Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Napingana na maamuzi yako Kaka, hakuna mwanamke ambae hasaliti, Kuna msemo unasema ukitaka mahusiano yadumu jifanye mjinga wakati mwingine....... Na kuasalitiana kupo toka jana enzi na enzi. Soma kutabu Cha hoseaa. Alafu ndo ufanye maamuzi
 
Hapo kama kweli umeoa basi huna mke kabisa ndugu! Ni ukweli mchungu ila lazma niuseme tu, mke kukosa hata tone la aibu na kuleta ubishi wakati kitu kafanya na ushahidi wa kimawasiliano unaashiria hilo ni dharau! Ukimsamehe tegemea matukio mazito zaidi...

Maamuzi ya mke kuchepuka anayafanya akijua kabisa madhara yake ni fatal wala sio kwamba shetani au vipi! Amefanya kusudi kuchepuka na alipanga kabisa hilo!

Hicho unachopitia niliwahi pitia ila mie nilimfumania akiwa na msela chumbani kwangu kabisa japo walikuwa hawajaanza kusex!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kimeumana...mzee mwenzangu kumbe ushawahi kuchezeshwa ndombolo ya soro
 
Huu ushauri wa hovyo tyuuh, mbna huyo mwanaume anachepuka huko nje sana tyuuh. Au hamlioni hili? Unafiki tyuuh.

cocastic

Jitahidi kupunguza hasira pindi unapoelezea hisia zako. Upo huru kunipinga ninachosema, ila unaponiattack kwa kuniita mm ni mnafiki kwa kuelezea mtazamo wangu, nahisi unanikosea.

Turudi kwenye mada. Siwezi kumshauri mwanamke, wakati aliyekuja kuomba ushauri ni mwanaume. Binafsi sipendelei mahusiano yenye watu zaidi ya wawili, ndio maana jamaa nimempa ushauri huo. Hata ingekuwa ni bi dada ndio amekuja kuomba ushauri, still ningemshauri the same. Kama upo na mtu ambae ameanza kutoka na mtu mwingine tofauti na wewe, jitoe kwenye mahusiano, thats Me.
 
Jana nimepanda bodaboda nashuka,dogo ananiambia madam mwalimu Fulani pale kazini kwenu nimemla juzi..halafu mmewe mambo safi anamuwekea mafuta full tank anahudumia familia 100% daahh!!!nimechoka na mmewe namjua baasi niliumia roho mnoo...
Dogo nimembishia kanambia hivi next time nikimla ntakushtua uje ukae pembeni ya gesti uone tunavotoka...!!!

Seriously wake za watu ni malaaaaaaya kuliko wasoolewa...!!!
HUDUMA za mume haziishii kutunza familia na kujaza full tank.....huyo kijana ndio anakamilisha hiyo HUDUMA nyingine ambayo mama ameikosa.......
 
Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.

Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya

Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.

Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,

Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,

Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion

Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana

Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi

Jamaa:hey beautiful missed you

Mke: hey baby missing you more

Jamaa: missed your voice sana

Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke😱k ntakwambia.

Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa

Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena

Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke😛oa

Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza

Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata

Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa

Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu

Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,

Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,

Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .

Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo

Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan

Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?

Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,

Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone

Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,

Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu

Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.

Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda
Muosha huoshwa. Wewe si ulikuwa ykalale kwa mchepuo ndipo uenda nyumbani Leo? Tena ningekuwa mimi.ni mwanamke na ni mke wako ningekulipizia kisasi cha michepuko mpaka uombe poo. Mkuki kwa nguruwe mtamu ila kwa binadamu mchungu. Nikuambie tu pamoja na wanaume wenzangu siku mke wako au mapenzi wako anayekupenda sana akitambua umemsaliti kisasi chake huwa siyo chepesi.

Huna haja ya kumuacha mke maana na wewe unamwibia kimapenzi. Muyamalize na wote muache michepuko. Mlee hao watoto maana mkicheza mtaachana na hao watoto watakutana na miziki ya wazazi wa kambo (baba na mama wa kambo).
 
Hivi huu ushauri umetoa ukiwa timamu au una haha? Yaan amuache mkewe, huku yeye aendeleze uzinzi na mchepuko wake? Sasa hapo atakua anafanya nn cha maan?
Ifike wakati tuangalie usawa kwa pande zote mbili. Khaaaaah
Ni kweli usemalo, lakini ulishawahi kujiuliza kwa nini mwanamke akimfumania mume, mwanamke humpiga mwanamke mwenzie? Je, ulishajiuliza kwa nini mwanaume akimfumania mke anaweza kumuua mke?.. Saikolojia ya mwanamke na mwanaume ktk usaliti ipo tofauti sana. Btw: nimempa option ya kuchagua. Ndoa ni ya wawili.. Karibu kwa mjadala dada yangu japo unatetea usawa lakini pia tuzitazame kwa kina tofauti za maumbile baina yetu na zinavyofanya kazi
 
Jana nimepanda bodaboda nashuka,dogo ananiambia madam mwalimu Fulani pale kazini kwenu nimemla juzi..halafu mmewe mambo safi anamuwekea mafuta full tank anahudumia familia 100% daahh!!!nimechoka na mmewe namjua baasi niliumia roho mnoo...
Dogo nimembishia kanambia hivi next time nikimla ntakushtua uje ukae pembeni ya gesti uone tunavotoka...!!!

