Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Dah nakuona unavyohamia kwa mchepuko leo jioni.
Mtu yeyote mchepukaji adhabu yake ni taraka awe mwanamke awe mwanaume.

Sasa mleta mada wewe mchepuko wako neema unaona ni sawa ila yeye kwa Livingstone sio sawa.life is not fair.
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan ni ajabu San kwa kweli lol.
 
Hebu tulia huko muendeleze ndoa yenu, kiherehere chako cha kurudi bila taarifa tena baada ya maujinga yako kubuma ndio kimekuponza.
Anashangaza sana huyu kwa kweli, khaaaah
 
Wee jamaa upo vizuri sanaaa kwenye hili jambo nakupongeza


Usiamini kilio cha mwanamke kusema tu wewe ndo chanzo ni ushahidi tosha kama kalipiza dah
 
Mke kuliwa inauma sna hata mtaani wakijua ni aibu kubwa tofaut na mimi na huyo mchepuko
Na mme kuchepuka inauma ukiwaza sasa hivi mme yupo kwa mchepuko akimuita majina yote. Mbaya zaidi unakuta na matumizi kwa mke yamepungua. Ndugu mleta mada maumivu,ni maumivu tu hakuna cha mme wala mke.

Mfano. Pale mwanamke akijua unachepuka haya ndio yanayojitokeza.

1: lazima apunguze kukupenda
2: lazima apunguze kukupa priority
3: mkilala hisia hapati tena maana anajua kuna unae mpenda zaidi yake.
4: kwenye maadalizi ya sex hawezi kukuandaa tena maana anajua wewe ni mchafu unayoa kule unachomeka kwake.
5: hata asipopika vizuri anajua utakula kwa mchepuko wako.

Sitetei umalaya wa mkeo ila wewe ndo chanzo. Yaani una mchepuko hadi mkeo anajua? Hii ni dhalau.

Kuna kaka mmoja alinambia kuwa yeye ana mchepuko zaidi ta 4yrs lakini mke wake hajui chochote.

Je imekuwaje mkeo anajua mchepuko wako?
 
Huyo mwanamke ni pomole, zwazwa, kuku, jinga sana.
Mwanamke mwenye akili hawezi kuchepuka wakati hana uhakika na alipo mumewe.
 
Utaratibu huo ni upi? Naomba muongozo.
 
True Lies!
 
Utaratibu huo ni upi? Naomba muongozo.
Yaani mtu anaanza kuishi na mtu mwingine waliyekutana wakati wote vitovu vimekauka. Halafu haina kupeana miiko, kanuni na taratibu za mahusiano yao ya ngono?

Hilo ni tatizo kubwa mno.
 
Eleza IBRA wa PILI mkasa huo maana mikasa yako inafundisha, liza umeshamtafutia kazi?[emoji3][emoji3]
 
Mpe likizo ya miaka 2 na ww upate kutuliza akili yako utapata nyenzo ya kulitatua tatizo lako hilo
 
Ningemf**la jamaa vibaya Sana mpaka anye
 
Ningemf**la jamaa vibaya Sana mpaka anye
 

Asante
 
Evidence zipo clear kabisa wala huhitaji intervention ya VAR ila bado unayumba na kuja kuuliza huku? Hapo options ni:

1) Kumsamehe (kwa kuwa na wewe ni mchepukaji mzuri tu) ila uishi nae ukijua milele kuna masela wanamega kilaini tu when they feel like doing it
2) Kumpiga chini na kila mtu aendelee na maisha yake huku ukimsupport matumizi ya malezi ya watoto

Maamuzi kwenye eneo la kumegewa tunda ni binafsi sana na wala usisikilize any third party. Personally nisingepepesa macho na option #2 ingekuwa triggered with immediate effect.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…