Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demu kiburi kabisaKaenda kazini?
Huyo konki ..
Aisee pole Sana mzee[emoji1]Hapo kama kweli umeoa basi huna mke kabisa ndugu! Ni ukweli mchungu ila lazma niuseme tu, mke kukosa hata tone la aibu na kuleta ubishi wakati kitu kafanya na ushahidi wa kimawasiliano unaashiria hilo ni dharau! Ukimsamehe tegemea matukio mazito zaidi...
Maamuzi ya mke kuchepuka anayafanya akijua kabisa madhara yake ni fatal wala sio kwamba shetani au vipi! Amefanya kusudi kuchepuka na alipanga kabisa hilo!
Hicho unachopitia niliwahi pitia ila mie nilimfumania akiwa na msela chumbani kwangu kabisa japo walikuwa hawajaanza kusex!
Huyo mke analiwa na jamaa tangu siku nyingi. Na yawezekana hata hao watoto unawaonea uchungu sio wako.
Ulifanya kosa kubwa Sana kumshtukiza.
Mwanaume mwenye akili sawa huwezi kufanya Hilo.
Huyo sio malaika.
Ni binadamu Kama binadamu wengine.
Mpe taarifa kuwa unarudi.
Tena Bora huyo kaenda huko mtaani.
Mwingine ungelikuta lijamaa humo ndani.
Hicho unachopitia niliwahi pitia ila mie nilimfumania akiwa na msela chumbani kwangu kabisa japo walikuwa hawajaanza kusex!
Vitabu vya MUNGU vinatuagiza kuwa mwanamke haachwi kwa makosa ya kawaida kibinadamu ila tu usherati ndilo ambalo haitakiwi kuachiwa.Sijaoa ila principles ni hizi.
Mke akikukosa risasi, ama akakupiga lakini isikuue ama akakupiga panga ya shingo lakini bahati nzuri ukapona, msamehe na ongeza upendo kua zaidi ya ule wa mwanzo.
Lakini mke akichepuka kwa sababu yoyote ile usimsamehe.
Madhara ya mwanamke kuamua kuchepuka ni makubwa hatari zaidi kwenye maisha ya mume kuliko hata angempiga risasi.
Take it or leave it.
Sasa asiende kazini? [emoji23][emoji23][emoji23]Kaenda kazini?
Huyo konki ..
Huu uzi ungeunganisha kule ...ulishawahi kula tunda . Ki...Alichokifanya ndio unachokifanya. Ngoma droo. Funika kombe mwanaharamu apite ili muendelee kulea watoto.
Hivi nyie huwa mko timamu kichwani? Mbna huyu mwanaume ana cheat sana nje huko, hamu mpi lawama? KhaaaaahHapo kama kweli umeoa basi huna mke kabisa ndugu! Ni ukweli mchungu ila lazma niuseme tu, mke kukosa hata tone la aibu na kuleta ubishi wakati kitu kafanya na ushahidi wa kimawasiliano unaashiria hilo ni dharau! Ukimsamehe tegemea matukio mazito zaidi...