Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mzee unatoka safari hujammiss mkeo unawaza mchepuko!!! Ndoa mmeshirikiana kuvunja we na mkeo. Mke kakuchoka na ww umemchoka... akili kichwan mwenu cha muhimu mjue jinsi gan issue zwnu mnazofikiria zisiwaumize au kuwadhuru watoto in anyway. Kuchepuka raha sana ila ukichapiwa mke NOUMAH sana!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Wake za watu wanatafwuna sana, alafu kirahisi sana kuliko malaya wa buku2
Shida ni uzinzi wao au huko ndani hawashibi?? Mlio oa tafuteni sababu au tatizo lipo wapi?
 
Mkubwa mambo yanaendeleaje hapo nyumbani?..

Umekubali yaishe nini?..If so,nipe location nikufanyie delivery ya Kasongo Mundende sasa..natania
 
Brother we msamehe,angeweza kugongwa na usijue tu,Cha msingi mueleweshe atakuelewa,hata ukioa mwingine ipo siku atajiachia,utaoa wangapi?
Uzuri hata yeye anachepuka na bila ya mchepuko kumuacha solemba naye angelala huko kwa mchepuko, na inawezekana wakati anahangaika na mchepuko na kuukosa na wenyewe utakuwa ulikuwa unagawa asali kwa mwingine
 
Mkubwa mambo yanaendeleaje hapo nyumbani?..

Umekubali yaishe nini?..If so,nipe location nikufanyie delivery ya Kasongo Mundende sasa..natania

Hahahahahaha mkuu maisha lazima yaendelee najaribu kumweka sawa tuplan jinsi gan tutalea watoto bila wao kuhis chochote kama tumetengana mwenzagu bado haamin kama namwacha
 
Inakuaje anakuambia hivo? Mna uhusiano gani naye
 
Unaposema aliboreka kukaa peke yake,wakati mna watoto wawili unamaanisha nini?
Bible inasema "mume atamuacha mke sababu ya uzinzi"
Mkuu nipe kifungu. Sijaona hilo andiko bado.
 

Kwa hiyo sa hz ungekua zako sege dansi, maana ungeutumia ule mkanda ungeua
 
Huwez kuoa mwanamke ambaye humpendi mwanzon mapenz yalikuwa matam zaid baada ya yy kuzaa na mimi kuanza michepuko ndio nikajisahau but haimaniishi simpend
Basi msamehe hii akirudia tena hiyo itakuwa makusudi sasa! Wewe ndiye chanzo unajua ukianza kuchepuka tu kuna vitu huwa vinabadilika
 
Hakukupa papuchi jana? Kama kukuliwaza?
Hahahahahaha mkuu maisha lazima yaendelee najaribu kumweka sawa tuplan jinsi gan tutalea watoto bila wao kuhis chochote kama tumetengana mwenzagu bado haamin kama namwacha
 
Mungu hawezi kukuokoa kwenye maamuzi ya kijinga! We ushaambiwa mke haachwi isipokuwa kwa uzinifu we unadhani Mungu ni mwehu kusema hivyo?
Hata kama unampenda kashakuwa disqualified, nullified! Heshimu principles za kiume na kiuongozi!
Mkuu hawa wote mume na mkewe wote ni wazinzi. Na uzinzi uwe wa mke au wa mume ni jambo lisolokubalika kwa hali ya kawaida na zaidi kwa wenye ndoa. Kuhusu Mungu alichosema sina hakika Mungu wako ndiye Mungu wangu lakini hakuna dini yoyote inakubali uzinzi hapa Tanzania. Uwe wa mume au wa mke.
 
Basi msamehe hii akirudia tena hiyo itakuwa makusudi sasa! Wewe ndiye chanzo unajua ukianza kuchepuka tu kuna vitu huwa vinabadilika

Mpaka dakika hii mtoa uzi haoni kosa lake, yani yeye yuko very innocent ila mwenye makosa ni mke [emoji3]. Safari bado ndefu
 
Basi msamehe hii akirudia tena hiyo itakuwa makusudi sasa! Wewe ndiye chanzo unajua ukianza kuchepuka tu kuna vitu huwa vinabadilika
Exactly hiyo Karma ya uzinzi i akurudia maana yale unayotendea watu ndiyo yatakayokurudia. Na hii ni kanuni. Mtenda kutendwa inakuwa kosa
 
Kumchunga mtu mzima kazi sana. Jamaa kishaambiwa “mbona unamaliza haraka?” Si ajabu huyo mhuni anaipigiza K mpaka inatoka jasho 😂kama kanogewa mhuni ni lazima apelekewe akamvue picchu.
Basi msamehe hii akirudia tena hiyo itakuwa makusudi sasa! Wewe ndiye chanzo unajua ukianza kuchepuka tu kuna vitu huwa vinabadilika
 
Maumivu unayoyapitia ndio aliyoyapotia mkeo alipogundua una mchepuko, na inawezekana ameamua kukusaliti kama kulipiza(ingawa naona hii sio kumaliza tatizo ila ni kuongeza matatizo kwenye mahusiano)

Kwa haraka, nadhani jambo kubwa lililosababisha ndoa yenu imefika hapa ni kwamba hakuna mawasiliano ya karibu kati yako na mkeo, hapa namaanisha hakuna uwazi kati yenu katika kutatua matatizo yenu, pengine mkeo alikua na maumivu ambayo hakuweza kushare na wewe na labda sababu ni kwamba haumpi attention ya kutosha au haumpi sikio la kumsikiliza au hata haujali sana kuhusu hisia zake au pengine upo bize sana

Unapokua na mahusiano ni muhimu kuwa na uwazi wa kuongea mambo hasa mnapookoseana au u apohisi mwenzi wako ana jambo linalomtatiza ni muhimu kumuuliza kwa upendo, wengine akikuta mke amenuna au ana huzuni nae anaendelea na mambo yake, hawezi hata kuuliza shida ipo wapi, kuzungumza inasaidia kuondoa vinyongo na hasira pamoja na visa vya hapa na pale katika maisha ya kila siku

Pole sana ndugu, Mungu akupe busara na hekima ya kutatua hili jambo maana bado watoto wenu ni wadogo na kama mama mwenyewe ndio huyo anatoroka kwenda kubanduliwa usiku, ni changamoto sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…