cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Nenda kapime nae afya kwanza
Halafu nakushauri baki nae kwanza usimuache watoto wadogo hao .
Mpe nafasi coz kila mtu huliwa na kula hata wewe unakula huko nje
We tulia nae tu Kama unataka mpe pyschological torture Hadi ajirudi mwenyewe then mpe mkataba mmoja mgumu Sana
Hapo mwishoni na mkewe ampe hayo umeandika..
Kwani mwanamke hana hisia??