BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Mkeo kisharudi toka kazini?
Acheni kwakweli mke anauma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kwakweli mke anauma
Wanawake tunajali hisia zaidi
Unaweza kuwa na fedha ila kama hukujali hisia zake usishangae mvuta bangi anayecare akagonga.
Narudia
Hakuna haja ya ghubu wala ngumi
Tokeni mahali mkae myajenge
Ndugu yangu sometimes wanawake wana akili ambayo haijai kifuniko cha soda...Aiseee, chumbani kwako kabisaaa!? Duuh!.... mnatutisha waoaji wapya[emoji38]
Nina shida na ndoa ambayo inafata misingi ya ndoa, otherwise ni bora nisiwe nayo. Haileti tofauti yoyote nikiwa nayo au nisipokuwa nayo.Kama kweli unachoandika hapa na matendo yako ndio yapo hivo,huchukii round utaachwa jamaa ni mvumilivu sna.
Kwahiyo ww ndoa huna shida nayo kwasababu jamaa ndio kapropose ndoa ww kwann ulikubali sasa? jinsi unavyocomments ndio inareflect mimi kukuita jeur nisamehe kama nimekosea
Kwa sasa hivi hata akienda sijui kama dyudu itasimama....Na jamaa lazima aende kwa mchepuko kujipooza machungu maana amekiri kuwa nao, akifika huko story itakua ni kumsimanga mkewe jinsi alivyochepuka, ilhali na yeye yuko na mchepuko [emoji23]. Safari bado ni ndefu sana
2 hrs bila stop?Na wavuta bangi AKA wahuni wanagonga kwa kusimamia kucha anapiga 2 hours bila stop.
2 hrs bila stop?
Naomba nielekeze jinsi ya kunyonga
Hii ni kweli?Ndugu yangu sometimes wanawake wana akili ambayo haijai kifuniko cha soda...
Analeta njemba kitandani kwako, analiwa bao za kutosha, mbaya zaidi kama chmba chako ni self contained, njemba inajifunga taulo lako na anaoga, anajipaka mafuta yako, akihisi baridi anapewa koti/sweta lako..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ukitafakari haya hutaoa...
Kuoa ni sawa na kujitoa mhanga
Kaenda kazini?
Huyo konki ..
Mkeo kisharudi toka kazini?
Bado mkuu
Apige moyo konde huku akijua kabisa kafuga kahaba ndani na siku akisafiri tena yule underground atamuita na kutafuna tena na tena?Kuachana na mke kisa,kachepuka sio njia sahihi ilihali mna watoto wadogo,inauma ila piga moyo konde angalia maisha ya watoto wako,
2 hrs bila stop?
Naomba nielekeze jinsi ya kunyonga
Kibaya ni pale unapikuta mchepuko ni mwaminifu kuliko mke wa ndoaAcheni kwakweli mke anauma
Anatakiwa kuwa kazini hadi saa hizi?
Kibaya ni pale unapikuta mchepuko ni mwaminifu kuliko mke wa ndoa
Acha kumpotosha mwenzio. Eti asimwache. Huyo mke ni malaya kama mleta mada hakumwoa akiwa bikra. Halafu hana hofu ya mungu licha ya kufumaniwa bado hataki kukiri uzinzi wake. Kama mke angekuwa anathamini ndoa yake basi angetumia hekma kumrekebesha mumewe ila sio eti naye achepuke. Huyo mwanamke ni mpenda visasi na anayependa kishindana na mumewe. Kwa hivo si mshauri mleta mada aendelee naye. Mleta mada kuwa makini na huyu jamaa atakuingiza pabaya. Wanaopinga uamuzi wa mleta mada basi wanafaa kupimwa akili.Usimuache mkeo ndugu yangu , kwa uliyoyasema inaonesha kweli kabisa tatizo lilianzia kwako , japo bado haikuwa sababu ya mwanamke. kuchepuka .
Pili inaonesha huyo living sijui nani , alikuwa akimsumbua mkeo kwa muda mrefu na huwenda Mkeo alikuwa akijitahidi kumkwepa , lakini hicho ndio kipindi ambacho na wewe haukumtamini , na kumuona wa kawaida .
Hivyo huenda kwa sasa una hasora bado , jope muda hasira zishuke then kaeni muongee Amini nakwambia kama wote mtakubali makosa yenu na kujirekebisha na mkasameheana hakika mtakuwa na furaha na ndoa yenu huenda zaidi ya ilivyokuwa mwanzo .
mngekuwa wapenzi tu ningekushauri vingine , lakini kwasababu mnawatoto na mpo kwenye ndoa hilo ni swala la kuvumiliana changamoto zenu , ukimuacha atakae athirika sio watoto tu hata wewe pia .
Mwisho kwa vijana kama livingstone ambao hamheshimu ndoa za watu , nyie ni wakupigwa mawe mpaka mfe .
NIKUTAKIE MAISHA MEMA
Mwanangu kamuona albino kamuita "Mchina" halafu jamaa kamjibu "Nihao"