Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Aisee pole Sana mzee[emoji1]
 
Tunaishi kwenye nyakati ambazo ni ngumu kuwatofautisha machangudoa na wanandoa......

Kuendelea kuishi na huyo mwanamke kutakusababishia sononeko la nafsi lisiloisha.......hilo sononeko litazalisha msongo wa mawazo utakaokufanya uwe Karibu na magonjwa yasiyoambukiza na kuyaweka hatarini maisha yako.....tiba pekee ni kukaa mbali na huyo mwanamke........pole sana kwa huo mtihani ndugu........
 

Naomba kujua jinsia yako
 
Mimi kwangu watoto Ni muhimu kuliko mke kutoka nje ya ndoa.
Naongea hivi kwa sababu nimekualia nje ya malezi ya baba na mama.
Halafu pia Nina watoto wawili Sasa, vile wanavyoishi kwa furaha kwa uwepo wa baba na mama, kuchepuka sio hoja.
 
Vitabu vya MUNGU vinatuagiza kuwa mwanamke haachwi kwa makosa ya kawaida kibinadamu ila tu usherati ndilo ambalo haitakiwi kuachiwa.
 
Hivi nyie huwa mko timamu kichwani? Mbna huyu mwanaume ana cheat sana nje huko, hamu mpi lawama? Khaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…