Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Kaa na wife muyajenge mkuu ht ww umemkosea, ndomaana mkosi unahamia nyumbani kw kuendekeza zinaa.Yupo japo hatusemezan kila mtu na ratiba zake ,na nikama anaonyesha mimi ndio mkosaji wala hajakubali kosa,,bado nasubir utekelezaji wa plan zangu
Ndo maana kila siku huwa nasema ktk ndoa, kuwe na uangalizi pande zote mbili, sasa matatizo yanatokea kwa wingi sababu upande m1 unaona uko sawa tyuuh. Mwisho wake vilio tyuuh.Hahahaha tena wakijua ni mume wanaongeza na majonjo na umaridadi na mapishi ya hali ya juu. Si umeona humu jamaa wanataka kumuacha mke ili waoe HG? Mke kajusahau kama ni mke yeye na social media, tamthilia na marafiki zake. Mume akimgusa nimechoka, naumwa kichwa blah blah. Sisemi wanawake wote walio kwenye ndoa wanafanya hivyo la hasha lakini inakuwaje mtu uliyempenda saa zote kutaka kuwa naye wakati wa kudate akiomba papuchi saa yoyote hanyimwi lakini baada ya ndoa tu unabadilika. Makosa ndani ya ndoa yako pande zote mbili Mkuu.
Just cul down!Pumbavu kabsa nyote ni wazinzi usimtafutie mwenzio sababu ya kumwacha kama una jeuri kweli mpe nawe simu yako kama hujaamka asubuhi umekatwa korodani.Wanaume mnatukoseaga sana sema tu makosa mnayaonaga kwetu.Hii ndo maana halisi ya kila muosha..huoshwaa.
Ww cocastic au ndio mtuhumiwa nini mbona mkali hivyo😜!?Huu ushauri wa hovyo tyuuh, mbna huyo mwanaume anachepuka huko nje sana tyuuh. Au hamlioni hili? Unafiki tyuuh.
Duh, ww kumbe wa hivyo loh! We baki njia kuu no matter what, utaumia bure ukifikiri unamkomoa mtu😜!Hahahah jaman mie Mr wangu hanaga mambo ya kushtukizan, na mie siwezi kumsaliti, japo akisaliti nikijua lazima nilipize kisasi, naye anafahamu hilo.
Naona ulikuwa ni ujinga!!Na ndoa zilidumu,kizazi cha smart phone hiki sio cha kuchezea
😀😀 Bahati mbaya wakati na quote, lkn sijabadili maanauka edit/quote post yangu sio
Nilitaka kuandika hivi. Mke wako ana dharau. Afadhali angekiri makosa na kuomba msamaha. Lenyewe eti bado linabisha. Shenzi kwelikweliHapo kama kweli umeoa basi huna mke kabisa ndugu! Ni ukweli mchungu ila lazma niuseme tu, mke kukosa hata tone la aibu na kuleta ubishi wakati kitu kafanya na ushahidi wa kimawasiliano unaashiria hilo ni dharau! Ukimsamehe tegemea matukio mazito zaidi...
Maamuzi ya mke kuchepuka anayafanya akijua kabisa madhara yake ni fatal wala sio kwamba shetani au vipi! Amefanya kusudi kuchepuka na alipanga kabisa hilo!
Hicho unachopitia niliwahi pitia ila mie nilimfumania akiwa na msela chumbani kwangu kabisa japo walikuwa hawajaanza kusex!
Kuna wasiohudumia wala kuwekeza chochote, hao unawasemeaje halafu kutwa Kucha umalaya tu.Ooh kumbe hujui sababu mkuu. Coz tunawahudumia, tunawekeza sana kwenu. Nyie mnawekeza nini zaidi ya hisia
Imeandikwa mwanamke akicheat... out...hakuna mjadalaHivi nyie huwa mko timamu kichwani? Mbna huyu mwanaume ana cheat sana nje huko, hamu mpi lawama? Khaaaaah
Sawa mkuu..uendelee basi kutupa feedback sisi wadogo zako tujifunze kitu kabla ya kuwa full committed na swala la ndoa.
Wanaume wao kucheat wanaonaga sawa ukute hapo ana michepuko zaidi ya mitatu kwa wakati mmoja.Kwanini inakuukiza wewe.. na wewe unayafanya hayo..na ulikuwa na mpanho wa kwenda kwa mchepuko pia jana usiku.. alitakiwa akulaze polisi kwa kumpiga..
Wanaume na nyie mkome..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hiyo mwanaume kuwa malaya ni fahari, hapo ndipo wanaume mnaponishinda Tabia.Ushauri wa kiroho: Kama utaendelea kuishi na huyo mwanamke basi unajiingiza mwenyewe kwenye shimo la mauti.
Ni aibu sana mwanamke kuwa malaya.
Mithali 5:1-
Hakuna anayefanya sex nje awe mwanamke au mwanaume halafu akabakiza moyo nyumbani.Hapana. Uzinzi na dhambi yoyote ni jambo baya kwa mtu yeyote bila kujali jinsia yake.
Tatizo mwanamke akiachia papuchi huzamia jumla. Mwanaume anaweza kufanya sex kwa kujipa raha tu huku moyo wake ukabaki nyumbani
Hivi mnaotaka mke asamehewe mbona hata mume ni mkosaji?kaamua ajitenge nae ili wawe huru.
Mna lengo gani mnaotaka abaki kwenye hii ndoa anaudhaifu gani mpaka asamehewe?
Hii ni adhabu kubwa sana kwa mume kuacha mke haliyakua hajapanga inauma sana.
Wewe unaumia sasa yeye ulishamuumiza kitambo kwa kuwa na michepuko kadhaa na mwingine kuupa ahadi ya kuuoa mke wa pili.Nawaza sana ntawambia nini ndugu zangu,au ndugu zake kwa jinsi tulivyo pendana ni aibu kubwa sana kwangu kusema namwacha kwajili ya ametoka inje ya ndoa,lakin ntafanyaje?itabid iwe hivo nafsi yangu na moyo wangu unashindwa kuvumilia nikikumbuka msg zao nikiziweka hum mtashangaa kwann mpaka saiz yupo ndani kwangu
Niko kwenye ndoa mwaka wa 20 huu, ningekuwa na drama za jubilee za ndoa ningekualika uje kushuhudia, ila wanaume mbadilike.Kwa mwandiko huu, wewe ndoa utaisikia tu
ikitokea umeolewa utaachika mapema sana
Watakuelewa wachache. Lakini una hoja ya msingi sana. Mchepuko ni chanzo cha yote haya.Unafikri jana angekua kapokelwa na mchepuko angeyajua haya ya mke kurud saa sita 6 kuna muda mchepuko unasaidia kulinda ndoa imagine sasa hv ndoa inaelekea kufa kisa mchepuko kapitiwa na usingizi hii jeur ya kulala na babe wake anarud kaitoa wapi?
Mke ambaye amefikia level hio huwezi kumuita mke mbele za watuNilitaka kuandika hivi. Mke wako ana dharau. Afadhali angekiri makosa na kuomba msamaha. Lenyewe eti bado linabisha. Shenzi kwelikweli
sawa nimeiona 🤣😀😀 nimekucheki PM bwana