Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Sasa akihama au ukimfanyia hivyo umeokoa nini? Ataenda kwa mwanaume mwingine na mwingine na mwingine. Hapo kosa lipo kwa Mke kama ni Malaya ni Malaya tu.

Ni tabia akiamua kuiacha bas lakini huwezi kumfuatilia kila Mwanaume wake, huna shughuli zingine za muhimu za kufanya?
Muache afanye huo upuuzi, atakuta yeye ndo anashikishwa ukuta lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimerudi kusoma post yako ya mwanzo pamoja na mambo mengine wewe ndiye kisababishi ila siyo wakati wa kulaumiana nachokushauri chunga sana revenge ya mwanamke inakuwaga ya kipumbavu sana atakuletea maradhi.

Ogopa mwanamke anayelipiza kisasi hasa cha ngono
 
mfano mungu angeweka PIN code kwenye mbususu ya kila mwanamke.kila mwanaume anapewa namba ya Siri ya mbususu ya mke wake.na PIN zisingeingiliana .

pale kwenye mbususu kwa juu kunakuw na sehem ya kujaza pin code,ukimaliza tuu inafunguka unajilia vyombo ukimaliza inajilock.nadhan usalit ungepungua kwa Kias kikubwa.

Afu nyie Mimi naweza toa lock/passcode kwa simu yoyote na hapo sijatumia computer, angeweka tu uone moto[emoji23][emoji23][emoji23]
 
mfano mungu angeweka PIN code kwenye mbususu ya kila mwanamke.kila mwanaume anapewa namba ya Siri ya mbususu ya mke wake.na PIN zisingeingiliana .

pale kwenye mbususu kwa juu kunakuw na sehem ya kujaza pin code,ukimaliza tuu inafunguka unajilia vyombo ukimaliza inajilock.nadhan usalit ungepungua kwa Kias kikubwa.

Hahahahahaha password ni uaminifu wako na wake tu
 
Wewe nawe una ghubu na hila


Wewe si unamchepuko

Shida yako ninj mkeo nae akichepuka????

Hapo ni wewe chuku astyle mpya nje na yeye aje na style mpya mnogeshe penzi lenu

Nachofatilia sana as if wewe Huna mchepuko ni nini?
Kwani huyo jamaa kaacha alama au kaondoka nayo???
 
Siombi initokee, ila ikitokea nimeachana na mke...
Sitaoa mwanamke mwingine....

Nitajipanga kivingine, nifurahie sehemu ya maisha iliyobaki hapa duniani..

Mke wa kwanza ni mke wa kwanza tu...hawezi kufanana na mwanamke mwingine atakayefuata..
Mwanzo tulisogezana tu,ila sasa ndio ndoa kabisa
 
Mimi wala sikupi pole...safi sana umekomeshwa. Kuchapiwa kunauma jamani asikwambie mtu...
Imagine papuchi ya mkeo unavyoijua halafu jamaa mwingine aisuguesugue...[emoji3][emoji3][emoji3], Ma.tako yanapigwa makofi huku wakikutukana. Mama.e unaweza jinyonga.
Dah
 
Hapo kama kweli umeoa basi huna mke kabisa ndugu! Ni ukweli mchungu ila lazma niuseme tu, mke kukosa hata tone la aibu na kuleta ubishi wakati kitu kafanya na ushahidi wa kimawasiliano unaashiria hilo ni dharau! Ukimsamehe tegemea matukio mazito zaidi...

Maamuzi ya mke kuchepuka anayafanya akijua kabisa madhara yake ni fatal wala sio kwamba shetani au vipi! Amefanya kusudi kuchepuka na alipanga kabisa hilo!

Hicho unachopitia niliwahi pitia ila mie nilimfumania akiwa na msela chumbani kwangu kabisa japo walikuwa hawajaanza kusex!
Sera ni kuwa

"It wasn't me"

Hadi ukamilisho wa dahari
 
Ni kweli usemalo, lakini ulishawahi kujiuliza kwa nini mwanamke akimfumania mume, mwanamke humpiga mwanamke mwenzie? Je, ulishajiuliza kwa nini mwanaume akimfumania

Ukweli ndoo huo haya maswala ya kisema sijui watoto ndo yanatuua wanaume.kwani yeye wakati anachepuka hakuona watoto ujinga huo
Mwanaume kuhofia watoto ni uboya mwengine kwanza huenda sio wako pili hujaenda wewe leba.
 
Nawewe mtolee simu yako password sasa
View attachment 1800950
Dah *****...ila nini maamuzi haya yanahitaji ushauri mkubwa....nilichojifunza kwenye ndoa mzee sana hizi za kikristo..inafikia kipindi unakua na mtu sio kwakua mapenzi..hayo huwa yanaisha...kikubwa ni malengo ambayo nyie wawili mngekua nayo...kuacha fasta fasta sio jibu
 
Ni kwambie tu ndugu karibia wanawake wote kwasasa walioko kwenye ndoa wanaliwa nje,sasa ni maamuzi yako kumuacha au kuendelea nae.

Kumbuka asilimia kubwa ya wanamke waliopo kwenye ndoa wanaliwa nje.
 
Wewe nawe una ghubu na hila


Wewe si unamchepuko

Shida yako ninj mkeo nae akichepuka????

Hapo ni wewe chuku astyle mpya nje na yeye aje na style mpya mnogeshe penzi lenu

Nachofatilia sana as if wewe Huna mchepuko ni nini?
Kwani huyo jamaa kaacha alama au kaondoka nayo???

BaDILI MTAZAMO
 
Back
Top Bottom