Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Ni vizuri unafunguka na kukiri makosa yako...wewe personally umechangia mkeo kuchepuka...haimati ameliwa na nani ila una makosa ya kutotimiza wajibu wako kama mume ulikuwa ukimnyima haki yake ya msingi kwenye ndoa.....na ukatafuta faraja nje.Kumbuka na yeye ameumbwa na mwili wa kibinaadamu kama wewe,anahisia na kutamani kama wewe.Wote mna makosa so acha kumhukumu mwenzio mno.
 
Yupo japo hatusemezan kila mtu na ratiba zake ,na nikama anaonyesha mimi ndio mkosaji wala hajakubali kosa,,bado nasubir utekelezaji wa plan zangu
Mmh hapo kazi unayo aisee. Na ukute yuko humu anasoma jinsi wanawake wenzie wanavomsapoti
 
Nani anataka haki sawa katika kuzini! Ina maana mwanamme ameruhusiwa kuzini lakini mwanamke hakuruhusiwa? Sijui mwenzangu unasoma kitabu gani cha dini kilichoruhusu hivyo.
 
@kabunda88 usimuache mkeo kwa maslahi mapana ya watoto wenu, bali chukua huu ushauri
 
Nature gani unayoizungumzia wee hapa? Dunia haijasimama bado poleeeeh.
Nature nayozungumzia ni kua , ukitoa njiwa pekee, hakuna kiumbe kingine chochote Cha kiume chenye jike moja, hiyo ni nature tu , msipoteze muda kushindana nayo

Hutaki uke wenza busara ni kuondoka tu , wivu wa mwanaume ni fetal , utakuua , wewe ukimfuma utaishia kulia tu pengine na kutishia kuondoka, ila akakufuma yeye , kaburi Hili hapa

Kwann ubeti maisha yako kiasi hicho?
 
Haushauri ila unaongeza tatizo unamtia zaidi huyu jamaa stress
 
Li bazazi limefunga taulo lako linacheki mpira sebuleni [emoji16]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Umemaliza kila kitu
 
Pole.sana kaka!! Lakini kama ulivyosema, umefanya naye mambo mengi, na mna watoto wawili ambao ni wadogo, endelea kutumia busara ndugu yangu, Mungu akuongoze!!
Busara ni kuachana naye, mwanamke malaya hastahili kuwa mke.
 
Kizuri kula na ndugu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…