Chief Sam
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 2,483
- 4,675
Mbishi mhaya sijui duuu,dawa yake unatatua na marinda ,Kama alishawahi pitia uanaume vileNature nayozungumzia ni kua , ukitoa njiwa pekee, hakuna kiumbe kingine chochote Cha kiume chenye jike moja, hiyo ni nature tu , msipoteze muda kushindana nayo
Hutaki uke wenza busara ni kuondoka tu , wivu wa mwanaume ni fetal , utakuua , wewe ukimfuma utaishia kulia tu pengine na kutishia kuondoka, ila akakufuma yeye , kaburi Hili hapa
Kwann ubeti maisha yako kiasi hicho?