Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

1. Usiwe karibu nae kwa wiki kadhaa ili usije mdhuru, kujidhuru wakati unatafakari hatima ya watoto... 2. Usaliti wa ndoa unaumiza sana hivyo shauku ya kukutana kimwili haitakuwepo, endelea na huyo mchepuko wako ili kupoza msukumo wa damu ktk ubongo/msongo wa mawazo... 3. Kubali kuwa Shetani hana huruma hata kichaa anaweza kutembea na mkeo, sasa amua kuachana nae au oa mwingine yeye abaki kulea watoto wake.. Pole sana. Uwe mkomavu wa akili. Ya dunia huenda mbele na nyuma.
 
Et alikua alone.....nijana tu ndo umemuacha alone?

Et mbona wee unachepuka??mpuuzi kabisa


Et movie ??duuuh



Chakufanya weee Muache ndan wala usiende kupanga ,endelea kua Ratiba zako za kusafiri ivoivo, uwe unamwambia ivoivo nakuja Jmos[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Ukilifukuza nalo ni litapata Aibu

Kwa wahuni wanafataga kuliwa Ndogo


zakuambiwa changanya nazako

Kama ni mimi, tungeachana.
 
kabunda88 muulize tatizo linalomfanya aende “kuangalia movie kwa jirani ninini”, siajabu kwako screen mbovu.
Umewaza pakubwa sana mpwa......comment yako imenifikirisha sana mpaka nikarudia kusoma kisa kizima kama hakimu.....kwa mtiririko wa mawasiliano baina ya mkewe na huyo jamaa ni wazi kuwa mkewe alikuwa na hamu sana na hilo tendo.......sasa inawezekana vipi mwanamke anayetoshelezwa na mumewe akawaka tamaa kiasi cha kuulizia mchezo kwa kiu......??

Takwimu zinaonyesha vijana wakishaanza kuchepuka utendaji kazi makao makuu unapungua automatically.......lakini uhitaji wa mwanamke upo pale pale......kijana anatakiwa ajitafakali kabla hajafanya maamuzi........
 
Unaonea watoto huruma kisa ni wadogo. Swali ulipo mkuta hayupo nyumba watoto walikuwa wap na nani? Kama walikuwa wenyewe jua kuwaacha waishi na mama yao na wewe kuhama utakuwa umewapa mateso zaidi
 
1. Usiwe karibu nae kwa wiki kadhaa ili usije mdhuru, kujidhuru wakati unatafakari hatima ya watoto... 2. Usaliti wa ndoa unaumiza sana hivyo shauku ya kukutana kimwili haitakuwepo, endelea na huyo mchepuko wako ili kupoza msukumo wa damu ktk ubongo/msongo wa mawazo... 3. Kubali kuwa Shetani hana huruma hata kichaa anaweza kutembea na mkeo, sasa amua kuachana nae au oa mwingine yeye abaki kulea watoto wake.. Pole sana. Uwe mkomavu wa akili. Ya dunia huenda mbele na nyuma.
Hivi huu ushauri umetoa ukiwa timamu au una haha? Yaan amuache mkewe, huku yeye aendeleze uzinzi na mchepuko wake? Sasa hapo atakua anafanya nn cha maan?
Ifike wakati tuangalie usawa kwa pande zote mbili. Khaaaaah
 
Umewaza pakubwa sana mpwa......comment yako imenifikirisha sana mpaka nikarudia kusoma kisa kizima kama hakimu.....kwa mtiririko wa mawasiliano baina ya mkewe na huyo jamaa ni wazi kuwa mkewe alikuwa na hamu sana na hilo tendo.......sasa inawezekana vipi mwanamke anayetoshelezwa na mumewe akawaka tamaa kiasi cha kuulizia mchezo kwa kiu......??

