Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Muache afanye huo upuuzi, atakuta yeye ndo anashikishwa ukuta lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimerudi kusoma post yako ya mwanzo pamoja na mambo mengine wewe ndiye kisababishi ila siyo wakati wa kulaumiana nachokushauri chunga sana revenge ya mwanamke inakuwaga ya kipumbavu sana atakuletea maradhi.

Ogopa mwanamke anayelipiza kisasi hasa cha ngono
 

Afu nyie Mimi naweza toa lock/passcode kwa simu yoyote na hapo sijatumia computer, angeweka tu uone moto[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Hahahahahaha password ni uaminifu wako na wake tu
 
Wewe nawe una ghubu na hila


Wewe si unamchepuko

Shida yako ninj mkeo nae akichepuka????

Hapo ni wewe chuku astyle mpya nje na yeye aje na style mpya mnogeshe penzi lenu

Nachofatilia sana as if wewe Huna mchepuko ni nini?
Kwani huyo jamaa kaacha alama au kaondoka nayo???
 
Siombi initokee, ila ikitokea nimeachana na mke...
Sitaoa mwanamke mwingine....

Nitajipanga kivingine, nifurahie sehemu ya maisha iliyobaki hapa duniani..

Mke wa kwanza ni mke wa kwanza tu...hawezi kufanana na mwanamke mwingine atakayefuata..
Mwanzo tulisogezana tu,ila sasa ndio ndoa kabisa
 
Dah
 
Sera ni kuwa

"It wasn't me"

Hadi ukamilisho wa dahari
 
Ni kweli usemalo, lakini ulishawahi kujiuliza kwa nini mwanamke akimfumania mume, mwanamke humpiga mwanamke mwenzie? Je, ulishajiuliza kwa nini mwanaume akimfumania

Ukweli ndoo huo haya maswala ya kisema sijui watoto ndo yanatuua wanaume.kwani yeye wakati anachepuka hakuona watoto ujinga huo
Mwanaume kuhofia watoto ni uboya mwengine kwanza huenda sio wako pili hujaenda wewe leba.
 
Nawewe mtolee simu yako password sasa
View attachment 1800950
Dah *****...ila nini maamuzi haya yanahitaji ushauri mkubwa....nilichojifunza kwenye ndoa mzee sana hizi za kikristo..inafikia kipindi unakua na mtu sio kwakua mapenzi..hayo huwa yanaisha...kikubwa ni malengo ambayo nyie wawili mngekua nayo...kuacha fasta fasta sio jibu
 
Ni kwambie tu ndugu karibia wanawake wote kwasasa walioko kwenye ndoa wanaliwa nje,sasa ni maamuzi yako kumuacha au kuendelea nae.

Kumbuka asilimia kubwa ya wanamke waliopo kwenye ndoa wanaliwa nje.
 

BaDILI MTAZAMO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…