Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Unasema tu, haya mapenzi yasikie hivi hivi
Hakuna wewe labda hana hasira nae ila wivu tu ndo anaweza dinda ukimla mdada uku unawivu nae unamla kibabe kwelikweli mana unajitahidi kumfanya uku unavuta hisia za alivyo fanywa
 
Kuna comment umesema huna hata "mia"..akikuacha utaishi vipi? au utarudisha mpira kwa kipa"kwa wazazi nyumbani"?
 
So unadhani tunaolewa kwaajili ya njaa?
Hata hivyo basi kudinyana isiwe tuumachi sasa.
Ile nyama kuifanya ikaze baadhi ya masiku si jambo jepesi mjue.

Mana wengine msipoguswa wiki tu msha anza kununa ndo mnahribu mazima apo.
 
alielewa anieleweshe
Kunywa maji relax
 
Nimeuliza tu..kuna baadhi wanataka security ya maisha(economically).

Maana kuna baadhi ya wanawake hawana income hata wakipigwa matukio wanavumilia tu.
Kama umenisoma vizuri mimi si mmojawao wanaohitaji security ya maisha economically, kwani hata hivi nimeolewa sijaona jipya la kunishangaza.

Nitarudi kwetu kiroho safi hata aibu sina.
 
Wake za watu wanatafwuna sana, alafu kirahisi sana kuliko malaya wa buku2
 
Kama umenisoma vizuri mimi si mmojawao wanaohitaji security ya maisha economically, kwani hata hivi nimeolewa sijaona jipya la kunishangaza.

Nitarudi kwetu kiroho safi hata aibu sina.
Okay

Sawa mrembo.
 
Kweli mpwa......vijana wengi wanamuona mke kama sanamu tu hivyo kufanya tendo kwa mazoea......sasa hawa vijana wanaopata hizi mambo kwa ngekewa hawafanyi makosa ya mume kwa kuwa wanajua huyo mke amefuata nini......
Hamna kitu mkuu....kama mwanamke alikua malaya kabla ya ndoa ataendelea hivyo siku zote,hawez akaridhika huyo
 

Hahahahahaha anaionea huruma K kwa kuigusa igusa kumbe wahuni wanapigiza kama wana ugomvi nayo hadi inapanda temp na kufikia 43 Celsius ya motoooooo!

Ni kumfahamisha hata kama wanaachana ajifunze kutokana na hili huko anakokwenda asirudie kosa. Si ajabu alikua ana pet pet kumbe bangi man anafanya kweli.
 
Dooo pole ndugu
 
Babu yangu aliniambia mwanaume akitoka matembezi/ safari akifika kilometa 1 au zaidi kabla ya kufika nyumba lazima atamtuma mtoto nyumbani kwake kwa kumpa koti/ mboga au kitu chochote huyo mtoto akipeleke nyumbani na hiyo ni inshara kuwa baba mwenye nyumba yuko karibu anakuja na lengo lao kubwa ilikuwa kama mke anakichwa humo ndani ilikiweze kukimbia wasifumaniwe.
 
Mambo ya mwaka 47 haya. ME kwanini aogope kujua mkewe kama si mwaminifu? Ndiyo mambo ya kubambikiwa watoto kwa imani POTOFU eti kitanda hakizai haramu! Kwani kitanda ndiyo kilitia mimba?
 
Hii dunia imebadilika sna mwanamke unakuwa huna hata chembe ya huruma
We unavokua juu ya kiuno kingine huaga unaona huruma? Tena mkeo mstaarab mimi nikigundua unacheat sikai kimya nakwambia kabisaaa nimejua na nalipiza tena mchana wa saa saba, na ukitaka tuachane fresh tu kafie mbele ya safari kwanza hasira yangu huaga haiishi hadi nilipize sasa kuliko nikufunike na mito usiku bora nikapate raha za dunia huko.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Ujue wanaofanya huu upuuzi uendelee ni wanawake wanaoabudu ndoa kama pumzi, aisee me nakerekwaga hadi rohoni unakuta mtu anapitishwa kwenye moto ila yumo tu,ki ukweli mme wangu ananijua vizuri nihesimu nikuheshimu,nifanyie ushenzi nikuonyeshe ushenzi plus kama tulioana kwa mapenzi na makubaliano vikiisha kila mtu achukue njia yake watoto atalea hata akiwa mbali,siteseki kwa upuuzi mimi, nivumilie shida za maisha na ujinga wa makusudi nehi!

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wanawake wamekwisha?
Mimi nachukia sn mwanaume kushindwa kufanya maamuzi ya kiume kwa kisingizio cha watoto watateseka.

Hebu jiulize maswali haya.
1-- ukianguka Leo watoto wataishije?
2--huyo mwanamke aliyefikiria kugegedwa nje hakuwafikiria watoto?
 
Tatizo mkeo Ni kiburi, kwa vile we nae Ni msaliti angejishusha akakiri makosa yake ulivyo mtaratibu ungemsamehe ila kajitia jeuri sasa maana yake hatoacha kuchepuka,,

Kama Ni chai utajijua mwenyewe
Mbaya zaidi eti mwanamke amepata hadi nguvu za kwenda kazini, yani means hana hata chembe za uoga juu ya tukio alilolifanya usiku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…