Takwimu zinaonyesha vijana wakishaanza kuchepuka utendaji kazi makao makuu unapungua automatically.......lakini uhitaji wa mwanamke upo pale pale......kijana anatakiwa ajitafakali kabla hajafanya maamuzi........
Ni kumfahamisha hata kama wanaachana ajifunze kutokana na hili huko anakokwenda asirudie kosa. Si ajabu alikua ana pet pet kumbe bangi man anafanya kweli.
 
Hapo kama kweli umeoa basi huna mke kabisa ndugu! Ni ukweli mchungu ila lazma niuseme tu, mke kukosa hata tone la aibu na kuleta ubishi wakati kitu kafanya na ushahidi wa kimawasiliano unaashiria hilo ni dharau! Ukimsamehe tegemea matukio mazito zaidi...

Maamuzi ya mke kuchepuka anayafanya akijua kabisa madhara yake ni fatal wala sio kwamba shetani au vipi! Amefanya kusudi kuchepuka na alipanga kabisa hilo!

Hicho unachopitia niliwahi pitia ila mie nilimfumania akiwa na msela chumbani kwangu kabisa japo walikuwa hawajaanza kusex!
Sasa mzeeya kwa nini hamkupiga threesome hapo maana sii demu anapenda migegegdo yenu wote wawili
 
Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.

Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya

Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.

Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,

Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,

Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion

Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana

Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi

Jamaa:hey beautiful missed you

Mke: hey baby missing you more

Jamaa: missed your voice sana

Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke😱k ntakwambia.

Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa

Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena

Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke😛oa

Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza

Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata

Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa

Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu

Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,

Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,

Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .

Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo

Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan

Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?

Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,

Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone

Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,

Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu

Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.

Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda
Kama hili andiko ni la kweli, maoni yangu ni haya:
1.Kuna uwezekano mkubwa mkeo alianza kukusaliti kitambo, na ni uamuzi ambao aliupanga na kuamua hivyo.
2.Mkeo wala hajajutia kufumaniwa na wewe katika matendo yake ya usaliti, ila tu amepata mshtuko kwa wewe kugundua.
3.Mkeo anajua kuwa na wewe unamsaliti (japokua kuna uwezekano wa asilimia 75 alianza usaliti kabla hata hajagundua mambo yako kulingana na story ilivyo).
4.Hao watoto kuna uwezekano wote wawili au mmojawapo si wa kwako
5.Maamuzi ya mwisho juu ya hatima ya hiyo ndoa ni ya kwako wewe na Serikali ya ubongo wako.
kabunda88
 
Mimi kwangu watoto Ni muhimu kuliko mke kutoka nje ya ndoa.
Naongea hivi kwa sababu nimekualia nje ya malezi ya baba na mama.
Halafu pia Nina watoto wawili Sasa, vile wanavyoishi kwa furaha kwa uwepo wa baba na mama, kuchepuka sio hoja.
na kutokana na tabia hizo za kuchepuka huoni inawezakuwa hata hao watoto sio wa kwako,uzinzi kwa wanandoa ni kosa baya kuliko yote katuka ndoa
 
Jana nimepanda bodaboda nashuka,dogo ananiambia madam mwalimu Fulani pale kazini kwenu nimemla juzi..halafu mmewe mambo safi anamuwekea mafuta full tank anahudumia familia 100% daahh!!!nimechoka na mmewe namjua baasi niliumia roho mnoo...
Dogo nimembishia kanambia hivi next time nikimla ntakushtua uje ukae pembeni ya gesti uone tunavotoka...!!!

Seriously wake za watu ni malaaaaaaya kuliko wasoolewa...!!!
 
Ni kumfahamisha hata kama wanaachana ajifunze kutokana na hili huko anakokwenda asirudie kosa. Si ajabu alikua ana pet pet kumbe bangi man anafanya kweli.
Kweli mpwa......vijana wengi wanamuona mke kama sanamu tu hivyo kufanya tendo kwa mazoea......sasa hawa vijana wanaopata hizi mambo kwa ngekewa hawafanyi makosa ya mume kwa kuwa wanajua huyo mke amefuata nini......
 
Back
Top Bottom