- Thread starter
- #461
Nani hapo wa kuonewa huruma?
Mume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani hapo wa kuonewa huruma?
Yeye anaona sawa kuzini (hata kama siyo na mke wa mtu) lakini anasikia uchungu sana kwa mkewe kufanya kosa hilo.Alichokifanya ndio unachokifanya. Ngoma droo. Funika kombe mwanaharamu apite ili muendelee kulea watoto.
Leo mara ya pili unaniita mchaga, brother mi sio mchaga, kwetu kanda ya ziwa
Bado anampenda mke wake,sio vibaya kama inawezekana embu ampe nafasi nyingine walee watoto weo lakini wanaume mjue hili hadi mkeo anatoka nje ujue wewe ndo sababu kubwa hivyo wakae chini waongee kama inawezekana...sema na moyo wako piaKaka nini unataka? Unajisikia kuendelea na ndoa?
Yeye anaona sawa kuzini (hata kama siyo na mke wa mtu) lakini anasikia uchungu sana kwa mkewe kufanya kosa hilo.
Jeuri ipi umeona hapo ndugu?Jeuri kama hizi huwa mnazitoa wapi au Ww ndio unamlisha jamaa..Pesa ndio zinawapa jeuri wanawake mkizipata
Ni umalaya tu nakumbuka kuna demu mmoja mke wa mtu alinitengenezea mazingira kwenda kumgongea kwakeHivi lakini wanawake huwa wanawaza nini kuleta kidume ndani ya nyumba ya wanandoa..?
Jikaririshe hivyo hivyo. Dunia haijasimamaMmeanza lini kulinganisha uchepukaji wa me na ke hamwoni mnakosea mwanaume hakuna tatizo akiwa na wake wa nne hii imeruhusiwa hata enzi na enzi kwa mwanaume Kuwa na wanawake wengi ni sawa tu kulingana na maumbile yake sasa nashangaa mnapotaka haki sawa hata ktk hili
Kweli muoneeni huruma mwenzenu. Wahuni wamechakata papuchi ya mama watoto🤣🤣🤣🤣.Mume
Niliapa maishani kama Kuna siku nitachepuka.. Basi hata nimfume mke wangu live.. Sina la kufanya.. Tutasameheana na kusonga mbele... Dhamiri yako ni kitu kikubwa. Never huwezi mhukumu mtu kwa dhambi ambayo hata wewe unaitenda utakuwa ujuha.Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.
Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya
Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.
Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,
Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,
Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion
Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana
Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi
Jamaa:hey beautiful missed you
Mke: hey baby missing you more
Jamaa: missed your voice sana
Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke😱k ntakwambia.
Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa
Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena
Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke😛oa
Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza
Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata
Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa
Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu
Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,
Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,
Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .
Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo
Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan
Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?
Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,
Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone
Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,
Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu
Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.
Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda
Unachepukaje wakati unatembea na mpenzi wako ?Hakuna cha kuoa mke wa pili wala waa saba, hapa suala ni kuwa wote wachepukaji, na je km huyo mkewe hataki mke mwenza
SasaHakuna cha kuoa mke wa pili wala waa saba, hapa suala ni kuwa wote wachepukaji, na je km huyo mkewe hataki mke mwenza?
Jeuri ipi umeona hapo ndugu?
Mimi nimlishe mwanaume nimerogwa?
Kulisha analisha yeye ni wajibu wake...mimi kapuku sina hata mia.
Ninaishi nae kwa mapenzi tu na si kingine. Muda wa kukimbizana Sina ..tupendane tuishi kwa amani, hanipendi/hanitaki kila la kheri silazimishi.
Kiufupi amani katika ndoa ipo mikononi mwake yeye aliyepropose ndoa.
Wajibu wangu ni kutekeleza majukumu yangu kama mke.
Akitetereka ndoa inakufa.
Nimesoma yoote,shida hapo nahisi kwako huna TV,sababu kwanini aende kuangalia kwa rafiki yake,nakushauri ununue TV ili siku nyingine akose sababu ya kutoka!
Kwa vile wewe hajakubamba fukuza hiyo mbwa. Mwanamke ni golikipa akiachia goli tumefungwa. Mwanaume ni straika hata akipitwa sio issue.
Wanawake hakuna usawa kwenye sex jinga nyie.
Tunaotembea na wake za watu tuache jamani tutakuja kupakuliwa ugali mchana kweupe jua linawaka
Tena huyu mwamba ana stamina ya kutosha...na ujasiri wa kuandika uzi na kujibu koments za watu anao..Demi but why [emoji3], sema mwamba imemuuma kinoma
Wanawake tunajali hisia zaidiShukrana mkuu ulio sema ni kweli kabisa mkuu na kwa asilimi 100% ntakuwa nimechangia yeye kunisaliti pia
Nakumbuka wakati tumeanza mahusiano nilimpenda sana na mda wote tulikuwa wote hata show nilikuwa nafanya hata mara 5 kwa siku ni mda wote tu kufanya na ndio maana hata watoto wetu wamepatikana mapema sna
Ila baada ya kuwa na mtoto wa pili sikuwa na ham nae sna na show ni mara mojamoja tu kwa week hata mara moja na zile msg na kuchat marakwamara sikuwa namtumia na nikiona msg yake napotezea mpka iwe ya muhim
Kiufupi ndani kuanzia 2020 hakuwa na mvuto tena kwangu tulishi tu kawaida ila sio romantic km zaman mpka sometimes ananiuliza mbona namfanyia hivo but sikujali
Kuna mdada kazin kwetu ni mpya kwny kaz na ni mdogo ndio alinivutia so mapenz yangu nikahamishia kwa mchepuko kwahiyo
huyo jamaa alie chepuka nae jana nakumbuka since mwaka jana niliona msg yake lkn sikuzingatia kabisa nikajisemea tu sasa hiv analea huyu nan anaweza kumtaka kiufupi alikuwa bize na watoto ukiangalia wamefatana
Sasa jana ilivyo tokea ndio nakumbuka huyu mtu hakuanza juz na wife kumsifia ni km alikuwa akimpa faraja yale mambo nilio kuwa nikiyafanya kwa wife jamaa ndio alichukua nafas
Nimewaza mambo mengi sana why kitu kama hiki kimetokea kulingana na heshima yangu kwny jamii na watu wanavyotuona tunavyofurahia maisha na wife na watoto wetu kila mtu atatamani kuiga
But wife amekuja kuliwa na kijana mshinda gym tu na na kuvuta bangi.