Seriously wake za watu ni malaaaaaaya kuliko wasoolewa...!!!
Dunia ya sasa kutongoza mke wa mtu ni rahisi sana kukubaliwa na pia ni rahis sana dem kumkubali mme wa mtu kuliko mwanaume ambae ajaoa.

Nilisikia jamaa mmoja akiwambia wenzie sijui ni ukwel
 
jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone
Mkuu ameliwa huyo... Mimi nilimkuta demu anatoka guest kabisa na jamaa afu hakukubali kama alienda kucheat yani unaweza hata kucheka, mbaya zaidi wakapanga na jamaa niliyemfuma nae akanifata kuniambia kuwa hakuwa amemla na mule sio guest wakati mtaa naujua na guest naijua kabisa.. hapo ndio nikaamini hawa watyu sio! Bro maisha yana mambo mengi ya kufany
 
Pole sana.
Kuna kitu kinanipa was was lately maana najikuta siku hiz nampenda sana yf mpaka najisahAu kias kwamba na yeye kaanza kuona.Wakuu hii sio dalili ya umauti kweli unaninyemelea?Maana for 10 year tuko pamoja sijawah kuwa na moyo lege lege kias hiki!!.au kashAnitengeza?😂😂😂
 
Mimi wala sikupi pole...safi sana umekomeshwa. Kuchapiwa kunauma jamani asikwambie mtu...
Imagine papuchi ya mkeo unavyoijua halafu jamaa mwingine aisuguesugue...😀😀😀, Ma.tako yanapigwa makofi huku wakikutukana. Mama.e unaweza jinyonga.
 
Hapo kama kweli umeoa basi huna mke kabisa ndugu! Ni ukweli mchungu ila lazma niuseme tu, mke kukosa hata tone la aibu na kuleta ubishi wakati kitu kafanya na ushahidi wa kimawasiliano unaashiria hilo ni dharau! Ukimsamehe tegemea matukio mazito zaidi...

Maamuzi ya mke kuchepuka anayafanya akijua kabisa madhara yake ni fatal wala sio kwamba shetani au vipi! Amefanya kusudi kuchepuka na alipanga kabisa hilo!

Hicho unachopitia niliwahi pitia ila mie nilimfumania akiwa na msela chumbani kwangu kabisa japo walikuwa hawajaanza kusex!
Kumbe ulishaga oa mkuu?
 
Kweli mpwa......vijana wengi wanamuona mke kama sanamu tu hivyo kufanya tendo kwa mazoea......sasa hawa vijana wanaopata hizi mambo kwa ngekewa hawafanyi makosa ya mume kwa kuwa wanajua huyo mke amefuata nini......
Kama unafanya fanya tu kwa mapenzi, ila kama unafanya ili aistegeke huko nje wewe utakuwa boya
 
Hapo kama kweli umeoa basi huna mke kabisa ndugu! Ni ukweli mchungu ila lazma niuseme tu, mke kukosa hata tone la aibu na kuleta ubishi wakati kitu kafanya na ushahidi wa kimawasiliano unaashiria hilo ni dharau! Ukimsamehe tegemea matukio mazito zaidi...

Maamuzi ya mke kuchepuka anayafanya akijua kabisa madhara yake ni fatal wala sio kwamba shetani au vipi! Amefanya kusudi kuchepuka na alipanga kabisa hilo!

Hicho unachopitia niliwahi pitia ila mie nilimfumania akiwa na msela chumbani kwangu kabisa japo walikuwa hawajaanza kusex!
Umeona kosa la mke kuchepuka ila la yeye kuchepuka hujaliona, tena anaona ufahari.
Malipo ni hapa hapa duniani
 
Kwanini inakuukiza wewe.. na wewe unayafanya hayo..na ulikuwa na mpanho wa kwenda kwa mchepuko pia jana usiku.. alitakiwa akulaze polisi kwa kumpiga..

Wanaume na nyie mkome..😀😀😀😀
 
Hapo kama kweli umeoa basi huna mke kabisa ndugu! Ni ukweli mchungu ila lazma niuseme tu, mke kukosa hata tone la aibu na kuleta ubishi wakati kitu kafanya na ushahidi wa kimawasiliano unaashiria hilo ni dharau! Ukimsamehe tegemea matukio mazito zaidi...

Maamuzi ya mke kuchepuka anayafanya akijua kabisa madhara yake ni fatal wala sio kwamba shetani au vipi! Amefanya kusudi kuchepuka na alipanga kabisa hilo!

Hicho unachopitia niliwahi pitia ila mie nilimfumania akiwa na msela chumbani kwangu kabisa japo walikuwa hawajaanza kusex!

Na yeye kuchepuka kwa mwanamke haiwi hivyo umeandika au?
 
Back
Top Bottom