Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mungu hawezi kukuokoa kwenye maamuzi ya kijinga! We ushaambiwa mke haachwi isipokuwa kwa uzinifu we unadhani Mungu ni mwehu kusema hivyo?
Hata kama unampenda kashakuwa disqualified, nullified! Heshimu principles za kiume na kiuongozi!
 
Mwanzo wa binadam.
Mfano simba hata liwe na majike yake kumi dume lingine liki salandia mmoja tu litapigana kufa.

Tuvumilieni jamani msitulipize mtatuua kabla hamjui vile tunaumia.

Dawa yenu kuwalipizia tu [emoji23] ili na nyie musikie vile huwa inauma. Ubaya mtendee wenzenu, mkitendewa nyie mnaumi[emoji848] hivi mnafikiri wenzenu wana moyo ya chuma [emoji848] nyie yenu ndo ya nyama
 

Wapalestina ndo nnapowapendeaga hapo, hawatakagi ujinga hawa. Mvuruge na yeye akuvuruge, yaani mnavurugana [emoji4]. Kina mamka mko juu sana, ni mwendo wa spana tu, ukimpiga spana ya kuchiti na yeye anakurudishia tena na wahuni [emoji23]
 
Dawa yenu kuwalipizia tu [emoji23] ili na nyie musikie vile huwa inauma. Ubaya mtendee wenzenu, mkitendewa nyie mnaumi[emoji848] hivi mnafikiri wenzenu wana moyo ya chuma [emoji848] nyie yenu ndo ya nyama
Na tukiwajua kama hivi ni kuwatema tu na kuanza kuwala kwa mafungu mluvyo wwngi sasa ni kuweka foleni ya kuwatafuna.

Habali ya watoto alieaikia uchungu ndo anatakiwa awe na huruma nao.
No majukumu hapo ni kuwavua tu

Mna dhalilika sana kushindana hamjui tu.
Mwanamke ikidhibitika kaachwa na michepuko yake ina mtema ila mechepuko ya mume inagombania kuingia alipotoka mwenzao.

Hamjiulizi?
 
Watoto walisafir kwa bibi yao
Mkuu nakuamini kwa msimamo wako na utulivu wako wanawake ni maua yetu tusumbuke kwa ajili yao lakini si wao watusumbue.

Kujiamini kote huko ukimtema tu heshima yote itamuondokea hamna kidume atawekeza apo zaidi ya kuchanuliwa na tu na kuachwa mpaka wewe ukitaka utamgonga na kumuacha
 

Hata unakoenda usipokua makini utagongewa tu na utakuja tena hapa jf kulia lia. Hata huo mchepuko ulio nao hauko peke yako, kuna muhuni anafanya yake , ipo siku utajua tu [emoji23]. Mbona wenzako hawagongewi, kwa nini ugongewe wewe tu? Jipange, hata ukioa tena mwendo ni ule ule tu, lazima wahuni wakusaidie, hamna namna [emoji23]. Ila pole mwayego
 
Malaya atagongwa tu ndo nikakuambia tutawapanga foleni mana mmejipanga kama nyama tunachagua tu leo nikale wa bei gani.
Hakuna kuwekeza tena ha ha haaa
 
Dinia imekwisha kwa mfumo wanaume watalea sana watoto wasio wao .
 
Malaya atagongwa tu ndo nikakuambia tutawapanga foleni mana mmejipanga kama nyama tunachagua tu leo nikale wa bei gani.
Hakuna kuwekeza tena ha ha haaa

Endelea kuwapanga wakati unalea watoto wa Livingstone hapo nyumbani [emoji23] na jana lazima mimba imeingia kwa wife [emoji23] another baby from Livingstone .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…