Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Kaka nini unataka? Unajisikia kuendelea na ndoa?
Bado anampenda mke wake,sio vibaya kama inawezekana embu ampe nafasi nyingine walee watoto weo lakini wanaume mjue hili hadi mkeo anatoka nje ujue wewe ndo sababu kubwa hivyo wakae chini waongee kama inawezekana...sema na moyo wako pia
 
Yeye anaona sawa kuzini (hata kama siyo na mke wa mtu) lakini anasikia uchungu sana kwa mkewe kufanya kosa hilo.

Mmeanza lini kulinganisha uchepukaji wa me na ke hamwoni mnakosea mwanaume hakuna tatizo akiwa na wake wa nne hii imeruhusiwa hata enzi na enzi kwa mwanaume Kuwa na wanawake wengi ni sawa tu kulingana na maumbile yake sasa nashangaa mnapotaka haki sawa hata ktk hili
 
Jeuri kama hizi huwa mnazitoa wapi au Ww ndio unamlisha jamaa..Pesa ndio zinawapa jeuri wanawake mkizipata
Jeuri ipi umeona hapo ndugu?
Mimi nimlishe mwanaume nimerogwa?
Kulisha analisha yeye ni wajibu wake...mimi kapuku sina hata mia.
Ninaishi nae kwa mapenzi tu na si kingine. Muda wa kukimbizana Sina ..tupendane tuishi kwa amani, hanipendi/hanitaki kila la kheri silazimishi.

Kiufupi amani katika ndoa ipo mikononi mwake yeye aliyepropose ndoa.
Wajibu wangu ni kutekeleza majukumu yangu kama mke.
Akitetereka ndoa inakufa.
 
Tunaotembea na wake za watu tuache jamani tutakuja kupakuliwa ugali mchana kweupe jua linawaka
 
Jikaririshe hivyo hivyo. Dunia haijasimama
 
Kwa vile wewe hajakubamba fukuza hiyo mbwa. Mwanamke ni golikipa akiachia goli tumefungwa. Mwanaume ni straika hata akipitwa sio issue.
Wanawake hakuna usawa kwenye sex jinga nyie.
 
Nimesoma yoote,shida hapo nahisi kwako huna TV,sababu kwanini aende kuangalia kwa rafiki yake,nakushauri ununue TV ili siku nyingine akose sababu ya kutoka!
 
Niliapa maishani kama Kuna siku nitachepuka.. Basi hata nimfume mke wangu live.. Sina la kufanya.. Tutasameheana na kusonga mbele... Dhamiri yako ni kitu kikubwa. Never huwezi mhukumu mtu kwa dhambi ambayo hata wewe unaitenda utakuwa ujuha.
 
Hakuna cha kuoa mke wa pili wala waa saba, hapa suala ni kuwa wote wachepukaji, na je km huyo mkewe hataki mke mwenza
Unachepukaje wakati unatembea na mpenzi wako ?

Kama mwanamke hutaki uke wenza si uondoke tu , why risking your life kiasi hicho? Ukipigwa mapanga je?? Au kuchomwa moto ? Utasema ulikua unashindana na mwanaume? Cocastic eeh , kwann mnabishana na nature nyinyi?
Hakuna cha kuoa mke wa pili wala waa saba, hapa suala ni kuwa wote wachepukaji, na je km huyo mkewe hataki mke mwenza?
Sasa
 

Kama kweli unachoandika hapa na matendo yako ndio yapo hivo,huchukii round utaachwa jamaa ni mvumilivu sna.

Kwahiyo ww ndoa huna shida nayo kwasababu jamaa ndio kapropose ndoa ww kwann ulikubali sasa? jinsi unavyocomments ndio inareflect mimi kukuita jeur nisamehe kama nimekosea
 
Kwa vile wewe hajakubamba fukuza hiyo mbwa. Mwanamke ni golikipa akiachia goli tumefungwa. Mwanaume ni straika hata akipitwa sio issue.
Wanawake hakuna usawa kwenye sex jinga nyie.

Hahahahahaha mkuu nimekuelewa inakuaje wanaleta usawa kwny Sex kwahiyo ukiwa na madem wakali 2 na yy awe na njemba 2 aisee
 
Demi but why [emoji3], sema mwamba imemuuma kinoma
Tena huyu mwamba ana stamina ya kutosha...na ujasiri wa kuandika uzi na kujibu koments za watu anao..

Wengine saa hizi tungekuwa tunahisi tupo sayari ya Mars....mchana si mchana, jioni si jioni, kula haviliki, kunywa havinyweki.....
Maumivu ya penzi achana nayo....
 
Wanawake tunajali hisia zaidi

Unaweza kuwa na fedha ila kama hukujali hisia zake usishangae mvuta bangi anayecare akagonga.


Narudia

Hakuna haja ya ghubu wala ngumi

Tokeni mahali mkae myajenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…