali..
Lakini wanaume tunawezo kulala na wanawake 10 na wotw tukawa na mapenzi na hisia nao
Na kwa kufanya ivo itasaidia kuimarisha ndoa yao kabisaaa....atashangaa wanaanza kupendana upyaPole sana,tunza watoto,ila kama una moyo mgumu kama Nduli(Mimi ninao),usiondoke nyumbani,hama kitanda tu,Ili watoto waendelee kukuona,fanya juu chini watoto waendelee kuwaona wote pamoja,watakushukuru siku moja maishani,usikimbilie kutafuta mwingine,jipe muda,mkeo anaweza akabadirika akawa kama maraika ukakuta mnaongeza watoto wengine wawili,jipe muda kidogo,watoto wakishakuwa wakubwa,kwenye miaka 12/14 hapo ukitaka kutengana kabisa ni poa,ila iwe ni last option.