Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Aiseee, chumbani kwako kabisaaa!? Duuh!.... mnatutisha waoaji wapya[emoji38]
Ndugu yangu sometimes wanawake wana akili ambayo haijai kifuniko cha soda...

Analeta njemba kitandani kwako, analiwa bao za kutosha, mbaya zaidi kama chmba chako ni self contained, njemba inajifunga taulo lako na anaoga, anajipaka mafuta yako, akihisi baridi anapewa koti/sweta lako..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Ukitafakari haya hutaoa...

Kuoa ni sawa na kujitoa mhanga
 
Nina shida na ndoa ambayo inafata misingi ya ndoa, otherwise ni bora nisiwe nayo. Haileti tofauti yoyote nikiwa nayo au nisipokuwa nayo.
Ndoa ambayo sipendwi mapenzi yamekufa sitakuwepo hapo.

Jukumu la mume ni kumpenda mke, na jukumu la mke ni kumtii mume.

No mapenzi no utii.

Na Kama unasubiri niachwe my friend itabidi usubiri sana. Miaka 13 now bado tunadunda, tumepita milima, mabonde, vita na kila aina ya swaga unazozifahamu and this time we are strong kuliko kipindi chochote.
No more dramas.

Na hata ikitokea nikaachwa it's fine, sina cha kupoteza maisha yataendelea.
 
Na jamaa lazima aende kwa mchepuko kujipooza machungu maana amekiri kuwa nao, akifika huko story itakua ni kumsimanga mkewe jinsi alivyochepuka, ilhali na yeye yuko na mchepuko [emoji23]. Safari bado ni ndefu sana
Kwa sasa hivi hata akienda sijui kama dyudu itasimama....

Anatakiwa atulie mpaka apate relief
 
Hii ni kweli?
 
Mwanangu kamuona albino kamuita "Mchina" halafu jamaa kamjibu "Nihao"
 
Mwingine angekaa nyumbani kuomba msamaha na kujaribu kuwatafuta wakubwa wa pande zote mbili ili wawapatanishe kama itawezekana.
Kaenda kazini?

Huyo konki ..
 
Kuachana na mke kisa,kachepuka sio njia sahihi ilihali mna watoto wadogo,inauma ila piga moyo konde angalia maisha ya watoto wako,
Apige moyo konde huku akijua kabisa kafuga kahaba ndani na siku akisafiri tena yule underground atamuita na kutafuna tena na tena?
 
Anatakiwa kuwa kazini hadi saa hizi?

Ndio wanafanya 12Hours ni Nurse mida hii yupo njian maana wanatoka Saa mbili na nusu hiv na inategemea staff wanao kuja usiku wamewahi vip na ubize pia wa wagonjwa hawez kuondoka mpka akabidh report kwa mtu
 
Acha kumpotosha mwenzio. Eti asimwache. Huyo mke ni malaya kama mleta mada hakumwoa akiwa bikra. Halafu hana hofu ya mungu licha ya kufumaniwa bado hataki kukiri uzinzi wake. Kama mke angekuwa anathamini ndoa yake basi angetumia hekma kumrekebesha mumewe ila sio eti naye achepuke. Huyo mwanamke ni mpenda visasi na anayependa kishindana na mumewe. Kwa hivo si mshauri mleta mada aendelee naye. Mleta mada kuwa makini na huyu jamaa atakuingiza pabaya. Wanaopinga uamuzi wa mleta mada basi wanafaa kupimwa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…