Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mbishi mhaya sijui duuu,dawa yake unatatua na marinda ,Kama alishawahi pitia uanaume vile
 
Hawaja wai kusexy, au kwa siku hiyo uliwakuta hawa anza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kila kitu.
 
Hahahah yaan vitu unavyo sema naona hata shida kukujibu, nwei baki na huo mtazamo wako, but jua Dunia haijasimama bado.
 
Pumbavu kabsa nyote ni wazinzi usimtafutie mwenzio sababu ya kumwacha kama una jeuri kweli mpe nawe simu yako kama hujaamka asubuhi umekatwa korodani.Wanaume mnatukoseaga sana sema tu makosa mnayaonaga kwetu.Hii ndo maana halisi ya kila muosha..huoshwaa.
 
Hawaja wai kusexy, au kwa siku hiyo uliwakuta hawa anza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina hakika sababu nilitrack mawasiliano ya manzi na chats na calls zao na jamaa alikuwa anaashiria kuwa ndio siku ya kwanza anataka kuja kumpiga pumzi ila akawa kama anamuulizia sana juu ya usalama wake kwamba ni freshi nikija hapo hapo geto! By that time nilikuwa nakaa self moja tu!

Demu akanipanga mimi toka jana yake kuwa dadaake kesho atakuja kwa ajili ya graduation ya mtoto wa kaka yao! So kaomba alale pale kwetu alale na ndugu yake kwa kuwa mie sikuwa na hiana nikasema acha tu nimpishe sababu kwao walikuwa hawajui kuwa anakaa kwangu walijua kapanga kivyake.

Basi mie kwa kuwa na maseke kile kitu sikukielewa nikaamua nifanye ujasusi kumbe kweli ilikuwa ule usiku napigwa tukio la hatari kama ningejiachia huko niliko!

Nilichofanya nikampigia simu jioni kwasababu picha linaanza hakunipa feedback juu ya huyo mtu kafika au la! Toka asubuhi mpaka Saa 3 usiku mtu atoke Dar hajafika tu na gari ya mwisho kabla ya 2 inakuwaga ishatia timu!

Nikaanza kuhisi usanii ule! Kufungua database yangu kweli nakuta ni mwamba wanapangana kuwa aje amkaze maana mie sipo na alimdanganya yupo single nadhani! Nilichokifanya nikawahi eneo la tukio nikabana mahali nikawa nashuhudia kila kitu kummmk. Baada ya kuingia ndani tu sikufanya ajizi nikajongea mlangoni na kugonga kibabe! Alipofungua mlango hakuamini anachokiona!

Chumba ilinunuliwa spray sikuhio chumba kinanukia balaa na maji jamaa anachemshiwa aoge huku kashaagiziwa chipsi kuku! Kummmy wanawake hawa waoneni tu..ni kama akili ilipiga short nilifukuza yule jamaa nikabana mlango. Ilikuwa nafanya umafia wa ajabu siku ile maana nilishavua mkanda! Muuza chips alipoleta chips ndio kutoka azipokee akapata na upenyo hapo hapo wa kutoroka kifo!
 
Mbona unamlaumu anaehisiwa kuliko mwanaume aliekiri kuchepuka haya mambo hayajaanza leo
MKUU unataka hadi uone wamemwagia ndani ndy uthibitishe mke kaliwa?
Ushahidi wa SMS pamoja na mke kudanganya alipo huoni kama ameliwa?
Sasa hapo anahisiwa nn?

Fukuza hiyo takataka MKUU,,
 
Mwanamke akichepuka, ina maan mwanaume ameshindwa kutimiza majukumu yake kwa mkewe.
Majukumu gani labda? Yani kwamba wewe hutombwi au hulishwi? Ndio useme unachepuka wakati wanawake wanakaa kwenye mahekalu na magari ya gharama na bado wanaliwa na mafundi kushona tunawaona!

Mwanamke kuchepuka ni anafanya kusudi na adhabu yake anaijua kabisa!
 
Kama umenisoma vizuri mimi si mmojawao wanaohitaji security ya maisha economically, kwani hata hivi nimeolewa sijaona jipya la kunishangaza.

Nitarudi kwetu kiroho safi hata aibu sina.
ulitarajia lipi la kukushangaza?
 
Duh
 
Hamna kitu wanaume hatupendi kama kuchapiwa!
Vile nilivyo tu siku akifanya huo ujinga nikajua atakimbia mwenyewe wala sitomfukuza

Mkeo akiliwa ukaendelea kukaa nae ni sawa unaliwa wewe huku unaridhia
 

Hahahahahaha mkuu hawa viumbe ni hatar sana anataka huku na huku
 
Wewe 😲
 
Mimi hizo dhambi ndio nazipenda
 
Mimi na jamaa tulienda kufumania tukiwa mtu sita, kufika jamaa aliyefumaniwa akapakiwa mkongo na kuliwa swaaafi kabisa na mtu tano [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nilikaa mbali sana, sikushiriki ujinga ule.
Atawala viboga wangapi?tabia ni kma ngozi
 
Hahahah yaan vitu unavyo sema naona hata shida kukujibu, nwei baki na huo mtazamo wako, but jua Dunia haijasimama bado.
Sio mtazamo, au huna kuku? Mbuz? Basi nenda hata Serengeti utakuta hayo maisha, that is nature mama

Unaona haikufai, busara n kutundika daluga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…