Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Halafu kwa Mikasa kama hii mtu ananiuliza eti naoa lini na ili iweje,
najijua vzr ni mzee wa maamuzi magumu kama siyo kupotea jumla nitaua jitu
 
Ni kwambie tu ndugu karibia wanawake wote kwasasa walioko kwenye ndoa wanaliwa nje,sasa ni maamuzi yako kumuacha au kuendelea nae.

Kumbuka asilimia kubwa ya wanamke waliopo kwenye ndoa wanaliwa nje.
Wee jamaa kwa hiyo akae na malaya si bora awabadilishe kadri awezavyo?
 
Nilikuwa na mjali kwa matumiz na huduma za watoto ndani lakin kusex nilikuwa sifanyi kama mwanzoni hapa nakir nguvu zote nilihamishia kwa mchepuko
Una makosa na rekebisha msameheane
 
Nimeishia tu kusikitika, ndoa iheshimiwe na watu wote ukiwemo wewe, mkeo na michepuko yenu.

Tamaa za mwili zinatuendesha hatufikirii kabisa familia na madhara kwa watoto pindi ndoa ikivunjika. Tunawatesa viumbe ambao hawakutuomba tuwalete duniani, Mungu atusamehe sana.
 
Alisema mkewe ashajua mpaka mchepuko wake ko sio ngeni
 

Kuna kipindi mchepuko alikuwa akipigapiga simu usiku niliuwa sikumwambia kama nina mke baadae nilivyomwambia ndio akaelewa na simu hapig tena usiku.
 
Nenda kapime vinasaba (DNA) vya hao watoto kwanza kabla hawajaanza shule rasmi.

Mmeoana mwaka 2016 na akakushauri mhame eneo mlikokuwa mnaishi kabla ya kodi kuisha.
 
Kwangu mimi tiba ya usaliti ni busara...umuombe Mungu akupe busara na hekima pindi yanapotekea.

Na istoshe, wanaume rukishaoa si kwamba tunaoenda kuchepuka...bali maisha huko ndani yanageuka nyumba inakuwa Afghanistan..

Mwanaune anaamua kutafuta kipoozeo ili asife kwa mfadhaiko wa mawazo.

Dada zetu mkishaolewa, mnapoteza mahaba na malavidavi...mnahamishia kwa watoto...mume anakuwa ni ziada tu...

Hata penzi mnapunguza...mume akitaka penzi, hwmna muda wa kumkuna hapa na pale..mnamuambia " baba Ima nikishalala usiniamshe"

Mume akija mnatanua paja, twa twa twaa...paa paa paa..wazungu hao...haya tulale..

Ndoa ikifikia hapa kipoozeo ni lazima
 
Hivi kweli yupo
Mwenye roho mbaya kukushinda
Maana mi sijaona Duniani
Hivi kweli yupo
Aso na haya kukushinda
Maana mie sijaona sijaona
We mtu gani uko radhi mwenzako ateketee
Wakati unajua dawa yake
Ni kumponya, nihurumie
Ama mtu gani aliefika akaongeza makeke
Na wakati anajua mi kwako ndo napona,
We nihurumie
Mi najua mapenzi
Sio kwichi kwichi tu
Yanayonogaga mazoea Nimekuzoea mmmh

Unanionea, mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea, unanipiga mie
Unanionea, unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea, lalalaa mmmmh

Na kama kuachana nakubali
Sawa fanya yako
Ila sio lazima unionyeshe uniumize
Au kisa unajua
Unaniacha bado nakuhitaji
Ndo unaona bora unikomeshe Unilize eeeh
Ah poa poa,
Nishajua vya utamu Vinakuwaga vya uchungu
Ili doa doa milima haikutani
Japo najua mapenzi
Sio kwichi kwichi tu
Yanayonogaga mazoea
Nimekuzoea mmmh

Unanionea, mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea, unanipiga mie
Unanionea, unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea, lalalaa
Unanionea, unanionea bure
Hata Bonga anajua unanionea
Chino anajua, unanionea
 
Basi wote mna makosa tena wewe umezidi na umechangia pia kuchepuka kwake,we uliona kwenda kwa mchepuko ndo solution lakini umeongeza tatizo,ni wakati wa kukaa sasa na kutengeneza upya na kujitafakari kwa kina talaka haitakusaidia kamwe,
Kingine unatakiwa kujua kwamba mapenzi hayazeeki sio nguo kwamba fasheni ikipa imepita hapa yaani hata mkiwa na miaka hamsini mkeo atahitaji kubembelezwa kidogo,wizawadi vya hapa na pale,outing na vingine ko unahitaji kubadilika wewe kwanza
 
Yaani mtu anaanza kuishi na mtu mwingine waliyekutana wakati wote vitovu vimekauka. Halafu haina kupeana miiko, kanuni na taratibu za mahusiano yao ya ngono?

Hilo ni tatizo kubwa mno.
Kwahiyo ulitaka iweje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…